Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rushwa ndani ya vyama vya siasa inahujumu demokrasia kwa kupendelea wenye nguvu kifedha, huku ikiweka kando wagombea wenye sifa lakini wasio na rasilimali kubwa. Hali hii huzaa uongozi...
1 Reactions
2 Replies
443 Views
NAPINGA MIJADALA POTOFU JUU YA UGAWAJI WA MAJIMBO YA UCHAGUZI Hili la kugawa majimbo ni jambo la msingi sana kujadiliwa kwa mapana yake, na hoja yangu katika mjadala huu itajikita kuunga mkono...
2 Reactions
0 Replies
679 Views
Wakuu, Miaka 63 ya Uhuru na bado CCM wanazungumzia masuala ya umeme? Seriously? Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, akizungumza na wakazi wa mji wa...
3 Reactions
44 Replies
2K Views
Waziri kivuli wa ofisi ya waziri mkuu- bunge, Sera, vijana, kazi na ajira, Kutokea ACT Wazalendo, Ndolezi Petro kupitia ukurasa wake wa X ameandika kuwa uamuzi uliotolewa na Mwenyekiti wa Chadema...
0 Reactions
4 Replies
479 Views
TAARIFA: Kumekuwa na tabia ya matapeli kughushi barua kuhadaa watu, kuomba michango kwa wadau mbalimbali. Chama Cha Mapinduzi kinakanusha kuwa hizo siyo nyaraka za CCM na kwamba chama hakina...
0 Reactions
3 Replies
341 Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii wametembelea na kukagua Mradi wa Nyumba za Mtoni Kijichi awamu ya Tatu unaomilikiwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) leo Machi...
0 Reactions
11 Replies
879 Views
Chama cha ACT Wazalendo kimeiomba Serikali kuwachukulia hatua viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Makamu Mwenyekiti Bara, Stephen Wasira, na Naibu Katibu wa Habari na Uenezi wa CCM-Zanzibar...
2 Reactions
3 Replies
839 Views
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amesema ripoti ya uchunguzi ambayo ofisi yake imekuwa ikifanya kuhusu fedha zilizokusanywa kupitia utaratibu wa makubaliano ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu, Kunazidi kufurukuta, moshi unaongezeka! ==== Wakati kitendo cha kuzuiwa kuingia nchini Angola na mamlaka za nchi hiyo kwa Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman na mwenzake...
7 Reactions
88 Replies
4K Views
Historia inaonyesha watutsi kama wafugaji wenye uhodari wa kupigana vita wa mbari ya kihima. Watu hawa karne kadhaa kabla ya ukoloni wa kizungu walishuka na mifugo yao toka kaskazini wakifuata mto...
0 Reactions
0 Replies
487 Views
Wadau mambo? Naomba twendeni kwenye mada. Shughuli zangu zinanipa fursa kufika mikoa na wilaya mbalimbali za nchi yetu ya Tanzania. Na katika kufika huko niliamua kufanya UTAFITI WA KAWAIDA...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Ninamshangaa yeye na walio nyuma yake kwa kupinga mchakato wa uteuzi wa mwenyekiti kuwa mgombea wa urais uchaguzi 2025.... Niwafikirishe hivi ; Ikiwa utaratibu wa "awamu mbili" ni ada na kawaida...
1 Reactions
2 Replies
658 Views
Waziri Kombo akiwa pamoja na WanaDiaspora WaTanzania wanaoishi Luanda, Angola leo Jumapili 16 Machi 2025 alipokutana na WanaDiaspora wanaoishi nchini Angola baada ya kumaliza dhamana za kazi...
1 Reactions
3 Replies
710 Views
Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika Tawi la Tanzania Misa Tan, imeahidi kuendelea kushirikiana na wadau wa habari katika kuhakisha vyombo vya habari, vinafanya kazi wa weledi katika...
1 Reactions
10 Replies
763 Views
Familia ya Hayati Rais John Pombe Magufuli ikiongozwa na Mtoto wa Dr. Magufuli aitwaye Jesca Magufuli, imeongoza maandamano ya amani leo March 16 2025 Chato, Geita kumuenzi Hayati Magufuli na...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Kwa wataalam wa masuala ya Ulinzi na Usalama aibu waliyoipata SADC baada ya Mission yao kufeli nchini Congo DRC, sio jambo lililotokea kwa bahati mbaya. Baada ya kuingia siasa za ushindani...
12 Reactions
52 Replies
3K Views
Mimi mwalimu mwenzenu nauliza huku nikiwa na uchungu sana moyoni. Shujaa atakumbukwa daima.
6 Reactions
31 Replies
1K Views
Siasa za Tanzania zimejaa uongo na uswahili. Yaani mtu mpaka anafariki Magufuli alishindwa kujenga hata kiwanda kimoja . Huu ulikuwa utoto.
6 Reactions
52 Replies
2K Views
Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini (CCM) Mhe. Kwagilwa Rubeni, amesema kuwa wabunge na wananchi wa ukanda wa kaskazini wanaunga mkono uamuzi wa serikali wa kununua umeme kutoka Ethiopia kupitia...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
WAKAZI WA KIGOMA WASHAURIWA KUWEKEZA KWENYE HATI FUNGANI ZA SERIKALI Na Chedaiwe Msuya, WF, Kigoma. Wananchi Mkoani Kigoma wametakIwa kujenga utamaduni wa kuwekeza fedha zao kwa kununua Hati...
1 Reactions
2 Replies
509 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…