Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hakika nimecheka sana baada ya kuona video hii ya Babu Wasira:D:D:D Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, , Stephen Wasira, leo Machi 15, 2025 ametembelea na kukagua ujenzi wa Hospitali ya...
3 Reactions
15 Replies
998 Views
1. Askofu Bagonza 2. Freeman Mbowe 3. Ansbert Ngurumo Kuna mmoja , lakini his recent dealings zinanipa mashaka!. Sitamtaja kwa sasa.
8 Reactions
52 Replies
2K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa katika kura za maoni mwaka huu, wanachama wa chama hicho watapewa majina matatu pekee ya wagombea watakaoshindania...
0 Reactions
2 Replies
859 Views
“Kutokana na kadhia hii ambayo mmeisikia kwanza baada ya matukio haya yote kuanzia tarehe 13 mpaka leo tarehe 16 tunafanya press hii hatujasikia chochote kutoka kwa Serikali ya Tanzania kutoka kwa...
0 Reactions
8 Replies
837 Views
Wahitimu wa Chuo kikuu Mzumbe kampasi ya Upanga Dar Es Salaam wapo katika wakati mgumu baada ya chuo hicho kushindwa kuwapa vyeti vyao vya kuhitimu bila maelezo yanayoeleweka. Hatua hiyo imekuja...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Siasa za kipuuzi na zi kilaghai hazina maana hata kidogo. Wewe kama chama cha upinzani Chadema hakuna jitihada za dhati za kweli kupambana na kufa ili vijana wenu warudi au wasitekwe lakini...
0 Reactions
4 Replies
411 Views
Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi CCM imesema bila kujali kauli ambazo zinatolewa na vyama vingine, Wao wapo tayari kwa uchaguzi na wamejiandaa vilivyo. Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi...
0 Reactions
0 Replies
281 Views
Viongozi wa dini mkoani Mtwara wametakiwa kuendelea kuwaambia waumini wao juu ya kuchagua viongozi bora watakaoleta maendeleo ndani ya mkoa na taifa kwa ujumka utakapofika uchaguzi mkuu mwaka huu...
2 Reactions
3 Replies
326 Views
Habari waungwana, twende moja kwa moja kwenye mada Leo ni miaka miwili tangu Hayati Magufuli afariki, tangu kifo chake kumekua na hisia mbali mbali ,wapo wanao muunga mkono na wanaitwa sukuma...
19 Reactions
224 Replies
10K Views
Sema kuna muda hawa ACT wanapenda sana drama. Hivi kweli unaaanda press then unaanza kuwaambia waandishi kwamba CCM ianze kujishughulikia wenyewe? Hawa wataweza kweli zile "siasa za mapambano"...
0 Reactions
2 Replies
382 Views
Msafara wa Waziri Mkuu wiki hii hapa Iringa umekuwa si wa kawaida. Si wa kawaida kwa kuwa tumezoea viongozi wa kitaifa wakianza Ziara kwa Mkoa fulani, huifanya yote mpaka imalizike. Lakini...
76 Reactions
410 Replies
65K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumuika na viongozi mbalimbali kwenye Iftar aliyowaandalia viongozi wa dini, wazee wa Mkoa wa Dodoma pamoja na makundi...
5 Reactions
55 Replies
3K Views
Wakuu, Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) Joyce Shebe amesema wanawake watakaoonesha nia ya kugombea katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 wanapaswa kuungwa mkono...
0 Reactions
0 Replies
203 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amesema bado hajaona dalili za wananchi kutokukiamini chama hicho kutokana na kazi iliyofanywa na chama hicho ya kuboresha maisha...
0 Reactions
3 Replies
441 Views
Waziri Kombo alivyowasilisha ujumbe Maalum Angola, Tarehe 15 Machi, 2025
0 Reactions
0 Replies
358 Views
Wakuu, Hivi wabunge wa CCM wanaposema Rais "ametoa" fedha wanamaanisha? Kwamba zimetoka mfukoni kwake na sio kodi za wananchi? Au yeye ndo anaidhinisha kutolewa kwa hizo fedha? Na kama Rais ndo...
1 Reactions
3 Replies
395 Views
Waziri Kombo Awasilisha Ujumbe Maalum Jamhuri ya Angola Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki amewasili jijini Luanda nchini Angola...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Wazazi CCM, Fadhili Maganya, amewataka baadhi ya watia nia wa nafasi za uongozi kupitia chama hicho kuacha kuwadanganya wananchi kwa kudai wamepewa maelekezo...
1 Reactions
1 Replies
299 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…