Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

SIYO DHAMBI KUTUMIA AKILI KATIKA SIASA. Hapa chini kuna picha 3 zimenifikisha sana. Unafikiri mpaka unatoa jasho katikati ya baridi kali. 1. Picha ya kwanza inamuonyesha mtu aliyefungiwa ndani...
3 Reactions
6 Replies
466 Views
Tangazo la TONE TONE la CHADEMA la sasa linaonyesha zaidi ufahari na lenye kuwakilisha mazingira ya tabaka la mjini na kishua zaidi. CHADEMA, halina msisitizo na msisimko wa wale mnayopigania au...
9 Reactions
78 Replies
2K Views
Kamati ya Ushauri (RCC) ya Mkoa wa Rukwa imeridhia kugawanywa kwa Jimbo la Uchaguzi la Kwela lililoko Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
3 Reactions
2 Replies
430 Views
Machi 14, 2025 katika Ukumbi wa Kwa Mkapa Arena Kijiji cha Nyamisisye Kata ya Kukirango amesema kuwa mafunzo waliopata maafisa usafirishaji yatapelekea uzingatiaji wa sheria za usalama barabarani...
1 Reactions
2 Replies
627 Views
UTAKAPOKUWA ASKARI; USISAHAU MAMBO HAYA. Anaandika Robert Heriel. Na endapo utaamua kuwa Askari, iwe wa Kulinda Amani, au wa kulinda Mali, au kulinda na kusimamia sheria au amri Fulani, iwe...
25 Reactions
62 Replies
6K Views
Askofu Emmaus Mwamakula ameonyesha wasiwasi wake mkubwa kuhusu tukio la utekaji lililotokea ndani ya basi la Tashriff Luxury Coach, ambapo Ali Mohamed Kibao alitekwa kwa nguvu. Katika taarifa...
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu Wanaojiita Wasomi na Wanafunzi wa Vyuo Vikuu wamshangaa mwanaharakati Maria Sarungi kwa kushindwa kurudi nchini Tanzania kwenye msiba wa baba yake, wamtaka asichanganye siasa na mambo yake...
5 Reactions
63 Replies
3K Views
Mkuu wa chuo, Mizengo Pinda, Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Elifas Tozo Bisanda, Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Prof. Joseph Kuzilwa, heshima yenu wakubwa. Prof. Elifas Tozo...
22 Reactions
58 Replies
7K Views
Kwa aibu niliyojiskia leo baada ya kusikiza Kiingereza cha Waziri Ulega akizungumza na Wakandarasi Wachina wanaojenga barabara ya mwendokasi huko Mwenge leo nakuomba tu Msemaji wa Serikali...
40 Reactions
257 Replies
11K Views
Naibu Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Vijana Mkoa wa Ruvuma (CCM), Mhe.Judith Kapinga ameahidi kutoa kompyuta 139 katika Shule za Msingi 139 zilizopo Halmashauri ya wilaya ya Mbinga...
1 Reactions
2 Replies
504 Views
Wakati CHADEMA ikikomaa na NO REFORM, NO ELECTION, ACT WAZALENDO nao wamekuja na mpya kususia vikao vya umoja wa vyama vya siasa kwa madai kama ya CHADEMA. CCM wao wako busy kubuni mbinu za...
1 Reactions
9 Replies
512 Views
Wakuu Mawaziri George Simbachawene (Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu) na Prof. Adolf Mkenda (Elimu, Sayansi na Teknolojia) wamekutana na viongozi wa Chama cha Walimu...
3 Reactions
46 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Geita, Manjale Magambo, amewataka wanachama wa chama hicho kutokata tamaa au kununa pale wanaposhindwa kwenye kura za maoni...
0 Reactions
1 Replies
362 Views
Leo, tarehe 15 Machi 2025, Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) Mkoa wa Lindi umefanya uchaguzi wa kumchagua mwenyekiti wa mkoa, ambapo wagombea watatu walijitokeza kugombea nafasi hiyo. Wagombea hao...
0 Reactions
2 Replies
395 Views
1. Singida hakuna 2. Mbeya hakuna 3. Arusha hakuna 4. Kilimanjaro hakuna
5 Reactions
69 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Seleman Moshi Kakoso amesema kazi iliyofanywa kwenye daraja hilo lenye urefu wa meta 525 ni kubwa hivyo Wizara ya Ujenzi na Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS)...
2 Reactions
2 Replies
467 Views
Wakuu Mbunge wa Karagwe, Innocent Bashungwa, ameonyesha moyo wa huruma kwa kusaidia mtoto mdogo kumtwisha dumu la maji kichwani baada ya kumkuta akichota maji. Kupata taarifa na matukio...
6 Reactions
27 Replies
1K Views
Mjumbe wa Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Joseph Haule maarufu Prof Jay amesema Rais Samia alikuwa kama Mama yake wakati akimshukuru kwa jitihada zake za kumtibia.
3 Reactions
9 Replies
797 Views
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amesema wanafunzi wa VETA, ambao leo Machi 15, 2025, wamefanya ukarabati kwenye wodi ya watoto ya Hospitali ya Taifa Muhimbili, ikiwemo...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Godbless Lema na Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya fedha ya chama hicho amesema endapo wanachama na wadau wakikichangia chama hicho kwa wingi...
9 Reactions
42 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…