Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa Viti Maalum Taasisi zisizo za Serikali(NGO) ameendelea kujiimarisha katika harakati za Ubunge Bukoba Mjini kwa kuendelea kutoa misaada mbalimbali Pia soma Pre GE2025 Special Thread...
0 Reactions
1 Replies
342 Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema kuwa katika kipindi cha miaka minne ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, madarakani ameweza kutekeleza miradi yote ya kimkakati iliyoasisiwa na watangulizi wake...
0 Reactions
1 Replies
320 Views
Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Sekta ya Maji
1 Reactions
0 Replies
286 Views
Nimebubujikwa na machozi ya shangwe kupata ujumbe wa simu wa Mwenyekiti wa CCM kujikumbusha kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura Wadau hamjamboni nyote? Kwangu Mimi niheshima...
2 Reactions
18 Replies
782 Views
Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Nishati
0 Reactions
0 Replies
259 Views
Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Sanaa, Utamaduni na Michezo
1 Reactions
1 Replies
295 Views
Mamlaka ya usafiri na uchukuzi fuatilieni hili swala, mama kama huyu kusafiri mikoa yote mzigo wake ukiwa sawa alafu ghafla anazuiliwa kwenye mzani wa mwisho inafikirisha sana. Kuna mazingira ya...
2 Reactions
0 Replies
256 Views
Ukianzia pale kwa Mzee Kinana unaweza kuiona kabisa Team Ben Mkapa ndio imeshika Mikoba ya CCM kwa sasa Mzee Kinana, Dr Nchimbi, Makalla na Rostam Aziz yaani Lupaso Watupu Mungu wa Mbinguni...
4 Reactions
43 Replies
2K Views
Sijui kwa jimboni kwako, sijui kwa upande wa kada yako Kama kijana, mtu mzima au mzee. Ila iwe iwe wapinzani, iwe wale wa chama tawala Lakini in general wanasiasa wa Tanzania hawapendi kabisa na...
1 Reactions
2 Replies
269 Views
Hali ya siasa ni shwari zaidi kwa upande wa CCM na ushindi wa kishindo uchaguzi ujao ni wa uhakika na unanukia vizuri sana kwa ngazi zote za urais, ubunge na udiwani. Na mpaka sasa hakuna anae...
2 Reactions
8 Replies
588 Views
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa, Saidi Goha, akiambatana na wajumbe wa Sekretarieti ya CCM mkoa, ameendesha semina kwa viongozi wa chama na jumuiya zake kuanzia ngazi ya matawi...
0 Reactions
0 Replies
273 Views
Ni muendelezo wa nia na dhamira njema ya CCM na mbeba maono wa waTanzania wote Dr.Samia Suluhu Hassan katika kuliunganisha taifa kua imara zaidi katika umoja, amani na mshikamano, na kuifungua...
4 Reactions
78 Replies
2K Views
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza jinsi ambayo katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan ametekekeleza kwa...
0 Reactions
2 Replies
444 Views
Mimi ni mtaalamu wa fedha na kwa mawazo yangu tatizo la kodi na TRA linaanza na uratatibu mbaya wa ukusanyaji wa kodi. Kuna kodi za aina mbili kubwa 1. Kodi za mauzo. Kwenye kodi hizi ambazo kwa...
6 Reactions
60 Replies
3K Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndugu Hemed Suleiman Abdulla akikabidhi sadaka ya Iftari kwa watendejaji zaidi ya 330 wa Chama cha Mapinduzi kwa upande wa Unguja katika Ofisi...
0 Reactions
2 Replies
308 Views
Miaka 4 ya Serikali ya Awamu ya Sita katika Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
0 Reactions
0 Replies
260 Views
Mbunge wa Jimbo la Kibaha Mjini, Sylvestry Koka, amewataka walimu kuchagua viongozi wenye uwezo wa kuwapambania na kudai maslahi yao badala ya kujihusisha na harakati zisizokuwa na tija kwa...
0 Reactions
5 Replies
513 Views
Habari wakuu. Mimi nipo na wazo ambalo naamini litapunguza tatizo la ajira Kama sio kuliondoa. Naomba Kama kuna kiongozi umu ndani tuwasiliane PM.
3 Reactions
17 Replies
819 Views
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), Murshid Nzege, amesema sasa ni wakati mwafaka kwa madiwani nchini kuhakikisha wanatoa taarifa kwa wananchi kuhusu maendeleo...
0 Reactions
3 Replies
483 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wananchi katika makundi maalum wakiwemo Wazee, Yatima, Watu wenye Ulemavu, Wajane, Walimu wa Madrasa...
0 Reactions
1 Replies
406 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…