Hali ya siasa ni shwari zaidi kwa upande wa CCM na ushindi wa kishindo uchaguzi ujao ni wa uhakika na unanukia vizuri sana kwa ngazi zote za urais, ubunge na udiwani.
Na mpaka sasa hakuna anae...
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa, Saidi Goha, akiambatana na wajumbe wa Sekretarieti ya CCM mkoa, ameendesha semina kwa viongozi wa chama na jumuiya zake kuanzia ngazi ya matawi...
Ni muendelezo wa nia na dhamira njema ya CCM na mbeba maono wa waTanzania wote Dr.Samia Suluhu Hassan katika kuliunganisha taifa kua imara zaidi katika umoja, amani na mshikamano, na kuifungua...
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza jinsi ambayo katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan ametekekeleza kwa...
Mimi ni mtaalamu wa fedha na kwa mawazo yangu tatizo la kodi na TRA linaanza na uratatibu mbaya wa ukusanyaji wa kodi. Kuna kodi za aina mbili kubwa
1. Kodi za mauzo. Kwenye kodi hizi ambazo kwa...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndugu Hemed Suleiman Abdulla akikabidhi sadaka ya Iftari kwa watendejaji zaidi ya 330 wa Chama cha Mapinduzi kwa upande wa Unguja katika Ofisi...
Mbunge wa Jimbo la Kibaha Mjini, Sylvestry Koka, amewataka walimu kuchagua viongozi wenye uwezo wa kuwapambania na kudai maslahi yao badala ya kujihusisha na harakati zisizokuwa na tija kwa...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), Murshid Nzege, amesema sasa ni wakati mwafaka kwa madiwani nchini kuhakikisha wanatoa taarifa kwa wananchi kuhusu maendeleo...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wananchi katika makundi maalum wakiwemo Wazee, Yatima, Watu wenye Ulemavu, Wajane, Walimu wa Madrasa...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Ruvuma, Kelvin Charles, amewahimiza vijana wa mkoa huo kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi mkuu...
Wakuu
Katika kusheherekea na kuadhimisha miaka minne ya utumishi wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia tangu alipoingia madarakani Samia 4x4 wakiongozwa na Mtangazaji Salim...
WAZIRI wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza jinsi ambayo katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametekeleza kwa...
Ukigombea Urais unaweza ukapata au usipate, na wakati unagombea unatokea kwenye nyumba yako ambayo naamini haizidi vyumba vitano vya kulala.
Ukipata Urais huwa Serikali inakwenda kuyajenga makazi...
Naliona anguko kubwa la Bodi ya mikopo ya elimu ya juu,
Hivi walipewa mikopo ya elimu ya juu wakienda kuongeza ujuzi veta wakamaliza wakajiari je Bodi ya mikopo itafata marejesho?
Binafsi...
Ili kuboresha sekta ya kilimo nchini Tanzania mwaka 2025, Rais anayechaguliwa anaweza kuchukua hatua kadhaa muhimu ili kuimarisha kilimo, kuongeza uzalishaji, na kuboresha maisha ya wakulima. Hapa...