Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema kumekuwa na mwitikio mkubwa kwa wananchi kujitokeza katika vituo mbalimbali vya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unaofanyika mkoani...
0 Reactions
0 Replies
248 Views
Wakuu Umoja wa Madereva na Makondakta wa Daladala Mbeya Jiji (UDEKO) umetoa wito kwa Mbunge wa Mbeya Mjini na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, kugombea...
0 Reactions
3 Replies
419 Views
Whethe mpango huo wa kitapeli utafanikiwa ama laa, lakini mwisho wa siku pesa ndio itakayo wagombanisha na kuvuana nguo hadharani uongozi mpya wa chadema. Ni suala la muda tu kwa jambo hilo...
1 Reactions
38 Replies
1K Views
Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa chama cha Mapinduzi (UVCCM ) Rehema Sombi Omary amewataka Viongozi wa UVCCM Mikoa yote Nchini kuandaa Kambi za Mafunzo maalumu kwa Vijana ili Kuweza...
0 Reactions
11 Replies
819 Views
Mimi ni mwanachama wa CCM na najivunia uanachama wangu, lakini sijawahi kuchangia chama kwa njia yoyote. Najiuliza, je, mchango wa mwanachama unatakiwa kuwa wa kifedha tu, au kuna njia nyingine za...
3 Reactions
28 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha , ameahidi kutoa Bajaji mpya na runinga kwa Bi. Arafa Yusuph Matoke (74),ambaye ni miongoni mwa maelfu ya wanawake wanaoshiriki shamrashamra za kuelekea Kilele cha siku ya...
0 Reactions
1 Replies
471 Views
Mdau wa maendeleo mkoani Iringa Elia Kitomo amekabidhi mifuko 10 ya simenti katika shule ya Msingi Ibogo inayopo kijiji cha Magubike kata ya Nzihi ndani ya jimbo la Kalenga mkoani Iringa. Kitomo...
0 Reactions
2 Replies
344 Views
Ombi langu kwenu (JWTZ) ni kwamba mwaka huu na mwakani tunaelekea kwenye chaguzi za nchi yetu na hapa ndipo usalama mkubwa ndani ya nchi unapotakiwa kuangaliwa kwa ukaribu zaidi, niwaombe sana...
5 Reactions
91 Replies
7K Views
Chama cha ACT Wazalendo kimepokea kwa masikitiko makubwa na kulaani vikali kutekwa kwa wananchi wawili Dar es Salaam na Kigoma katika mazingira yanayotia shaka, huku Jeshi la Polisi likionyesha...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Tuko live kwenye mkutano wa Viongozi wa Chadema na Jukwaa la Wahiriri wa habari. Mambo yanayozungumzwa humo ni mazito sana. Tundu Lissu anasema kuna hali isiyo na usawa ktk kugawa majimbo sehemu...
14 Reactions
76 Replies
3K Views
Lissu amesema "Tutatembea nchi nzima kuwaambia Watanzania hamuwezi mkawa mnaenda kupiga Kura kwenye chaguzi za kutoana Kafara, tuungeni mkono kubadilisha taratibu za Uchaguzi" Kupata taarifa na...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
https://www.youtube.com/live/OFc_2MInLSo?si=01-pw3HvWrVbJbkX Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, ametoa maoni yake kuhusu hali ya ndani ya Chama cha Demokrasia na...
11 Reactions
80 Replies
4K Views
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameshauri serikali kuitisha Bunge la dharura kufanya marekebisho ya sheria za uchaguzi, akisisitiza msimamo wa chama hicho wa ‘hakuna uchaguzi bila mabadiliko'...
8 Reactions
53 Replies
3K Views
Katika siasa za Tanzania, mada ya uchaguzi na mabadiliko ya kisera inaendelea kuwa na umuhimu mkubwa. Chadema, chama kikuu cha upinzani, kimekuja na kauli mbiu inayosema "No reforms, No election."...
0 Reactions
0 Replies
511 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF) unaofanyikasiku ya Jumapili Machi 2, 2025...
0 Reactions
0 Replies
430 Views
Wakuu, Mapema leo Naibu Katibu Mkuu wa ACTWazalendo -Zanzibar Omar Ali Shehe alidai kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho Hadija Anuwar alitekwa na watu wasiyojulikana wakati wa uandikishaji...
1 Reactions
9 Replies
655 Views
Nimeamini msemo wa Vunja mifupa ungali meno iko. Huyu ni aliyekuwa Waziri wa Afya Ummy Mwalimu. Adabu kama zote. Hadi Jokate anamshangaa Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi...
14 Reactions
90 Replies
7K Views
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman amewapokea na kuwakaribisha Chawa wa Rais Samia huko Zanzibar na kuwaahidi kuwa Serikali ipo nao na inaunga mkono mambo wanayofanya. Aidha...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Jumapili MKOA wa Singida unatarajia kuyatumia maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayofanyika kila mwaka Machi 8, kwa kugawa mitungi ya gesi 29,000 yenye bei ya ruzuku kwa wanawake ikiwa ni...
1 Reactions
4 Replies
463 Views
Back
Top Bottom