Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanachuo na Wakufunzi wao kutoka Chuo Kikuu Cha Whitworth cha Marekani leo wametembelea Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na Katibu wa NEC Mambo ya...
0 Reactions
6 Replies
391 Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Songwe kimewaonya Umoja wa Vijana (UVCCM) Wilaya ya Momba pamoja na Mbunge wa Jimbo la Momba, Kondesta Sichalwe kutokana na mvutano ulioibuka kati yao hivi...
1 Reactions
0 Replies
449 Views
Labda kama teuzi zile za Nyerere kwa Vijana akina Wassira, Salim, Ulimwengu, mzee Mgaya nk Enzi zile zilitufelisha kimaendeleo lakini binafsi naamini Kijana kuwa Chawa ni dhambi nyekundu Mtazame...
29 Reactions
73 Replies
3K Views
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CCM CPA Amos Makalla akieleza namna chama hicho tawala nchini kilivyojipanga kufanya kampeni za kistaarabu kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu...
1 Reactions
1 Replies
372 Views
Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi wa UVCCM Taifa, Jessica Mshama, ametoa onyo na wito mzito kwa Watu wote wanaonuia kuwatumia Vijana kufanya vurugu na kuwadanganya Vijana wasitimize...
1 Reactions
0 Replies
243 Views
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Abasi Mtemvu amewataka Vijana nchini kutumia majukwaa ya mitandao ya kijamii kama nyenzo ya kujenga jamii na kuchochea maendeleo badala ya kujiingiza katika...
0 Reactions
1 Replies
282 Views
Steve Nyerere amvaa Mwanasheria wa Kenya aliyekuja Tanzania kumtetea Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi ya uhaini.
1 Reactions
0 Replies
370 Views
CCM husema CHADEMA ina "keyboard warriors" kwa ivo Ina watu dhaifu wasioonekana kwenye harakati halisi mitaani? Leo Serikali inataka kesi kati yake na Lissu iendeshwe kwa kutumia mahakama...
3 Reactions
17 Replies
703 Views
INEC imetangaza vigezo sita kwa asasi na taasisi za kiraia zenye nia ya kutoa elimu Mkurugenzi wa INEC Tanzania Bw. Ramadhani Kailima Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza vigezo sita...
1 Reactions
7 Replies
586 Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Nusrat Hanje, amesema taifa linahitaji kuwa na amani na kwamba uchaguzi unapaswa kufanyika bila kizuizi chochote, kwani pakikosekana amani hakuna pa...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2020 uliogubikwa na kasoro nyingi sana, Magufuli na kikundi chake waliwarubuni Viongozi wasio waaminifu wa Chadema kupeleka majina ya Wabunge wa Viti Maalum ambao baadae...
19 Reactions
83 Replies
3K Views
DUNIA sasa iko kasi, nchi kama Rwanda inawaza kujitanua kiuchumi na kijiografia, Wazungu watu wenye akili wanawaza kujiimarisha kiuchumi kwa kupata rasilimali toka mataifa mbalimbali, nchi za Asia...
4 Reactions
10 Replies
548 Views
Katika hali inayozua maswali mengi, taarifa zimeibuka zikidai kuwa shilingi milioni 24 zilizochangwa na Watanzania waishio nje ya nchi (Diaspora) kwa ajili ya kusafirisha watu kutoka mikoani kuja...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Wasalaam. Hawa vijana wanadai mabadiliko, sijui hii picha kama ni halasi au edited ila sio ishara njema kwa ccm wenyewe.
0 Reactions
5 Replies
487 Views
Baba wabariki watumishi wako wafanye kazi pamoja na wewe. Sisi Watanzania tunasubiri Baraka zetu kutoka kwako. Kisa cha Samsoni kwenda kuoa Mke kwa Wafilisti Wazazi wa Samsoni Mzee Manoa...
2 Reactions
6 Replies
514 Views
Mbunge wa Jimbo la Busokelo, Mhe. Atupele Fredy Mwakibete leo tarehe 29 Aprili, 2025 Amechangia Bungeni wakati Bunge likijadili Hotuba ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati kwa Mwaka wa Fedha...
0 Reactions
4 Replies
507 Views
Makamu mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) ameandika kupitia ukurasa wake wa X kuwa nyumba yake imezingirwa na polisi wakiwa na gari nne. Anaandika; "Nimezingirwa nyumbani...
14 Reactions
186 Replies
11K Views
Rais Mwinyi Enzi hizo ni Waziri wa Ulinzi,analijua Mkuu wa Majeshi akiwa Mwamnyange ,analijua. Waziri Mkuu Kasimu analijua. Mwaka 2014 Vijana zaidi ya 50 wa JWTZ waliokua wanafanya Mafunzo ya...
15 Reactions
41 Replies
3K Views
"Chama cha Mapinduzi (CCM) kinaamini kuwa marekebisho mengi yaliyofanywa katika sheria mbalimbali za kusimamia uchaguzi (mabadiliko ya sheria ya uchaguzi wa Madiwani, Wabunge na Rais; mabadiliko...
1 Reactions
12 Replies
598 Views
Kichwa hakihitaji maelezo mengi saana. Kinajitosheleza. Tuwasaidie maana binafsi nadhani wafuasi wengi wa Chama hiki hawafanyi [introspection]. Najua nitashambuliwa saana na sina wasiwasi na hili.
1 Reactions
14 Replies
603 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…