Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita katika Shule za Sekondari za Kagera River na Kituntu Sekondari zilizopo katika Wilaya ya Karagwe, mkoani Kagera, wamempongeza Rais wa Jamhuri ya...
0 Reactions
1 Replies
360 Views
Katibu wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam ndugu Hussein Athuman Egobano Amepokelewa kwa shangwe na Hamasa Kubwa ndani ya Kata ya Kisukuru huku akiongoza maandamano ya...
0 Reactions
1 Replies
295 Views
Rushwa ndani ya vyama vya siasa inahujumu demokrasia kwa kupendelea wenye nguvu kifedha, huku ikiweka kando wagombea wenye sifa lakini wasio na rasilimali kubwa. Hali hii huzaa uongozi...
1 Reactions
2 Replies
448 Views
Wakuu, Miaka 63 ya Uhuru na bado CCM wanazungumzia masuala ya umeme? Seriously? Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, akizungumza na wakazi wa mji wa...
3 Reactions
44 Replies
2K Views
Waziri kivuli wa ofisi ya waziri mkuu- bunge, Sera, vijana, kazi na ajira, Kutokea ACT Wazalendo, Ndolezi Petro kupitia ukurasa wake wa X ameandika kuwa uamuzi uliotolewa na Mwenyekiti wa Chadema...
0 Reactions
4 Replies
488 Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii wametembelea na kukagua Mradi wa Nyumba za Mtoni Kijichi awamu ya Tatu unaomilikiwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) leo Machi...
0 Reactions
11 Replies
892 Views
Chama cha ACT Wazalendo kimeiomba Serikali kuwachukulia hatua viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Makamu Mwenyekiti Bara, Stephen Wasira, na Naibu Katibu wa Habari na Uenezi wa CCM-Zanzibar...
2 Reactions
3 Replies
850 Views
Wakuu, Kunazidi kufurukuta, moshi unaongezeka! ==== Wakati kitendo cha kuzuiwa kuingia nchini Angola na mamlaka za nchi hiyo kwa Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman na mwenzake...
7 Reactions
88 Replies
4K Views
Wadau mambo? Naomba twendeni kwenye mada. Shughuli zangu zinanipa fursa kufika mikoa na wilaya mbalimbali za nchi yetu ya Tanzania. Na katika kufika huko niliamua kufanya UTAFITI WA KAWAIDA...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika Tawi la Tanzania Misa Tan, imeahidi kuendelea kushirikiana na wadau wa habari katika kuhakisha vyombo vya habari, vinafanya kazi wa weledi katika...
1 Reactions
10 Replies
766 Views
Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini (CCM) Mhe. Kwagilwa Rubeni, amesema kuwa wabunge na wananchi wa ukanda wa kaskazini wanaunga mkono uamuzi wa serikali wa kununua umeme kutoka Ethiopia kupitia...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Tanzania ina viongozi vijana wachache sana wenye moyo wa kujituma, na kubuni fursa mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya taifa. Binafsi mh Makonda nikiaangalia kwa jicho la tatu, ni kiongozi bora...
16 Reactions
128 Replies
5K Views
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ipo kwenye hatua za mwisho za kusaini mikataba ya kununua umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini ili Mikoa hiyo ipate umeme wa uhakika...
17 Reactions
302 Replies
10K Views
Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini Askofu Dkt. Fredrick Shoo amewataka wananchi kutokuwa tayari kuona yaliyofanyika katika chaguzi zilizopita yakijirudia katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu 2025. Askofu...
4 Reactions
15 Replies
966 Views
Siku ya ya jana tarehe 13 Machi 2025 ITV walikuwa wakirusha matangazo mbashara kipindi cha malumbano ya hoja mada ikiwa 'kutofanyika kwa dabi ya Simba na Yanga nini kifanyike?'. Wakati kipindi...
15 Reactions
50 Replies
3K Views
BALOZI NCHIMBI ACHANGISHA SH. 950 MILIONI KWA MATIBABU YA WAGONJWA WA MGUU KIFUNDO KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amefanikisha uchangishaji wa...
4 Reactions
12 Replies
839 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Wasira amezungumza na wanachana na viongozi wa Chama wilayani ileje mkoani Songwe akiwa katika siku ya tatu ya ziara yake mkoani...
0 Reactions
4 Replies
469 Views
Wakuu, Mambo yametokea huko, ngoja waseto waje watueleze kunani! Au CCM ndio imepiga pini 'No Reforms No Election' isipate nguvu wakaanza kushawishiwa kupokea mabadiliko?! ===== Msafara wa...
17 Reactions
100 Replies
7K Views
Wakuu uchawa unapandikizwa kwa nguvu mpaka kwa wanafunzi, hizi kauli za mitano tena kwa hawa watoto na za kumezeshwa na watu wasiojitambua. ==== Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita katika Shule...
0 Reactions
0 Replies
380 Views
Chama cha ADA TADEA kimesema kuwa wanawake na wenye ulemavu watakaojitokeza kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi mkuu mwaka huu, watachukua fomu za kuwania nafasi hizo bure...
2 Reactions
2 Replies
432 Views
Back
Top Bottom