Unaweza kuona hili ni jambo Dogo, lakini hili la sasa ni kampeni ya kudumu kwa siku zote.
Angalia hapa mmoja wa Wazalendo laki 6 na elfu 70 waliosambaa Nchi nzima kuhamasisha watu kuhusu kampeni...
Ugonjwa mkubwa wa Tanzania upo katika mfumo wa uendeshaji wa hili taifa,ukiiponya mifumo
umeliponya taifa.
Tanzania haimuitaji Tundu Lissu,haimuitaji Zitto Wala Lungwe,haiwaitaji CHADEMA,CHAUMMA...
Shangwe Ayo, Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano ya Umma wa ACT Wazalendo na Waziri Kivuli wa Utumishi wa Umma na Utawala Bora, kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), ametangaza kuwa...
Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Stockholm - Sweden
Unawaalika kwenye Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani
Mahali: Piazzablu, Hallonbergsplan 5-7, 174 52 Sunday Sundbyberg...
Wakuu
Wasifu wa mbunge wa Kinondoni Tarimba Gulam Abbas katika tovuti ya bunge unaonesha alitumia miaka miwili tu, 2010 na 2011 kupata degree pamoja na master's ya sheria kutoka chuo kikuu cha...
ACT WAZALENDO YAPINGA MATUMIZI MABAYA YA FEDHA ZA UCHAGUZI MKUU
Chama cha ACT Wazalendo kinapenda kuwajulisha wananchi wote wa Tanzania kuwa katika muktadha wa Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa...
Wakuu,
Hizi hoja za kuwatambua watu kwa misingi ya makabila, kama vile kudai kwamba Waarabu wa Oman wana mapenzi maalum kwa Wasukuma, si jambo la kawaida ni njia ya kujaribu kutafuta sababu ya...
Huu ndiyo ukweli,hakuna kiongozi au watoto wa Viongozi ambao ni machawa
Na ukitegemea wameshawekewa nafasi nyeti za uongozi kuanzia Urais,Uwaziri,Ubunge,na nafasi zingine zenye mishahara mizuri...
Amesikika akisema rais amechanganyikiwa kwa kusema Tanzania kiuchumi inafanya vizuri kuliko ulaya na Marekani
Pia akaongeza kuwa amefanya utafiti kuwa idadi ya askari wa jeshi la polisi ni laki...
Kenya mwanablog mmoja KAULIWA nchi haikaliki ni maandamano kila kukicha, mkuu wa kituo yupo mahabusu, mkuu wa polisi langat kajiuzulu bado leo ni maandamano Makubwa nairobi haikaliki! Sisi kwetu...
Rais mstaafu, Jakaya Kikwete amesema, licha ya vyama mbalimbali vya siasa kuwa na kauli mbiu zake zikiwamo za "Piga kura linda kura (ACT Wazalendo, "Oktoba tunatiki ya CCM na No Reforms No...
Salaam, Shalom!
Wanadamu wote asili yao ni Adam na Eve, walitokana na udongo.
Sasa Leo kuna mtu ameponyokwa neno la Siri na kutudokeza kuwa tuna kiongozi nusu udongo nusu chuma.
Je mtu huyu...
Mbunge wa Viti Maalum, Jacqueline Ngonyani, akichangia katika Mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unaoendelea jijini Dodoma leo Juni 18, 2025, amesema amekoshwa na majibu...
Naona ACT walisaini vitu ambavyo hawakubaliani navyo.
Kwa sasa wanahamasisha wananchi kulinda kura, hilo siyo jukumu au wajibu wetu. Sisi ni kutiki na kwenda kusubiri matekeo hadi yatangazwe na...
Tunajua Tanzania tunatawaliwa na soko huria ambapo kunaruhusiwa ushindani. Juzi Mhe. Mpina aliposhauri kuwa ni kwa nini tunatumia mtindo wa ukiritimba (monopoly) katika ununuzi wa pamba msimu huu...
WanaJF amani ya Bwana iwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.
Rejea mada tajwa hapo juu,
CCM mnamloga mama wa watu, acheni tabia hii. Huyu mama wa watu hata kama yupo na mapungufu kama binadamu...
Salaam!
Ule mwisho uliotarajiwa, unakuja kwa njia ngumu sana na ya kutisha.
Ni majira yameruhusiwa kutokea duniani Ili kuwakusanya watu pande kuu mbili.
Na pande hizi ni pande mbili za kiimani...
Kwa lugha rahisi, kiapo ni ahadi rasmi, tena mbele ya ushahidi wa Mwenyezi Mungu juu ya matendo yako na tabia zako kuanzia siku hiyo ya kiapo.
Kwa ndugu zangu wakristo kama alivyo mheshimiwa JPM...
Rais wa Cuba kutwa akisimama kwenye majukwaa hautamsikia akizungumzia mipango endelevu ya kiuchumi na investment pamoja maendeleo ya kiteknolojia katika nyanja tofauti na kwa jinsi gani zinaweza...