Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu Watanzania, Ukisikia kuifungua Nchi kwa manufaa ndio huku sasa. Ukisikia kuinua uchumi ndio huku sasa,ukisikia kuvutia wafanyabiashara ndio huku sasa,ukisikia kuvuta fursa ndio huku...
2 Reactions
77 Replies
2K Views
Ni mjadala unaoendelea huko X/Twitter kati ya Martin M. Masese na Peter Madeleka (wakili). Alianza kwa swali la kejeli Martin M. Masese akamshushia nondo hizi akirejea mavuguvugu mbalimbali...
73 Reactions
237 Replies
11K Views
Natoa tu angalizo kwa akina Mziwanda kwamba wasiishi kwa kukariri Walikuwepo akina Mtopea wasidhani Watanzania ni wajinga Ahsanteni sana 🐼
1 Reactions
20 Replies
973 Views
Idadi ya watu waliopoteza maisha kufuatia mafuriko makubwa yaliyoyakumba maeneo ya kati mwa jimbo la Texas, Marekani, imefikia watu 78, wakiwemo watoto 28. Taarifa hiyo imetolewa na maafisa wa...
0 Reactions
5 Replies
402 Views
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KAULI ZA UCHOCHEZI ZILIZOTOLEWA KWENYE UZINDUZI WA KANISA LA "ARISE AND SHINE" SIKU YA TAREHE IJUMAA TAREHE 5 JULAI 2025. Chadema tunalaani vikali kauli za kichochezi na...
28 Reactions
98 Replies
5K Views
Naibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Taifa, Shangwe Ayo amesema "Tunajua mmejazwa woga! Na huu woga ndio mtaji wa CCM na Serikali. Sasa niwaambie Wanashinyanga, woga haujawahi kuleta matunda kwa yeyote."
1 Reactions
2 Replies
321 Views
Kiongozi wa ACT Wazalendo, Bi. Dorothy Semu, ametoa kauli kali akilaani kile alichokiita matumizi mabaya ya vyombo vya usalama na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika chaguzi zilizopita. Akihutubia...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Mbio za kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 zinazidi kushika kasi. Ni uchaguzi ambao Watanzania watamchagua rais wa Jamhuri ya Muugano, wabunge, madiwani na upande wa Zanzibar, watachagua rais...
0 Reactions
2 Replies
634 Views
Siasa za bongo mtifuano upo baadhi tu ya majimbo Arusha , mbeya nk. Je Arusha nani ni nani? Gambo ccm? Makonda ccm? Lema chadema?
1 Reactions
2 Replies
358 Views
Israel inasema imeanzisha mashambulizi kwenye bandari tatu na kiwanda cha nguvu za umeme katika maeneo yanayodhibitiwa na Wahouthi ya Yemen. Waziri wa Ulinzi wa Israel Israel Katz alithibitisha...
0 Reactions
1 Replies
330 Views
Kwa mtu mmoja dhambi iliingia Ulimwenguni na kwa Mtu mmoja Dunia ilikombolewa Inatafakarisha sana 👴
1 Reactions
10 Replies
368 Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha kimetoa ufafanuzi kuhusu madai yanayomkabili aliyekuwa Diwani wa Kata ya Mbureni, Faraja Maliaki, ambaye hivi karibuni ilisambaa video kwenye mitandao...
0 Reactions
4 Replies
832 Views
Katika shamrashamra za maadhimisho ya Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani yaliyofanyika jijini Stockholm, Sweden, mgeni rasmi, Mhe. Nyamko Sabuni, Waziri wa zamani wa Usawa na Jinsia nchini Sweden...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Hii ni Nini jamani, au ndo civil disobedience, na vijana Sahivi wameapa kuzipiga chata notes za TSH chapa ya no reform no election.
10 Reactions
54 Replies
3K Views
Mara baada ya ukimya wa muda mrefu, Freeman Mbowe — aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) — ameibukia kanisani kwa Mchungaji Kimaro katika Kanisa la KKKT Kijitonyama...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Jamani jamiiforum ni kisima cha maarifa. Japokuwa mm hutoa comments za mizaa kwa wingi lkn kuna vitu naviokota humu. Ktk moja ya nyuzi zinazoongelea kesi ya uhaini ya bw. Lisu kuna mdau katoa...
11 Reactions
46 Replies
3K Views
Mchungaji Matsahi wa KKKT Kimara ameonya wale wote wanaoshabikia KUKINUKISHA waachane na huo ujinga kwa jina la Yesu Kristo Matsahi amesema yeye alikuwa nchini Israel Juzi wakati waarabu...
5 Reactions
63 Replies
2K Views
Wizi wa Kura una maana pana hivyo mwanasiasa anapoogopa kuibiwa Kura huyo hana akili sawa sawa Wizi mkubwa wa Kura unafanywa kwenye Kampeni ambapo Wapiga Kura wanadanganywa na kupewa ahadi za...
1 Reactions
0 Replies
193 Views
Gavana mstaafu wa Nairobi Mh Sonko amesema amechoshwa na Vurugu na mauaji na yuko mbioni kuhamia kisiwa cha Amani Tanzania Sonko amesema Juzi tu ametoka kununua Jeneza la kumzikia Boniface...
0 Reactions
17 Replies
679 Views
Ndugu Watanzania, hususan Wakristo Wakatoliki, salaam za haki, amani, upendo na uadilifu kwenu. Awali ya yote, napenda kusema kuwa sisi Watanzania hatukufunzwa wala kulelewa tangu utotoni kuelewa...
16 Reactions
51 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…