Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha kimetoa ufafanuzi kuhusu madai yanayomkabili aliyekuwa Diwani wa Kata ya Mbureni, Faraja Maliaki, ambaye hivi karibuni ilisambaa video kwenye mitandao...
0 Reactions
4 Replies
831 Views
Katika shamrashamra za maadhimisho ya Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani yaliyofanyika jijini Stockholm, Sweden, mgeni rasmi, Mhe. Nyamko Sabuni, Waziri wa zamani wa Usawa na Jinsia nchini Sweden...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Hii ni Nini jamani, au ndo civil disobedience, na vijana Sahivi wameapa kuzipiga chata notes za TSH chapa ya no reform no election.
10 Reactions
54 Replies
3K Views
Mara baada ya ukimya wa muda mrefu, Freeman Mbowe — aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) — ameibukia kanisani kwa Mchungaji Kimaro katika Kanisa la KKKT Kijitonyama...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Jamani jamiiforum ni kisima cha maarifa. Japokuwa mm hutoa comments za mizaa kwa wingi lkn kuna vitu naviokota humu. Ktk moja ya nyuzi zinazoongelea kesi ya uhaini ya bw. Lisu kuna mdau katoa...
11 Reactions
46 Replies
3K Views
Mchungaji Matsahi wa KKKT Kimara ameonya wale wote wanaoshabikia KUKINUKISHA waachane na huo ujinga kwa jina la Yesu Kristo Matsahi amesema yeye alikuwa nchini Israel Juzi wakati waarabu...
5 Reactions
63 Replies
2K Views
Wizi wa Kura una maana pana hivyo mwanasiasa anapoogopa kuibiwa Kura huyo hana akili sawa sawa Wizi mkubwa wa Kura unafanywa kwenye Kampeni ambapo Wapiga Kura wanadanganywa na kupewa ahadi za...
1 Reactions
0 Replies
193 Views
Gavana mstaafu wa Nairobi Mh Sonko amesema amechoshwa na Vurugu na mauaji na yuko mbioni kuhamia kisiwa cha Amani Tanzania Sonko amesema Juzi tu ametoka kununua Jeneza la kumzikia Boniface...
0 Reactions
17 Replies
678 Views
Ndugu Watanzania, hususan Wakristo Wakatoliki, salaam za haki, amani, upendo na uadilifu kwenu. Awali ya yote, napenda kusema kuwa sisi Watanzania hatukufunzwa wala kulelewa tangu utotoni kuelewa...
16 Reactions
51 Replies
2K Views
Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), kupitia mwenyekiti wake mpya, Askofu Dkt. Stanley Hotay, imetoa tamko kali kulaani vitendo vya utekaji na watu kupotea ambavyo vimeendelea kushamiri katika...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Ilikuwa hivi, tarehe 12 January, wazalendo wa Zanzibar, karibu wote weusi, walichukua silaha za jadi na kuteka ghala la silaha kisha kfanya mapinduzi kuuondoa utawala wa Kiarabu visiwani. Wakiwa...
7 Reactions
71 Replies
3K Views
Baadhi ya wananchi katika Jimbo la Arusha Mjini wameeeleza nia yao ya kumuona Mbunge wa jimbo hilo anayemaliza muda wake, Mrisho Gambo akirejea tena katika jimbo hilo kwa kipindi cha mwaka 2025-...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
  • Closed
Wakuu nileo tena. Napatwa na ukakasi nikisikiliza na kuangalia hawa mashekh wanapotoa maneno yao hususani kwenye kutumika kwao na watawala. Nimejiuliza hawa wenzetu wana fikra kama.za ma padree...
34 Reactions
103 Replies
5K Views
Kwa mujibu wa Sheria-Political Service Retirement Benefits ya 2020. Waziri Mkuu Mstaafu anapata stahiki zifuatazo, **Mbali na pensheni na gratuity baada Tu ya kuachia ofisi. Mengineyo 1...
9 Reactions
32 Replies
3K Views
Kama taifa unajiuliza tumefikaje hapa. Ukiangalia Ata majirani zetu Kenya na Uganda mwaka wa uchaguzi unakuwa na hamsha hamsha kweli kweli, political will ya raia inakuwa kubwa kweli...
0 Reactions
10 Replies
720 Views
Maafisa usafiri almaarufu madereva wa bodaboda mtandaoni walia kuwa uwanja wa Kimataifa wa Ndege jijini Dar es Salaam una eneo kubwa hivyo nao waruhusiwe kuingia...
1 Reactions
6 Replies
443 Views
Mwamba apewe kazi ya kuibadili PCCB kiufanisi kama hatujafanya uchaguzi Mkuu upya kila baada mwezi. Ufanisi utavuka 100%
3 Reactions
14 Replies
876 Views
Wakati vijana wa Kenya wakipambana kujinasua na makucha ta wanasiasa vijana wa kwetu wakiongozwa na Lucas Mwashambwa wao wamegeuka kuwa chawa wa mama! Hii ni aibu kwa vijana wetu! Unafika mahali...
0 Reactions
2 Replies
256 Views
Naomba kujua, chama cha ubwa bado kipo barabarani na nyomi lake au kimepumzika kwanza? Sijakiona mitandaoni kwa muda sasa.
3 Reactions
14 Replies
541 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…