Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Chama cha @actwazalendo_official kimeshinda uenyekiti wa kijiji cha Nkoasenga kilichoko Kata ya Leguriki Jimbo la Arumeru Mashariki mkoani Arusha, kwa kura 528 dhidi ya kura 418 za CCM...
0 Reactions
1 Replies
597 Views
Wandugu kwema? Ukishangaa ya musa utayaona ya firauni. Hivi ndivyo unaweza kusema. Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mgombea nafasi ya uwenyekiti kupitia CCM bwana ABDALLA KIBELE jana alionekana...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu, Wakati zoezi la kupiga kura linaendelea vitendo vya uchakachuaji na malalamiko ya kuonewa wakati wa uchaguzi huwa havikosekani. Pia soma: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Mijadala ya...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Kipindi cha jk watu walifurahia kupiga kura kwa sababu kila kura ilikuwa na thamani na aliyeshinda ndo alitangazwa. Lakini tangu Hayati Magufuli aingie madarakani tanzania ikawa jehanamu ya kila...
2 Reactions
2 Replies
350 Views
Samia nae anayoyafanya anayoyafanya kwenye uchaguzi anafikiri ndo atapendwa sana na wanaccm na watanzania Rais amegoma kushaurika na anaona yeye ana mamlaka ya kuyafanya haya bila kuulizwa na...
8 Reactions
25 Replies
1K Views
TAMKO LA KUTANGAZA SIKU YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KUWA SIKU YA MAPUMZIKO LA MWAKA 2024 KWA KUWA kifungu cha 3 cha Sheria ya Sikukuu za Kitaifa, Sura ya 35, kinampa Rais mamlaka ya...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 27 Novemba 2024 amepiga Kura ya kuwachagua Viongozi wa Serikali za Mitaa katika Mtaa wa Unyamwezini Kata ya...
0 Reactions
0 Replies
355 Views
CCM ni chama kikubwa chenye historia kubwa ndani ya nchi na nje ya nchi lakini nashauri yafatayo! CCM kwenye chaguzi kuanzia 2019 imekuwana na woga kushindana na vyama vingine na kupelekea watu...
8 Reactions
58 Replies
2K Views
TAARIFA KWA UMMA Tumeendelea kupokea matukio hujuma kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji. Utekaji, ukamataji kinyume cha sheria, kura feki, na kusumbuliwa kwa mawakala. ===...
0 Reactions
2 Replies
475 Views
Wakuu, Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kitongoji cha Stand, Kata ya Mkwese, Wilayani Manyoni, Mkoani Singida umeahirishwa baada ya mgombea wa nafasi hiyo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
0 Reactions
3 Replies
690 Views
Wakuu, Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa...
10 Reactions
71 Replies
5K Views
DEMOKRASIA NYAKATI ZA UCHAGUZI INAVYOKIIMARISHA CHAMA CHA MAPINDUZI Safari ya CCM 🚍 Simulizi hii ya 'Safari ya CCM' inatueleza namna michakato ya kidemokrasia nyakati za uchaguzi...
2 Reactions
4 Replies
589 Views
Ona namna shule, madaraja barabara na shule pia hospitali zinavyojengwa . Je ni Mtanzania gani angechagua upinzani? Hii ndio sababu ya wagombea CCM kupita bila kupingwa kwa asilimia 90.
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Huko Kata ya Ruhuhu, wilayani Ludewa, mkoani Njombe, karatasi za kupigia kura hazikuwa na majina ya wagombea kupitia CHADEMA. Wananchi waliweza kuzuia uchaguzi usifanyike. Mtendaji kata bwana...
7 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu, Waziri Mchengerwa akiwa anahojiwa na mtangazaji wa TBC, Dar, amesema kuwa yapo maeneo ambayo matokea yalishaanza kutangazwa kwani Wasimamizi Wasaidizi walishapewa maelekezo kwamba pale...
2 Reactions
5 Replies
626 Views
WanaJF, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Dar es Salaam. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Chama cha ACT Wazalendo kimeshinda Kijiji cha Nkoasenga kilichoko Kata ya Leguriki Jimbo la Arumeru Mashariki. ACT Kura 528 CCM Kura 417 Kwa hivyo Jotsun Mbise ndio Mwenyekiti wa Kijiji cha...
1 Reactions
5 Replies
771 Views
Iringa ni mkoa uliopo Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania, kati ya latitudo 6.540 na 100, na longitudo 33 na 37° Mashariki. Mkoa huu unachukua eneo la kilomita za mraba 58,936. Iringa ni mji wenye...
1 Reactions
3 Replies
912 Views
Je, ni halali kuvujisha Taarifa za Uchaguzi wa ndani wakati zoezi la Kupiga Kura halijakamilika? Ona sasa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania umekuwa ndio habari kuu ya Al Jazeera Kwa Siku ya...
6 Reactions
64 Replies
3K Views
Uchaguzi umeisha leo, walioshinda na walioshindwa wote watanzania, cha msingi wananchi wanataka huduma na sio bora huduma, mnaopanga kufanya vurugu mnajitafutia kifo na jela tu
0 Reactions
0 Replies
216 Views
Back
Top Bottom