Joseph Mbilinyi aka Sugu kuongea na taifa 20|03|2025
MY TAKE;
Viongozi wa chama kilichokupa nguvu ya Kisiasa tunakuja Kwenye kanda yako.
Bado nakushauri. Huna nguvu kuliko Tundu Lissu, uchague...
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amesema miaka minne ya Rais Samia Suluhu Hassan imekuwa na maana kubwa katika ustawi wa maisha ya Watanzania...
Wakuu,
Akizungumza hivi karibuni kwenye mahojiano ya moja kwa moja na Jambo TV, mwanasiasa maarufu ambaye alishawahi kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA mwaka 2010, Wilbroad Slaa amesema...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeielekeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Mkazi, na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dk. Juma Homera kuweka utaratibu mzuri wa kugawa sehemu ya ardhi kwa wananchi wa...
📌Ujenzi wafikia 94%
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imekagua ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati katika mji wa Serikali Mtumba na kuipongeza Wizara kwa hatua ya ujenzi...
Alichoandika Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Siha, Dkt.Godwin Mollel kwenye ukurasa wake wa Instagram:
Hapa nilikuwa namwambia boss, wapinzani wangu jimboni nimewanyoosha hadi sasa...
Wakuu salam,
Kwa watu ambao tayari uliwahi kujiandikisha kabla kuna njia ya kujiandikisha mtandaoni. Nilikuwa sielewi jinsi ya kujisajili maana taarifa hii haipo kwenye website ya tume...
Tanzania ni nchi yenye mfumo wa kisiasa ulioimarishwa na uchaguzi wa kidemokrasia. Hata hivyo, kuna majimbo mengi ambapo, Rais aliyechaguliwa, hawajawahi kufika.
Katika maeneo haya, wananchi...
Rais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma, (UDOM) Mohamed Abdallah Mohamed amesema baada kumaliza elimu yake ya chuo kikuu anajiandaa kwenda chuo cha ufundi (VETA) kupata elimu ya ujuzi...
Wakuu
Hapa kama Nchi ndipo tumefikia yaani Chawa wa Rais Samia, Cassypool amesafiri kutoka Kenya kuja kutembelea ujenzi wa barabara ya Mwendokasi.
🤣 Nchi ina Chawa wa Kimataifa, labda kuna pesa...
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi amefafania madai ya uwepo wa wawtu mkoani Dar es Salaam wanaojiandikisha zaidi ya mara moja.
Ndg. Ramadhani Kailima amebainisha nini Tume...
Mbwembwe za mgogoro huu wa Yanga kugoma kucheza mechi iliyoahirishwa tarehe 8 March una baraka zote kutoka serikalini ili kudhoofisha mada kuu ya Chadema ya NO REFORM NO ELECTION, maana hawana...
Uzuri wa namba Huwa hazidanganyi zinakupa ukweli naked.
Yaani kila sekta Kila Idara Uongozi wa Samia unaonekana kuwa game changer.
Just imagine awamu 5 zilizotangulia zimejenga Jumla ya VETA...
Mkuu wa Mkoa Kagera Hajjati Fatma Mwassa amesema mnamo Mwezi Mei Ujenzi wa Soko jipya la Manispaa ya Bukoba utaanza na baada ya mwaka mmoja litakuwa tayari kwa matumizi.
Aidha RC Mwassa amesema...
Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa misingi ya Sheria Chini ya Katiba ya JMT
Tanzania haina kifungu cha Katiba wala Sheria kinachoruhusu MTU au Kikundi Cha Watu kuzuia Uchaguzi mkuu
Msikubali...
Habari kutoka CHADEMA zinaeleza kwamba Mkakati wa No Reform No Election utamfikia kila mlengwa kabla ya hatua ngumu zaidi huko mbele, lengo la kumfikishia kila Mhusika jambo hili ni kujiepusha na...
FARIS BURUHANI: VIJANA ACHENI KUTOA SADAKA TU JIFUNZENI KUPOKEA PIA*📌
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera ndugu Faris Buruhani amewaasa vijana wa mkoa huo kujipanga kimkakati kugombea nafasi za...
Mbunge wa Viti Maalum Taasisi zisizo za Serikali(NGO) ameendelea kujiimarisha katika harakati za Ubunge Bukoba Mjini kwa kuendelea kutoa misaada mbalimbali
Pia soma Pre GE2025 Special Thread...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema kuwa katika kipindi cha miaka minne ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, madarakani ameweza kutekeleza miradi yote ya kimkakati iliyoasisiwa na watangulizi wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.