Mwaka huu 2025 Mama Samia atapita tu kwenye uchaguzi, si kwa sababu watu wanampenda sana – la hasha – bali ni kwa sababu mambo yalivyokaa tu.
Chadema walishajichimbia kaburi mapema na ka-ideology...
Aliyesimamia mkutano wa CCM leo ni yule mvunjifu wa katiba ya chama cha CCM msitegemee majibu ya hapana kwenye kubadilisha katiba.
Kama unakumbuka vizuri alivunja katiba ya chama kwenye...
Yaani hiki kitendo cha kuitisha mikutano mitatu kwa siku moja yaani Kamati Kuu, Halimashauri kuu na Mkutano Mkuu ni dharau kwa Wajumbe na Wanachama wa CCM. Kwa mani yangu kinachofanyika hapa ni...
Huoni wamekupiga chenga ya mwili?
Kwamba majina yatatumwa Dodoma na si lazima walioshinda kura za maoni ndio wapigiwe kura. They can come with their names ...particularly Menyekiti,katibu...It...
Mkutano Mkuu wa ccm uliofanyika kwa njia ya mtandao,umeibua maswali mengi kuhusu uhalali na uwazi wa mchakato huu. Mwanachama mmoja wa CCM, ambaye alijitokeza kuwania ubunge, amekataliwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Naona ni kama Polepole anajitekenya na kujichekesha Mwenyewe. Anataka kufanya na kuwachukulia Watanzania kama wajinga na watu wasio jitambua wala kujielewa. Anataka afanye...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara), John Heche amesema viongozi wa chama hicho wanaheshimu uamuzi wa aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe kuwa kimya na kwamba wanamheshimu kama...
Kazi na utu ipo kupingana na Hapa kazi tu?
Kama ni hivyo Ccm ya sasa wana haja ya kujitafakari...
Maana kimsingi slogan hii haina uhalisia...
Kazi zinafanyika? yes...miradi inamaliziwa...
Natamani kuwa Mwanasiasa lakini moyo wangu umegoma kabisa!
Nikitazama runinga, nikisoma magazeti, au kushuhudia mijadala ya kisiasa, kuna sauti inaniambia: "Laiti na mimi ningekuwa mwanasiasa!"...
Tunashuhudia utekelezaji wa Katiba ya Taifa letu kwa 100%
Hongera sana viongozi wetu.
Mabeberu walishindwa hata ku-edit slogan yao ya kibeberu kwa kiswahili.
OCTOBER TUNATIKI ✅ ✅
Baada ya wajumbe huku chini kideal vizuri na wale waliokuwa machawa, wazembe na waliongia kwenye nafasi za uongozi kwa kubebwa, CCM imeona haiweziishi bila machawa wameona waje na mpango mwingine...
Kweli ya Mungu mengi, nani angejua Mkutano wa CCM unaweza fanyika bila Chawa?
Bongo Movie na Chawa wote wa CCM wwalikuwa anapambana kushonesha nguo za Kijani hadi kuwatukana mafundi wetu.
Hii...
Tunajua utaratibu wa kubadili katiba unahitaji idadi fulani ya wajumbe lazima ifikiwe aidha nusu au robo tatu na mabadiliko yeyote lazima yaungwe mkono kwa kupigiwa kura.
Haya yote yatafanyika...
Machawa wanakuambia eti Samia anakubalika kwa asilimia 85 ya Watz!!
Sasa kama anakubalika kwanini anawaogopa hadi wajumbe? Sasa kwanini anazuia kura za kumchagua humo kikaoni??
Sasa kama huko...
Wale wazushi wa humu JF sikilizeni matokeo ya kikao cha dharura cha CCM Dodoma. CCM ni chama imara zaidi ya jabali hamwezi ht kuitingisha, msiifananishe na hao wenzenu. Sijui baada ya hapa mtakuja...
Chama cha mapinduzi (CCM) kitapata hasara kubwa sana kama Samia hatagombea Urais kwa sababu zifuatazo;
1. CCM imewekeza kwenye matangazo nchi zima kwa takribani miaka minne sasa kumtangaza Samia...
Picha utafikiri za miaka ya 1914 kwenye Vita kuu ya dunia
Picha utafikiri wanamlika samaki kwenye maji?
CCM wanashindwa kabisa kuweka technology nzuri
Hizi aibu kwa nchi mpaka lini ? Hawajui...