Kikao cha Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanyika majira ya saa nane usiku chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu...
Hali ya demokrasia imekuwa ni mbaya kupitiliza kila kukicha
Viongozi sio chaguo la wananchi na wanafanya kila namna kuhodhi madaraka kwa dola na yeyote anaekuwa tishio kwenye nafasi zao...
Black people have strange behaviors that I’d love to study further.
Their hatred towards their fellow black people is just unbearable.
See what’s happening in SA
See how they hate each other
See...
Ukimya watawala masikio Dodoma
Chama Cha Mapinduzi CCM kilisogeza mbele muda wa kutoa taarifa ya Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu mchujo wa wagombea...
Ukiangalia hatua unazopiga makonda, unajua tu nini anategemea hapo mbele, huwa hafanyi vitu kwa bahati mbaya, anakwenda kwa hesabu na naamini mwakani atapata kile alichokua anakipambania,
Lissu...
Mara nyingi mambo haya hufanywa ktk mazingira ya Giza na Kiza kinene. Kukatwa kwa umeme majira ya usiku nchi nzima kwa masaa 6 siyo Jambo la kawaida. Huwenda ndiyo mpqngou nakamilika.
Eeh Mungu...
My Take
Nadhani Watumishi mumeona ,itakuwa dhambi na usaliti mkubwa kutomlipa fadhila Mama ifikapo Oktoba.
Ongezeko si haba linatosha kabisa kulipa Kodi ya nyumba kuanzia 50,000-150,000 kulingana...
CCM HQ;
* Kuanzia kesho CCM itaanza kugawanyika makundi 2
* Tarehe 04 August baada ya kura ya maoni CCM itagawanyika tena kutoka miongoni mwa watakaoteuliwa leo;
* Mpasuko wa mwisho utakuwa...
Kama sisi ni nchi moja kwanini tunaweka sheria za kibaguzi. Tuka uhuru sasa Zanzibar kuna wabara na bara kuna wanzanzibari sasa kuna sababu gani ya kulazimisha mgombea Uraisi kuchagua mgombea...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, Steven Katemba, alipewa heshima ya kutoa salamu za rambirambi wakati wa ibada ya mazishi ya Padre Vitalis Bamuhiga wa Jimbo Katoliki la Kayanga...
Je, kuharakisha uchaguzi haraka hata kwa kuvunja katiba ya nchi na chama kunaweza kuwa na tija yoyote na kuzima mabadiliko nchini.
Tutazamie nini baada ya kuonekana mgombea wa chama tawala ambaye...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba, amelaani vikali kile alichokiita juhudi za watu wachache wenye nia ya kukwamisha misingi...
Sheikh Ibrahim Kaniki amesema hakuna utengano kati ya dini na siasa, akisisitiza kuwa masuala ya kisiasa huathiri moja kwa moja maisha ya waumini wa dini, hivyo ni muhimu viongozi wa dini...
Tunaambiwa eti "Watanzania Milioni 37.6 wamejiandikisha kupiga kura".
Sidhani kama huyu ndugu alitakiwa aoneshe data base ya watu halisi milioni 37.6 waliojiandikisha maana ni uongo
Kuna mambo...
Wachambuzi wa Siasa za Africa mashariki Kenya wakizungumzia mashindano ya CHAN wamempongeza Rais Samia kwa kudhamira kulibakisha Kombe Africa mashariki
Wamesema Ruto na Museveni wanapaswa...
Yaani wanachama wa CHADEMA wakikusanyika nyumbani kwa mwenzao kujadili mustakabali wa chama chao ni kosa na mkusanyiko usio halali?
Hawakukusanyika kwenye ukumbi au ofisi zao. Bali kwenye nyumba...
Mchungaji Msataafu wa kanisa la KKKT Mchungaji Dkt. Steven Kimondo, amehoji ukimya wa vyombo vya usalama kuhusu matukio ya watu kutekwa, akisema kama kweli wametekwa, kungekuwa na juhudi za wazi...
Wakuu!
Yaani Nape Nnauye sasa hivi si tu anatia nia ya Ubunge Mtama, bali hadi kuchambua mboga! Siasa hizi zimegeuka tamthilia kila mtu anatafuta huruma kwa kamera.
Lakini tusidanganyike...