Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wana UBUNGO kwa kauli moja tunaenda na Prof Dr Kitila Alexander Mkumbo (PhD). Barabara za mitaa zimejengwa mfano Manzese, Mabibo, Goba na UBUNGO. Tupewe nini tena? CCM oyeeee!
4 Reactions
49 Replies
2K Views
Wakuu salama? Watiania huko matumbo joto, presha inapanda na kushuka, wanaoroga wanachochea kuni na wanaosali wanasugua maguti/paji za uso kwelikweli kuhakikisha wanatoboa kwenye mchujo wa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) taifa, Sigrada Mligo, ametangaza kujiondoa rasmi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akilalamikia kile...
5 Reactions
52 Replies
3K Views
Ni wakati sasa wa kuweka wazi na kwa lugha ya kisheria dhuluma inayofanywa kwa wapagazi (porters) wa Mlima Kilimanjaro. Hili si jambo la hisia tu, ni jambo la haki, ni jambo la sheria. Na ni jambo...
3 Reactions
4 Replies
404 Views
Haya ni maoni yangu: Kwamba kama katiba inatamka wazi kwamba ikitokea Rais aliyeko madarakani amepumzika kwa amani, makamu wa rais atakikalia kiti ili kumalizia miaka iliyobaki ya aliyekufa...
19 Reactions
72 Replies
4K Views
Katika kila zama za siasa, kuna wanasiasa wachache wenye dira, msimamo, na rekodi safi ambao wanapopata umaarufu na kuwa tishio kwa wapinzani wao, huanza kushambuliwa kwa propaganda chafu, uvumi...
2 Reactions
116 Replies
6K Views
Viongozi wanatakiwa kutokana na wananchi sio yaliyopo Tanzania . Uongozi wa kupandikizwa
11 Reactions
11 Replies
984 Views
"Kwa mujibu wa utafiti ulioongozwa na Benki ya Dunia ulikadiria kuwa kuwekeza dola 1 katika maji safi hutengeneza faida ya dola 4 ya kiuchumi kutokana na kupunguzwa magonjwa ya matumbo (diarrhea)...
4 Reactions
10 Replies
669 Views
Unaweza kuhisi chuki au upinzani wa fikra ila hapa. Raila ni mtu mwenye laana katika mikono ya siasa hakuna kiongozi ambaye hajawahi kupitia mateso ya machafuko huko Kenya bila Raila kutokuhusika...
0 Reactions
24 Replies
1K Views
Ni muhimu waTanzania waelewe kinacho elekea kutokea katika kutafuta uongozi wa nchi hii, iwe ni kwa ridhaa yao au kwa kulazimishwa kukubali kuongozwa kwa nguvu. Endapo kinachoitwa uchaguzi...
3 Reactions
5 Replies
571 Views
Nafikiri shida ndo ipo hapa. Na uhuni huu tukienda nao miaka mitano ijayo. Taifa lote linaenda kuwa la si kuhalali na hakuna haki itatamalaki nchini Kwa sababu tutakuwa na reference ya number 1...
4 Reactions
12 Replies
546 Views
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Amos Makalla amesema chama hicho kimesogeza vikao vyavuchujaji wa wagombea wa nafasi za ubunge na wabunge kutoka leo Julai 19, 2025 hadi Julai 26 ambako...
6 Reactions
41 Replies
4K Views
Kikao cha Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanyika majira ya saa nane usiku chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu...
7 Reactions
76 Replies
7K Views
Hali ya demokrasia imekuwa ni mbaya kupitiliza kila kukicha Viongozi sio chaguo la wananchi na wanafanya kila namna kuhodhi madaraka kwa dola na yeyote anaekuwa tishio kwenye nafasi zao...
4 Reactions
15 Replies
680 Views
Black people have strange behaviors that I’d love to study further. Their hatred towards their fellow black people is just unbearable. See what’s happening in SA See how they hate each other See...
0 Reactions
10 Replies
677 Views
Ukimya watawala masikio Dodoma Chama Cha Mapinduzi CCM kilisogeza mbele muda wa kutoa taarifa ya Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu mchujo wa wagombea...
2 Reactions
45 Replies
3K Views
Ukiangalia hatua unazopiga makonda, unajua tu nini anategemea hapo mbele, huwa hafanyi vitu kwa bahati mbaya, anakwenda kwa hesabu na naamini mwakani atapata kile alichokua anakipambania, Lissu...
5 Reactions
93 Replies
3K Views
Mara nyingi mambo haya hufanywa ktk mazingira ya Giza na Kiza kinene. Kukatwa kwa umeme majira ya usiku nchi nzima kwa masaa 6 siyo Jambo la kawaida. Huwenda ndiyo mpqngou nakamilika. Eeh Mungu...
4 Reactions
15 Replies
844 Views
Nauliza tu iwapo Vyama vingine mfano CCM, CUF, Nccr mageuzi, ACT wazalendo nk wanafanya hivyo Ahsanteni sana 🙏
4 Reactions
47 Replies
2K Views
Back
Top Bottom