Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ninachokishangaa ni wale waliosusia vikao na kutoka nje ili kukwamisha upatikanaji wa katiba mpya ndio hao wanaoulizia katiba mpya. Hawa watu bila aibu walitutia hasara ya zaidi ya bilioni...
5 Reactions
59 Replies
6K Views
Hata katiba ya sasa ni nzuri sana, changamoto ni namna maneno yaliyopo ni old fashioned na no body cares about it. Sasa CCM wanajiuliza kama watakubali katiba mpya means ujumbe na maelekezo yake...
0 Reactions
2 Replies
269 Views
Tanzania imeandaa Dira Mpya ya Maendeleo ya 2050 ambapo utekelezaji wake utaanza rasmi mwaka 2025/26 baada ya kujadiliwa na kupitishwa na Bunge kabla ya Rais kuidhinisha rasmi. Kwa Sasa Serikali...
1 Reactions
75 Replies
3K Views
Hello! Mambo ya mafumbo ni ya kizamani. KIjana anaomba kazi , sehemu ya mshahara mnaandika TGS D , POS C, mara TANAPA 02 n.k n.k Ukiondoa mishahara ya tgts na tgs ambayo ni common, hiyo mingine...
8 Reactions
32 Replies
4K Views
Mnapoteza muda bila reforms mnaonekana kama watoto! Mama hauziki! Hata kama mkiweka post 100 haisaidii chochote
0 Reactions
4 Replies
298 Views
Mimi sio politician,sisubiri tume ichunguzwe.......(Roma mkatoliki) Kinachoendelea kwenye siasa za ccm ni makundi mawili. Moja halitaki reforms sababu kuu ni kuwa Lina mgombea dhaifu ambaye ili...
0 Reactions
3 Replies
413 Views
Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed, amesema kauli zinazotolewa na baadhi ya wanachama wa chama hicho, wakiwemo aliyekuwa Mbunge wa Kawe (CCM)...
0 Reactions
7 Replies
536 Views
Wagombea wengi huahidi mambo makubwa wakati wa kampeni kama vile kujenga barabara, ajira kwa vijana, au elimu bure hata kama hawana uwezo wa kutimiza, Uutakuta mbunge anahaadi ujenzi wa barabara...
0 Reactions
1 Replies
441 Views
Huo ndio ukweli Pakiwepo Serikali 3 hizi kelele za Wantam hazitasikika tena Ahsanteni sana
8 Reactions
101 Replies
3K Views
"Hakuna nchi ambayo haina mtu anayenung'unika- hakuna, hata ungelifanyaje kutakuwa na mtu pale ana matatizo yake na atanung'unika kwa wakati wake na mahali alipo. Ukisema watu wananung'unika...
10 Reactions
59 Replies
2K Views
Wakuu, Baada ya madaftari ya mama kutrend na mitungi sasa ni muda sendo za mama. Soma pia: Mkuu wa Wilaya ya Tanga akabidhi madaftari 1,000 yenye picha ya Rais Samia. Uchawa umefika kwa watoto...
3 Reactions
10 Replies
631 Views
MULILO: USHIRIKINA , KUDAIANA MIONGONI MWA SABABU WATU KUPOTEA Mheshimiwa Kamanda Mulilo, Soka et al nao walikuwa wanadaiana? Mdude naye alikuwa anadaiwa, Mawazo naye alikuwa anadaiwa...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Lissu hawezi kamwe kushinda uchaguzi Mwenye kiti CHADEMA hapo januari 2025, licha ya uchaguzi kuwa wa wazi. Sababu ni zifuatazo: 1) Sasa hivi, hii imekuwa ni vita kati ya CHADEMA kanda moja tu...
4 Reactions
43 Replies
2K Views
Halula! Habari mnayo! Ni mwendo wa Kalenda mpaka kieleweke. Wakijashtuka imo! Na bado.
2 Reactions
44 Replies
3K Views
JARIDA LA IKULU MAWASILIANO TOLEO LA JUNI, 2025 DIBAJI Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kama mnavyofahamu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendelea...
2 Reactions
5 Replies
676 Views
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amehoji wanasiasa wanaosema watalinda kura, akisema watalindaje na kwa sheria gani? Ameyasema hayo leo Julai 22, 2025 alipokuwa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
wakuu ==== kumekucha Mwendokasi TV bado inaendelea kufuatilia kwa kina taarifa hii yenye utata kutoka Wilaya ya Mkuranga, ambapo taarifa za awali zinaeleza kuwa baadhi ya wananchi wamekamata...
14 Reactions
81 Replies
7K Views
Ni kweli Serikali na wabunge wana wajibu wana wajibu wa kutekeleza miradi ya maendeleo bila kujali muda na ratiba ya uchaguzi. Swali langu; Je, miradi hiyo ilikuwa imepangwa kwenye bajeti ya...
0 Reactions
0 Replies
223 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Akitembelea Bandari ya Tanga na Kuzungumza na Wafanyakazi wa Bandari, leo tarehe 01 Machi, 2025. --- Rais wa Jamhuri ya Muungano...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Mh Rais wetu Mstaafu Jakaya Kikwete. Uongozi wa kweli haujengwi juu ya ndoto za kifamilia, bali juu ya msingi wa haki, utu na ujasiri wa kusema ukweli hata pale ambapo ukimya ni salama zaidi. Leo...
13 Reactions
55 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…