Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amewataka wananchi kujitokeza kupiga kura na kuwaepuka wanaosema watasusia, akisema kususa hakutawasaidia, kwani CCM hawajali. Ameyasema...
0 Reactions
48 Replies
1K Views
Wakazi wa mji wa Njombe wanatarajia kupata huduma ya majisafi, salama na ya kutosheleza kwa asilimia 100, kufuatia Mradi mkubwa wa maji unaotekelezwa na Serikali kwa gharama ya Dola za Marekani...
0 Reactions
0 Replies
313 Views
Wale wanachama wote ndani ya CCM wanaounyatia Urais wa Samia 2025 watafute kazi ya kufanya kwani kwa kauli hii ya Msemaji Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg Shaka Hamdu Shaka naona "Case Close "...
11 Reactions
121 Replies
8K Views
Tanzania ya sasa siyo taifa, ni cartel inayojificha ndani ya mfumo wa kikatiba. Tumegeuka kuwa nchi ya maigizo, ambapo wahalifu wakubwa siyo tena wale wanaopora kwa bunduki bali wale wanaosaini...
11 Reactions
9 Replies
451 Views
Kwa hali iliyop sasa Taifa linapitia kipindi kigumu sana kuna mgongano wa fikra na vitendo kati ya wanaotetea uovu waziwazi na wale wanaopinga uovu. Katiba hazifanyi kazi, watu wanaumizwa, mbinu...
0 Reactions
2 Replies
333 Views
MDAU Mimi kama mwana chama wa ccm na kiongozi mwakilishi wa uvccm ngazi ya wilaya Bukoba vijijini , Natoa Rahi kwa Ndg KARAMAGI kuwa tabia zake za kuvuruga Jimbo letu la Bukoba vijijini...
0 Reactions
7 Replies
612 Views
Nimesikia wana CCM Samia na kikwete wamevunja katiba ya nchi na chama alafu wamejificha kwenye kichaka cha kuilinda. Nilimsikia samia anasema katiba ni kajitabu tu baada ya kupata madaraka...
3 Reactions
10 Replies
534 Views
Umoja wa Ulaya umeomba uwe shuhuda wa uchaguzi mkuu. Ingekuwa hawaridhiki na uhalali wa uchaguzi wasingekuja na kuomba kibali kwa unyenyekevu. Wale wa No Election mpo?. Gari la election limekata...
12 Reactions
81 Replies
4K Views
Tutaendelea kujulishana yanayojiri hapa. Kuanzia Kampeni na hadi kutangazwa kwa mshindi na mwitikio.
0 Reactions
2 Replies
234 Views
Kweli kuna vichekesho kwenye siasa za Tanzania: chama kinachojitangaza kitalinda kura wakati hata chaguzi zao za ndani hawana. ACT na CHAUMMA wanapiga kelele za “kulinda kura” wakati hata vijiji...
8 Reactions
10 Replies
703 Views
Kabla Hatujaanza Kudiscus, msikilize Mzee kikwete akisifia uchaguzi wa kenya jinsi ulivyo na Uwazi, kiasi kwamba katika chumba cha kupigia simu wakala anaruhusiwa kuingia na simu na kupiga picha...
7 Reactions
60 Replies
3K Views
Jana nilikuwa namsikiliza Wakili Edwin Sifuna ambaye ni Seneta wa Nairobi pale citizen tv akielezea namna Waandamanaji wanavyoweza kumtoa Ruto madarakani, nikaogopa sana Nilitegemea angekamatwa...
2 Reactions
10 Replies
692 Views
Ukipita mitandaoni utakutana na ujumbe (hashtag) #MaragaForPresident #Maraga2027 #RutoMustGo. Hivyo ndivyo vijana wa Kenya wamekuwa wakiandika kuonyesha kuwa wanamkubali Jaji Mkuu mstaafu wa...
1 Reactions
4 Replies
528 Views
Ni muhimu kufahamu kwamba Rais Samia Suluhu Hassan hakuingia madarakani kwa kuchaguliwa kupitia uchaguzi mkuu, bali alirithi madaraka baada ya kifo cha Rais John Pombe Magufuli mwaka 2021, ili...
0 Reactions
1 Replies
295 Views
Upo msemo wa wahenga unasema asiyejua kufa achungulie kaburi. Msemo huu umebeba dhima nzito juu ya uumbaji wa Dunia na mwanadamu. Quran tukufu nayo imesema kila nafsi itaonja mauti,Kwa msingi huo...
1 Reactions
0 Replies
268 Views
Salaam! Kuna kitu Polepole anekiongea kizito ambacho tumekuwa tukikisema humu mara nyingi. Ameenda mbali na kudai, ikiwa tuna mashaka na akisemacho, tukamuulize Mzee Mangula! 1. Ni hivi...
28 Reactions
88 Replies
5K Views
Kitu ambacho tumejifunza katika siasa za hapa Nyumbani ni kwanba Mzee Lowasa na Mzee Jakaya hawataacha kujitokeza katika Makundi ya Siasa zetu. Na kama kuna kitu walifanikiwa katika hili Taifa...
2 Reactions
6 Replies
542 Views
CCM ndiyo habari yenye kuuza Kila sehemu usipoandika habari za CCM huwezi pata wasomaji kabisa yaani Hadi nawaonea huruma wapinzani Mkilala mnawaza CCM mkiamka mnawaza CCM mkienda kusaka...
3 Reactions
18 Replies
653 Views
Kuna supu inayochemka kwenye presha kuka. Ndani yake kuna kuku wa kienyeji, viazi, na ndizi – vyote vimeshaiva tayari. Lakini Mama Ntilie kaenda kando, anakula chapati zake kwa utulivu. Ameketi...
11 Reactions
25 Replies
2K Views
Moja kwa moja kwenye mada Kila Mtanzania anajuafika kuwa amani yetu ni tunu kubwa na muhimu katika kuleta ustawi wa jamii. Inapotokea kuna kundi au chama cha siasa kinajaribu kushirikiana na...
9 Reactions
165 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…