Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mara nyingi kadiri siku zinavyosonga mbele inatarajiwa werevu uongezeke lakini kwa Tanzania ni kinyume chake. Badala ya nchi kuzalisha wataalam inazalisha machawa wajinga. Hawa kila siku wanawaza...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Nimesoma mahali fulani mitandaoni Salary Slip akidai Kiongozi mmoja anaweza kuzomewa kwa kuingilia mchakato wa kumpata mgombea Urais wa JMT kupitia CCM Nashauri wanabodi Someni Katiba vizuri...
0 Reactions
5 Replies
378 Views
Msimamo Wangu Kuhusu Kauli ya Mh. Lema Dhidi ya Humphrey Polepole Nimesikitishwa na kauli kali iliyotolewa na Mheshimiwa Lema dhidi ya Humphrey Polepole. Kwa maoni yangu, kauli hiyo haina tija...
13 Reactions
85 Replies
5K Views
Rais Samia amewekeza TZS bilioni 117 na kupeleka umeme katika vijiji vyote 368 mkoani Arusha, na kuufanya kuwa mkoa wa kwanza kufikia asilimia 100 ya upatikanaji wa umeme vijijini. Kaya 137,100...
1 Reactions
9 Replies
434 Views
Kwa Tanzania bara hili halina mjadala,je kwa upande wa znz kwa nini hili lisiwezekane?,tujadili...
1 Reactions
7 Replies
415 Views
Tetesi hizi zilikuwepo toka kipindi cha nyuma, Sasa ni dhahiri Freeman Mbowe atahamia CHAUMMA mwezi August. CCM walikuwa wanaumiza sana kichwa kumpata mgombea mwenye ushawishi atakaegombea na...
17 Reactions
55 Replies
3K Views
Mchungaji Dk.Godfrey Malisa aliyefutwa uanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameendelea kusisitiza kuwa kilichofanywa na Chama hicho kumpitisha Rais Dk. Samia kuwania nafasi ya Urais haikuwa...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Je kwanini target iwe Chuo cha SAUT . Je mtaweza, ebu tusubiri ? No time no space that will erase God's Spirit.
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Huu ni ukatili wa mfumo wa ajira ambao unaendelea kunyonga ndoto za vijana wa Kitanzania waliokaanga akili darasani, wakavumilia kusota kwenye maktaba, wakaishi kwa mihangaiko ya boom isiyotosha...
7 Reactions
13 Replies
584 Views
Mimi siyo Nabii Wala sijaota ndoto yoyote ya Kimbingu, lakini Ninatumia Logic ya kawaida sana. Nasema kama Mbowe atajiunga Chauma. Asipojiunga ni story nyingine. Soma statement tatu zifuatazo...
4 Reactions
33 Replies
1K Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kuwa kitafanya kura ya maoni kwa wagombea wa Ubunge, Uwakilishi na Udiwani katika ngazi ya Kata/Wadi na Majimbo kwa Tanzania Bara na Zanzibar Agosti 4, 2025...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Ukiswasikiliza wanasiasa wetu unagundua uwezo wa kuwaza mambo ni mdogo sana . Ikiwa mmeamua kutoa Scholarship kwanini mnatoa kwa wanafunzi waliosoma masomo ya science tu ? Ebu tuwe serious...
3 Reactions
0 Replies
297 Views
Inahitaji akili ya juu unapopanga jambo kama hilo. Kama Polepole angerudisha band nyuma kidogo (2020-Uchaguzi wa wabunge), na kumuona Polepole wa wakati ule akajilinganisha na Polepole wa 2025...
7 Reactions
76 Replies
3K Views
Mimi nimezaliwa mwishoni mwa miaka ya 70. Hadi miaka ya 1980 naanza kupata uelewa, nagundua kuwa watu wachache sana kwenye ukoo wetu walijua kusoma na kuandika kiswahili. Waliojua Kiingereza...
6 Reactions
3 Replies
309 Views
Hivi wenye maamuzi mnataka tuendelee kutekwa Kwa miaka 15? Mfululizo ? Tulianza kutekwa 2015-2020 ndugu zetu hatuwaoni mpaka Leo. Tukajua pamepoa mara tukaanza tena kutekwa 2020-2024! Sasa...
4 Reactions
7 Replies
309 Views
Huyu Jamaa kama ni Roho mbaya, basi ni Shetani ,amejawa Kiburi, jeuri ya Mamlaka kiasi kwamba Licha ya kua anajua anaongea Upumbavu anaelewa fika hamna wa Kumfanya kitu chochote. Huyu Jamaa kama...
9 Reactions
12 Replies
1K Views
Jumapili iliyopita nikiwa kijiji kinaitwa Mkulu nikitoka kufuatilia mahindi ya kununua ili nisafirishe kwa wenye njaa nami nipate mahela, nikauliza na boda boda aliyenipakia, why mie sijaenda...
7 Reactions
36 Replies
2K Views
Mtu yeyote anayetaka CCM iendelee kubaki madarakani hata baada ya utawala kwa miaka zaidi ya 60 huyo sio mjinga tu bali ni limbukeni mkubwa!
12 Reactions
56 Replies
1K Views
CCM na vyombo vya dora vina maigizo 🤣🤣🤣 Haya sasa, Kamanda Muliro yupo live anatufundisha Katiba ya CCM badala ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Eti CHADEMA kuzuia uchaguzi ni...
9 Reactions
25 Replies
1K Views
Samia Scholarship imeingeza idadi ya Wanafunzi wa kike waliofaulu masomo ya Sayansi kwenda vyuo vikuu kutoka 650 hadi 1051 Kati yao wanafunzi 50 watafadhiliwa kusoma Vyuo vya nje degree za Data...
3 Reactions
13 Replies
725 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…