Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Bila Shaka CCM imetafakari vya kutosha na kesho muda wa uchaguzi mkuu unaweza kusogezwa ili kuondoa sintofahamu ambayo inaweza kutukuta endapo tutalazimisha kuendelea na hali ilivyo. Miaka miwili...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Kubadili katiba ya chama tawala CCM siyo zoezi dogo. Ni zoezi lenye kuhitaji ushirikishwaji wa Wana CCM ngazi zote tena kwa kikao cha ana kwa ana. CCM kuandaa kikao hichi kwa njia ya mtandao ni...
10 Reactions
59 Replies
3K Views
My Take Wakati huo wengine walikuwa Bado wananyonya na wengine wananuka Maziwa ya mama zao. SSH is here to stay ,chuki,majunga na fitina hazitawasaidia tafuteni kazi za kufanya...
7 Reactions
88 Replies
3K Views
Hii ikiashiria na kutoa picha kamili kwamba, mgombea huyu mashuhuri wa CCM ndie anaepewa nafasi kubwa zaidi ya ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi mkuu huo muhimu sana na wa kihistoria nchini...
3 Reactions
74 Replies
2K Views
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Agnesta Kaiza, amewataka wanachama na wapenzi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kutokata tamaa na kususia uchaguzi licha ya changamoto zilizopo kwenye mfumo...
0 Reactions
4 Replies
422 Views
Nadhani kuna shida mahali kwenye tasnia hii. Zembwela ni wale comedian katika habari. Ivona Kamuntu na Salim Kikeke ni magwiji katika tasnia. Ikawaje Zembwela ambaye elimu yake katika habari...
24 Reactions
105 Replies
5K Views
Mama Wakikuzingua wazingue pia. hawakujui vizuri Kwani una kipi cha kupoteza, bora mkose wote kuliko ukose mwenyewe Ni ushauri tu.
1 Reactions
5 Replies
611 Views
Ridhiwan Kikwete amechukua na kurudisha fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Chalinze kwenye ofisi ya Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Bagamoyo Ridhiwani ambaye ni Mbunge wa Jimbo hilo anataka kuendelea...
1 Reactions
5 Replies
671 Views
Yaani Rais Mwenyekiti CCM Taifa, aliyevurunda, anaamua kubadilisha vifungu vya Katiba viendane naye, Huu sindo Udikteta?. Kikao gani Cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu, au Kikao Cha Halmashauri...
11 Reactions
19 Replies
1K Views
Kabla hajatubu, Mwenyekiti aliyejipitisha anakimbilia kubadilisha katiba ya chama. Hakuna cha kumfanya. Ndani ya hichi chama kuna usemi wa,'acha waseme na usiku watalala ' Kweli anawachezesha...
0 Reactions
1 Replies
359 Views
Na. Manase Visulo Nikiri kwamba taarifa za kujiuzulu kwa Balozi wetu nchini Cuba, Balozi Polepole sio jambo lililotarajiwa wala kufikiriwa na tulio wengi. Nikwasababu hiyo naomba kuteta nanyi...
5 Reactions
101 Replies
6K Views
WAZIRI KOMBO APONGEZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA JPC RWANDA, AHIMIZA KUCHANGAMKIA FURSA ZA USHIRIKIANO Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud...
0 Reactions
1 Replies
257 Views
Yanayoendelea CCM yalifanywa na Ndugu Lyatonga Mrema matokeo yake tuliipata TLP. Hatari ya kukimbilia kwenye mkutano mkuu kwenye agenda kubwa na za msingi ni kugawa Chama Je CCM wanaweza kuwa KANU?
1 Reactions
1 Replies
387 Views
|| Habari zilizozagaa huku mtaani kwa wananchi na makada wa CCM walio wengi na baadhi ya Viongozi wa CCM Tanzania ni kwamba Katibu Mkuu wanaomtaka kutoka Upande wowote wa...
18 Reactions
237 Replies
22K Views
Kuna justification gani ya kutumia dokezo kumpitisha mgombea wakati miongozo ipo wazi? Yeyote anaye pinga ule uhaini wa dokezo ni mzalendo and genuine soul bila ya kujali past behavior. The...
41 Reactions
66 Replies
4K Views
Uchaguzi mkuu ni mchakato nyeti wa kisheria. Ndiyo maana hata huko juu kwenye ngazi za makamishina wa Tume ya uchaguzi unaongozwa na majaji waandamizi. Mtiririko huo ungaliteremka hadi kwenye...
0 Reactions
13 Replies
666 Views
Hatimaye Mzee Butiku atofautiana na Mzee Waryoba kuhusu "NO REFORMS NO ELECTION" ya CHADEMA. Mzee Butiku ambaye ni mwenyekiti wa taasi ya Kigoda cha Mwl Nyerere kupitia Kipindi cha DKT 45...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Wajuzi wa mambo naomba mnieleweshe hivi kwanini Jenerali Ulimwengu alizinguana na Benjamin Mkapa? Wakati kati ya watu ambao walimshawishi Benjamin Mkapa kugombea urais ni pamoja na Jenerali...
1 Reactions
6 Replies
747 Views
Maendeleo ya teknolojia CCM hatujaachwa nyuma. Kazi na Utu. Tunasonga mbele. Tunatiki tu
0 Reactions
4 Replies
305 Views
Kumekuwa na mambo mkubwa sana wa makada kujitokeza kuchukua fomu leo, nna wasiwasi sana wajumbe wa kamati za siasa za kata na wilaya huenda zikafanya upendeleo kwa wajumbe kwa kuwapa maksi wale...
0 Reactions
2 Replies
455 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…