Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Vijana wa CCM jueni rushwa, miondombinu mibovu na umasikini sio kwa upinzani tu! Ni wote Wengi ambao tunawapigania tuna maisha mazuri ambayo wengi wetu hamtakaa kupata hasa mkiendelea kuunda...
0 Reactions
2 Replies
255 Views
Picha limeanzia kwenye kampeni jamaa kaukataa umakamu anataka uwenyekiti. Agenda kuu ya kuwin kwa Lisu ni kusema tundu Hana matundu (risasi) Na kwa freeman ni kuaminisha umma hayuko free...
2 Reactions
2 Replies
345 Views
Niende kwenye Mada Kwa ufupi Sana, Nimewaza mengi lakini kubwa huenda Wazee wetu walioasisi hili Taifa letu (Tanganyika) hakuwa JASIRI kama ambavyo tunawasoma kwenye historia. Kiongozi shupavu...
3 Reactions
11 Replies
598 Views
MAASKOFU KUSHAURI WANANCHI WAPIGE KURA YA HAPANA WAPO SAHIHI KABISA Jumuia ya Kikristo Tanzania (CCT) na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) walitoa taarifa kwa wakristu wote na wananchi...
0 Reactions
43 Replies
8K Views
Tangu 2021 mbona sijasikia kero za muungano au zimetatuliwa zote? Pengine jitihada za pamoja kati ya pande zote mbili zimezaa matunda na kuleta mwafaka wa muda mrefu? Kama zimetatuliwa zote...
0 Reactions
7 Replies
432 Views
BAADA ya Mahakama ya Juu ya Kenya kufuta matokeo ya uchaguzi uliofanyika Agosti 8 nchini humo, upinzani Tanzania umeonekana kuumia kwa sababu Rais Uhuru Kenyatta waliyempigia debe atalazimika...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Ninachokishangaa ni wale waliosusia vikao na kutoka nje ili kukwamisha upatikanaji wa katiba mpya ndio hao wanaoulizia katiba mpya. Hawa watu bila aibu walitutia hasara ya zaidi ya bilioni...
5 Reactions
59 Replies
6K Views
Hata katiba ya sasa ni nzuri sana, changamoto ni namna maneno yaliyopo ni old fashioned na no body cares about it. Sasa CCM wanajiuliza kama watakubali katiba mpya means ujumbe na maelekezo yake...
0 Reactions
2 Replies
269 Views
Tanzania imeandaa Dira Mpya ya Maendeleo ya 2050 ambapo utekelezaji wake utaanza rasmi mwaka 2025/26 baada ya kujadiliwa na kupitishwa na Bunge kabla ya Rais kuidhinisha rasmi. Kwa Sasa Serikali...
1 Reactions
75 Replies
3K Views
Hello! Mambo ya mafumbo ni ya kizamani. KIjana anaomba kazi , sehemu ya mshahara mnaandika TGS D , POS C, mara TANAPA 02 n.k n.k Ukiondoa mishahara ya tgts na tgs ambayo ni common, hiyo mingine...
8 Reactions
32 Replies
4K Views
Mnapoteza muda bila reforms mnaonekana kama watoto! Mama hauziki! Hata kama mkiweka post 100 haisaidii chochote
0 Reactions
4 Replies
298 Views
Mimi sio politician,sisubiri tume ichunguzwe.......(Roma mkatoliki) Kinachoendelea kwenye siasa za ccm ni makundi mawili. Moja halitaki reforms sababu kuu ni kuwa Lina mgombea dhaifu ambaye ili...
0 Reactions
3 Replies
413 Views
Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed, amesema kauli zinazotolewa na baadhi ya wanachama wa chama hicho, wakiwemo aliyekuwa Mbunge wa Kawe (CCM)...
0 Reactions
7 Replies
535 Views
Wagombea wengi huahidi mambo makubwa wakati wa kampeni kama vile kujenga barabara, ajira kwa vijana, au elimu bure hata kama hawana uwezo wa kutimiza, Uutakuta mbunge anahaadi ujenzi wa barabara...
0 Reactions
1 Replies
439 Views
Huo ndio ukweli Pakiwepo Serikali 3 hizi kelele za Wantam hazitasikika tena Ahsanteni sana
8 Reactions
101 Replies
3K Views
"Hakuna nchi ambayo haina mtu anayenung'unika- hakuna, hata ungelifanyaje kutakuwa na mtu pale ana matatizo yake na atanung'unika kwa wakati wake na mahali alipo. Ukisema watu wananung'unika...
10 Reactions
59 Replies
2K Views
Wakuu, Baada ya madaftari ya mama kutrend na mitungi sasa ni muda sendo za mama. Soma pia: Mkuu wa Wilaya ya Tanga akabidhi madaftari 1,000 yenye picha ya Rais Samia. Uchawa umefika kwa watoto...
3 Reactions
10 Replies
631 Views
MULILO: USHIRIKINA , KUDAIANA MIONGONI MWA SABABU WATU KUPOTEA Mheshimiwa Kamanda Mulilo, Soka et al nao walikuwa wanadaiana? Mdude naye alikuwa anadaiwa, Mawazo naye alikuwa anadaiwa...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Lissu hawezi kamwe kushinda uchaguzi Mwenye kiti CHADEMA hapo januari 2025, licha ya uchaguzi kuwa wa wazi. Sababu ni zifuatazo: 1) Sasa hivi, hii imekuwa ni vita kati ya CHADEMA kanda moja tu...
4 Reactions
43 Replies
2K Views
Halula! Habari mnayo! Ni mwendo wa Kalenda mpaka kieleweke. Wakijashtuka imo! Na bado.
2 Reactions
44 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…