Wanu Hafidh Ameir, Mbunge wa Viti Maalum ameshiriki katika Ufunguzi wa Mkutano wa Kwanza wa Bunge la Pamoja la ACP-EU chini ya Mkataba Mpya wa Samoa uliosainiwa mwezi Novemba 2023.
Wanu Hafidh...
Baada ya kuifungia Chadema na kununua Chauma ili mihadae dunia kuwa Tanzania kuna vyama vya upinzani ni mateso makubwa kwa Chauma. Huu ni moja ya mikitano yao ambayo inapokelewa kwa nyomi la kufa...
Naangazia mada yangu kwa muktadha wa kutoa maoni kwa tume maalumu ya mipango ya nchi.
Ni wakati muafaka wa kufikiri na kufanyia kazi kwa haraka.
Tanzania kupitia JWTZ ifanye uwekezaji huu muhimu...
Vyuo vikuu nchini. Hamuoni jitihada za Alhaji Kimbisa? Aliyeleta hoja Mkutano Mkuu ya kumpitisha Mwenyekiti wetu kama MGOMBEA PEKEE Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025 apewe maua yake.
#OktobaTUNATIKI#
Kwa Maslahi Mapana ya Taifa kwa sasa hakuna haja ya ku tick 2025 .kiuzalendo zaidi tunahitaji mabadiliko makubwa sana katika mfumo wa uchaguzi na katiba kwa ujumla.
Binafsi naamini kama Mama...
Uongozi wa kijeshi nchini Burkina Faso umevunja tume ya uchaguzi, hatua ambayo imeibua mijadala mikali kuhusu mustakabali wa demokrasia nchini humo. Kwa mujibu wa tamko rasmi, serikali ya kijeshi...
Wanaukumbi.
Mchakato wa Rais Samia kupitishwa kuwa mgombea pekee wa CCM kwa uchaguzi wa 2025 ni wa kihalali kwa mujibu wa Katiba ya CCM, na umefuata historia na utaratibu wa chama uliodumu kwa...
Wamehongana mchana kweupe kuanzia nje ya ukumbi mpaka ndani ya ukumbi.
My take kama wanaCCM wanahonga namna hii kupata udiwani tu. Je kwenye ubunge na urais?
Kwa ujumla hawapo kwa ajili ya...
Maafisa na wasimamizi wa uchaguzi katika mikoa ya Mwanza na Mara wametakiwa kuhakikisha wanavishirikisha vyama vya siasa kikamilifu katika mchakato wa uchaguzi, huku wakizingatia sheria na...
Tukichambua hali inayoendelea kwa sasa kwa mtazamo wa kawaida, imeanza kuwa wazi kwamba endapo watapeleka majina matatu kwenye Mkutano Mkuu, kuna uwezekano mkubwa wa mambo kutokwenda vizuri...
Taifa litapona endapo zitasimikwa sheria za haki nchini ambazo hazionei chama chochote,,,
Rais asiwe m/kiti wa chama cha siasa,,, Mahakama zihakikishiwe Uhuru kwa kupewa vyanzo vya fedha...
Jackson Kabalo na Joseph Mrindoko wanaojulikana kama “Wachokonozi” jana Juni 27, 2025 walifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha na kushtakiwa kwa makosa mawili ya kuchapisha taarifa za...
Walaamu serikali na chama tawala na unabii kuombea mabaya watawala Mungu ndiye aliyewaleta duniani hangakieni na yeye tu sio CCM au serikali
Mi frustration yenu na kutoa Nabii feki na maombi...
Ndugu zangu Watanzania ,
Muda wowote nitaijibu barua ya kujiuzulu iliyoandikwa na polepole aliyekuwa Balozi wa Tanzania Nchini Cuba. Nitazijibu hoja zote alizoziandika katika barua yake...
Askofu Mwanamapinduzi na Askofu Mwenzie wa kanisa la Gwajima wawachamalia waumini wao ibadani leo kuwa wasali na kuondoka kwa amani
Wasema mtu yeyote atakayetoka ibadani na kuwarushia maneno...
1. Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu alikamatwa na kutupwa mahabusu mpaka leo, Watanzania kimya.
2. CHADEMA kimefutiwa Ruzuku yake, Watanzania kimya.
3. Viongozi wa CHADEMA wamevuliwa...
Kufatia malalamiko na clip za video zilizokuwa zinatembea mitandaoni nchi nzima siku ya Jana. Clip za video zilizokuwa zinaonyesha wakinamama wa wanaccm wa wilaya ya mkuranga. wakiomba Masada na...
Huyu Mama alikua anatuandaa kisaikolojia kuanzia mwaka 2026 tungeanza Kuishi kama Watumwa nchini kwetu.
Kavuruga Mahusiano yote na Ulaya , Marekan , Safari za Ulaya Zimekata ghafla.
Kwakujua...