Sina lengo baya Bali kama mtanzania nimeguswa na one man show anayofanya mh dk magufuli.
ushahidi.
Kutembelea muhimbili na kuzungumzia mambo mazito.
"" Juzi rais Magufuli alifanya ziara ya...
Je, Kikwete ametupa dongo kwenye familia ya Magufuli na Mkapa?
Akitetea hoja ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kuhusu kumpitisha Rais Samia awe Mgombea 2025, Rais mustaafu Kikwete amenukuliwa...
Mungu hufanya majira na wafalme. Mungu hufanya yale soote hatuyawazi wala hatuyafikirii.
Namuona Mungu wa Tanzania 🇹🇿 Mungu wa Baba Yetu Nyerere anajambo lake anajambo lake sio wanadam wala sio...
Wachina wanataka kuuza maguta yao (pikipiki za matairi matatu) ambazo kazi zake umezwa na matera ya punda. So wanaua punda kadri wanavyoweza waweze kuuzaa
Tubadilishe mifumo ya demokrasia na haki. Bila hivyo mabaya yatawarudia. Vyombo vya unyanyasaji na utekaji unavitumia leo lakini kesho utatekwa wewe
Hawa walikuwa Mungu mtu Mungu katuonyesha...
Katika siku za hivi karibuni, tumeona kuibuka kwa baadhi ya wanasiasa waliowahi kuwa ndani ya mfumo wa utawala wa awamu ya tano—wakijaribu kuvaa joho la uanaharakati na kuunyooshea kidole utawala...
Baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, kutoa ufafanuzi kuhusu utekelezaji wa amri ya zuio la kisiasa kwa viongozi wa CHADEMA, ikiwemo kuongeza majina mapya katika...
Mkutano wa 27 wa Mawaziri wa SADC - MICO
Karibu Tanzania
Welcome to Tanzania
Bienvenue en Tanzania
Bem-vindos à Tanzania
📅 21 - 25 Julai, 2025
📍 JNICC Dar es Salaam, Tanzania
Hili ndio swali ninalojiuliza baada ya Mbowe leo kuongea na waandishi wa habari.
Tusisahau kuwa kwa sass Lissu hana tena cha kupoteza baada ya Mbowe kutangaza kugombea na kama kuna mambo...
Hamjambo Wote!
Pamoja ujasirisiasa aliokuwa nao Polepole kwa sakata lake, wiki hii! Kwa Hilo nilimpongeza.
Lakini baada ya kumsikiliza kwenye Press yake Leo. Kwa kutazama body language yake, na...
1. Ndani ya CCM hakupo shwari kuna mpasuko mkubwa.
2. Wanalalamika mgombea wao kujiteua yeye mwenyewe kimaigizo ndio maana hakuna anaye mnadi zaidi ya machawa.
3. Serikalini nao wamechoshwa na...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Amos Makalla, anazungumza na wananchi kupitia Vyombo vya Habari kutokea Ofisi za Makao Makuu Dodoma...
Kada wa CCM Mkoa Simiyu, Godfrey Sitta Sukari akizungumza na waandishi wa habari alieleza kupitia uzoefu wa kuwa mwanachama muda mrefu, alisema kumekuwepo mabadiliko ya hivi karibuni ya kanuni na...
Wana CCM tumekaa kimya wengi wetu si kuwa tumeridhishwa na mchakato wa kumpata mgombea la hasha ni kuwa hatuna la kufanya waswahili wanasema mwenye nguvu mpishe.
Nimeona umechukua hatua kwa...
Chawa wa mama wanahangaika na dude kubwa ambalo limetoka kwenye tanuru la moto baada ya kuona nchi inaendelea kuendeshwa kihuni ,Slow slow akaambiwa sema sisi tupo nyuma yako na tutashinda ...
Mungu anazungumza na Taifa usiku huu na neno lake nifupi sana ila litakuwa wazi mbele ya uso wa Taifa.
"Hapata mwagika Dam ktk uso wa nchi ila ole ole anaye mwaga dam 😳 ole kwa wanao panga mabaya...