Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baada ya hotuba ya Ndugu Polepole,nimegundua sijui mchakato wa kumpata mgombea Urais wa CCM,naomba kueleweshwa?
4 Reactions
15 Replies
697 Views
Rais Samia amepeleka vijana wengi katika Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), amepanua miundombinu na kuongeza idadi ya vijana wanaojiunga na jeshi kutoka 160,427 mwaka 2020 hadi 190,059 mwaka 2025...
4 Reactions
44 Replies
2K Views
Waswahili wanasema Muhuni hasusiwi,na akisusiwa yeye hajali anakula tu! Ila muungwana akisusiwa anauliza,kwa nini mmesusa,ebu tuwasikilize na tufikie muafaka.
0 Reactions
1 Replies
240 Views
Wakati wazungu wakituhurumia jinsi tunavyopigwa Watanzania, jinsi tunavyokandamizwa, jinsi viongozi wa dini wanavyoshughurikiwa wanapoamua kusimamia kweli, wanasiasa wa vyama vya upinzani na hata...
6 Reactions
14 Replies
826 Views
Huyu Mzee alihudhuria Kesi ya Tundu Lissu Kisutu tarehe 16/7/2025 na alitokea Babati, Ni kiongozi wa Bazecha Babati anaitwa Francis Luumi Taarifa zinaeleza kwamba baada ya kesi hiyo aliwaaga...
17 Reactions
59 Replies
4K Views
Nyie Mungu ni mwema sana. Samia na genge lake walipanga mipango mingi sana ya kuiumiza Chadema. Wakaanzisha migogoro kupitia msajiri na mahakama. Wakaanzisha chama shikizi Ili kuhadaa jamii ya...
21 Reactions
80 Replies
5K Views
MUSTAKABALI WA TANZANIA KATIKA CHANGAMOTO ZA KISIASA NA MCHAKATO WA KATIBA MPYA Tanzania ni nchi yenye historia ya kipekee katika Bara la Afrika – historia ya amani, mshikamano, na uvumilivu wa...
0 Reactions
0 Replies
339 Views
Mimi sio nabii kuna rushwa za chini chini zinatembea kwa wajumbe wa CCM baada ya vikao kuhairishwa
0 Reactions
4 Replies
410 Views
Mnamo 1990, aliapishwa kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akichukua nafasi ya Rashidi Kawawa, na kuhudumu hadi 1995 . Kati ya uteuzi wake, Rais Ali Hassan Mwinyi alimteua kuwa Waziri...
1 Reactions
8 Replies
652 Views
Katika kitabu cha Qur'an, aya ya 80, katika Sura ya 20 inasema: "Enyi Wana wa Israili! Hakika tulikuokoeni na adui yenu, na tukakuahidini upande wa kulia wa mlima. Na tulikuteremshieni Manna na...
0 Reactions
4 Replies
336 Views
Askofu Dr Malasusa amesema Kiongozi ni lazima aweke gap kati yake na wale anaowaongoza vinginevyo haina maana yoyote ya wewe kuwa Kiongozi Askofu Dr Malasusa amesema Kiongozi lazima awe na uwezo...
1 Reactions
11 Replies
549 Views
Naomba nitofautiane na watu wengi wanaoshangazwa na Mgombea wa ccm kuanza kampeni miezi 12 kabla ya uchaguzi, unapoanza kampeni mwaka mmoja kabla ya uchaguzi unatoa nafasi kwa Wananchi wakuchoke...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imetangaza orodha ya Taasisi na Asasi 164 zilizopewa vibali vya kutoa elimu ya mpigakura kuelekea Oktoba mwaka huu. Taasisi na Asasi hizo zitakuwa na jukumu...
1 Reactions
5 Replies
456 Views
Naona vibwebwe vimefungwa viunoni watu (wamakonde wanaita 'vanu') wakifurahia ugomvi wa jirani...........wanagongeana mikono Huku wakishusha vijineno chochezi ("ndo alivyo huyo!", "apigwe huyo!"...
0 Reactions
1 Replies
246 Views
Chama kinaisha na kinaibuka chauma kwa kasi na kwa msaada wa serikali watapata viti vichache vya ubunge na udiwani ili wapindue meza na kuwa chama kikuu cha upinzani. Duniani kote hakuna serikali...
0 Reactions
30 Replies
931 Views
1. Kuzua taharuki ya kiusalama; Makala kusema CHADEMA wanataka kufanya shambulio la kibayolojia la Mpox na Ebola nchini kuvuruga uchaguzi. 2. Malalamiko ya utaratibu wa uteuzi wa wagombea urais...
6 Reactions
8 Replies
498 Views
Itakumbukwa huko nyuma Marehemu Ali H.Mwinyi Raisi aliingiza nchi OIC kinyume cha Katiba , ikapelekea G55 , na mwishowe Mwl aliandika kitabu , uongozi na hatima ya Tanzania na kupelekea J.M...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Katika siasa za ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), jina la Fulgence Lwiza limezidi kupewa uzito mkubwa katika Kata ya Yombo Vituka, Wilaya ya Temeke, jijini Dar es Salaam. Kwa sasa, hakuna...
0 Reactions
8 Replies
467 Views
Watu wenye akili waliomsikiliza Polepole leo inatosha kujua kila kitu kishapangwa na kete inasogezwa moja moja. Ndugu zangu nampenda Samia lkn akili ndogo ya kuvukia barabara inatosha...
21 Reactions
42 Replies
4K Views
Although nipo kinyume naye kwa wakati uliopo,lakini simuoni kama adui,wala mifumo isimguse tuwe naye tu,ana kitu fulani lakini huu tulionao siyo muda wake,angoje au apishe kwanza,tumuhifadhi, huku...
0 Reactions
0 Replies
214 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…