Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari za Sabato watu wa Mungu, Niende kwenye Mada Kwa ufupi Sana, Nimewaza mengi lakini kubwa huenda Wazee wetu walioasisi hili Taifa letu (Tanganyika) hakuwa JASIRI kama ambavyo tunawasoma...
0 Reactions
1 Replies
335 Views
Jana balozi Polepole alizungumza na vyombo vya habari vya ndani na kimataifa. Kati ya mengi aliyoyoyazungumzia, ni kupinga ukiukwaji wa katiba na taratibu za kumpata mgombea wa urais katika...
3 Reactions
11 Replies
747 Views
Uzi Maalumu kumshauri Mzee Warioba. Karibuni wadau
1 Reactions
10 Replies
703 Views
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, hatimaye Polepole ameweza kufanya press yake ya kwanza na kwa hakika mambo matatu muhimu amefanikiwa kuyafanya. Jambo la kwanza Polepole amefanikiwa kuvuta ushawishi...
30 Reactions
51 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika siku maalaum ya uzinduzi wa Dira ya taifa 2050 amesema Dira hiyo ya taifa imeweka msisitizo katika suala la haki, na...
0 Reactions
3 Replies
336 Views
Wengi walitarajia kurudi upande wa pili ili waingie bungeni bahati mbaya mambo sio. Kilichobakia ni wao kuendeleza upinzani ndani ya chama chao Bhagosha!!!
0 Reactions
2 Replies
300 Views
Mkikaa kimya hata mawe yataongea, sasa watu kutoka mbali kabisa wameiona nyota angani mithili ya mamajusi. Nabii huyu kasema kwamba Samia Suluhu Hassan atashinda kwa kishindo uchaguzi mkuu 2025...
5 Reactions
68 Replies
2K Views
Introduction As Tanzania stands at the crossroads between the concluding aspirations of Vision 2025 and the bold ambitions of Vision 2050, the time has come for a critical national reflection...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna akaunti zilikuwa hapa JF yaani comments zake ilikuwa matusi makubwa, ya kutisha, lakini tangu Mdude aamue kutojihusisha na siasa, JF imekuwa mahala pa amani.
0 Reactions
15 Replies
894 Views
Ndivyo ilivyo JK mambo yake yanaenda wala hajali na ya wahuni wenzake nao mambo yao yanaenda hivyo wahuni wameshikamana na wamekuwa na nguvu na wakiachwa wakajijenga zaidi hali itakuwa mbaya...
8 Reactions
16 Replies
716 Views
2 Reactions
6 Replies
517 Views
Tunapoelekea kwenye uchaguzi, tutaona na kusikia mengi mojawapo yakiwa ya Josephat Gwajima na Humphrey Polepole dhidi ya chama na serikali yao. Je kuna uwezekano wa kuibuka mitandao ya ndani ya...
0 Reactions
0 Replies
277 Views
Rank Country % of Women in Parliament Global rank 1 Rwanda 61.3% 1st 2 Senegal 46.1% 11th 3 South Africa 45.8% 14th 4 Namibia 44.2% 19th 5 Mozambique 43.2% 20th 6 Ethiopia 41.3% 25th...
43 Reactions
265 Replies
13K Views
Sijaelewa ni kwa nini Kila akikosolewa Samia Suluhu Hassan ndani ya chama chake ama kama Rais hoja kuwa ukosoaji huo unatokana na dini yake huibuka. Hivi ni Rais gani wa nchi hii ambaye hajawahi...
6 Reactions
23 Replies
1K Views
Ile dhambi ilikuwa mbaya sana sana japo Mwamba alishirikishwa binafsi Nilitegemea Polepole angelaani Nawatakia Sabato njema 🙏
0 Reactions
0 Replies
89 Views
Gwaji boy alijua yajayo kwake? Kwa Nini alijenga nyumba na kanisa zenye andaki Ili akifatwa adumbukie dubwiiiii! Na polisi wasimuone?
9 Reactions
25 Replies
2K Views
Watu wa rohoni huu Unabii juu ya hatima.ya Tanzania mnauonaje!
0 Reactions
1 Replies
253 Views
Kwa kuzingatia masuala kadhaa aliyozungumza Ndugu Pole Pole hasa suala la inefficiency in Government na hasa hoja kuwa nyumba haina mwenyewe. Naomba Special Branch inajijua ifanye special life...
15 Reactions
30 Replies
2K Views
Wameingiza baridi "No Reforms No Election" imewapoteza kabisa. Wakubali masharti: 1. Mh. Lissu aachiwe huru na kufutiwa mashtaka yote. 2. Wafanye mabadiliko chanya ya sheria za uchaguzi. 3...
1 Reactions
0 Replies
197 Views
“Kuhusu mambo ya utekaji, siyaungi mkono. Dada yangu ametekwa jana. Mimi napost post ya kwanza, wamesharuka ukuta. Wamemtia pingu dada yangu. Wamempiga vibao”
8 Reactions
31 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…