Hellow Tanzania.
Nani anaingiza HOFU ndani ya chama Cha MAPINDUZI kuwa, pakifanyika Reforms kwenye Katiba tukapata Tume huru ya Uchaguzi, kwamba CCM itaanguka na kushindwa vita ya Uchaguzi mkuu...
Tuseme tu ukweli matatizo ya nchi hii wa kulaumiwa ni nyerere yeye ndiyo chanzo cha sisi kufika hapa kutokana na ubishi wake na udikiteta wake wa kutokubali kuambiwa ukweli na ukionekana unataka...
Je, kwa nini mchakato wa Katiba mpya umekuwa ukisuasua licha ya ahadi za kisiasa kutoka kwa viongozi wa juu, na ni nani anayefaidika na hali hii ya kutokuwepo kwa mabadiliko ya kikatiba?
Tunakumbushana tu iliitwa CCM ya Magufuli au Magufuli Ruling Party kama alivyoiita RC wa Mbeya by then Albert Chalamila
Polepole pamoja na mapungufu yake lakini ana vitu viwili; Mosi karama ya...
Salaam!
Tukiwa wadogo, tulipenda sana kuwinda mapaka shume na kuyashambulia kwa mawe, sababu ya kuyawinda, yalizidi wizi wamboga majumbani na uharibifu uliokithiri.
Yaani sie tulipoona mapaka tu...
Habari wakuu
Inahitaji utulivu mkubwa kuweza kusoma mchezo, sasa hivi CCM wanakosoana wenyewe kwa wenyewe huku watu wakishangilia na kusifia viongozi wa CCM wanaoikosoa CCM.
Mtoto wa nyoka ni...
Udini ndio uhaini mkubwa duniani kuliko hata maneno maneno ya Lissu, na mambo haya hufanywa na watu na au viongozi poyoyo wasio na uwezo wowote wa kielimu ya kimazingira, ukifuatilia vizuri, hata...
Mimi si muumini wa kanisa la ufufuo na uzima wala Gwajima sio role model wangu.. Lakini kitendo chake cha kukemea utekaji wazi wazi na kutaka hatua stahiki zichukuliwe kiliwagusa wengi
Baada ya...
Tunakumbushana tu kwamba Lema alikuwa Waziri kivuli wa mambo ya ndani aliyeteuliwa na Mbowe mwenyewe
Sasa Mh Mbowe kwanini ulimteua Dhaifu kwenye Wizara iliyoongozwa na Nguli wa Siasa za...
Habari ya muda huu wakuu, bila shaka walio wengi wetu wamepata fursa ya kumsikiliza Gwajima katika press conference yake , kwa ufupi baadhi yetu tumepokea ujumbe huu namna hii...
~Wengine...
Ndugu zangu tumekuwa na chaguzi za kijinga toka tumeanza mfumo wa vyama vingi na uchaguzi wa hv karibuni ndio umetoa picha halisi ya nn kinaendelea kwenye siasa za nchi hii,uchaguzi wa mwaka 2019...
Afundishwe vyema pia kwamba hakuna namna nchi inaweza kuacha jambo muhimu sana kama la ulinzi wa Taifa, watu, mali na makazi yao likafanywa na makampuni binafsi ya ulinzi, kwasababu tu eti jeshi...
Hakuna mkate mgumu mbele ya Chai hao Chadema na Chaumma wote wataunga mkono Juhudi za Rais Samia kwenye Awamu yake ya pili
Siasa ni aina ya mazingaombwe ambapo kila kitu kinawezekana
Ahsanteni...
Tupo Salama! Kwa wagonjwa na wanaopitia changamoto ngumu, Mungu awapatie ufumbuzi.
Unajua maji yakishamwagika yamemwagika. Yatazoleka lakini yakiwa na mchanga. Na hayatajaa kwa ujazo uleule...
Waziri wa Fedha Dr Mwigullu Nchemba PhD amesema kwa sasa Tanzania ina matatizo makuu matatu ambayo ni Umaskini, Ajira na Upungufu wa Maadili
Dr Mwigullu amesema wengi wanadhani Upungufu wa...
Rais Samia Suluhu Hassan amempandisha cheo Meja Jenerali Jacob John Mkunda kuwa Jenerali, na amemteua kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF).
Kabla ya uteuzi huo alikuwa Mkuu wa Tawi la Operesheni...
1. Mkoa wa Tanga katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2025 umeongeza vituo vya kutolea huduma za Afya vya serikali kutoka 325 hadi 417 ikiwa ni ongezeko la vituo 92.
2. Zahanati zimeongezeka kutoka...
Nakiangalia mapito wanayopitia CHADEMA na Viongozi wake kama ndiyo wangekuwa wanapitia CCM,basi chama kingekuwa kilishakufa zamani.
Naamini ni mda wa kukipa madaraka chama cha Chadema kama...
Hamjambo Wote!
Mimi Niko fresh Kabisa, nashukuru Mungu anasaidia.
Kwenye Mada.
Nilikuwa nafuatilia kwa ukaribu Kabisa Sababu ya upole au tuite Ulofa kama alivyosemaga Hayyati Benjamin Mkapa...