Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni dhahiri ndani ya CHADEMA kuna watu wamechukizwa na uamuzi wa chama wa NO REFORMS, NO ELECTION. Hao ni watu wanaotaka ubunge kwa udi na uvumba. Wanaona kuwa wanayo nafasi ya kushinda uchaguzi...
7 Reactions
15 Replies
874 Views
Unaona mantiki imekosewa hapo. This is the smoking gun. "Wajumbe, jina moja likiletwa, jina moja ni jina ambalo halipungui matatu, kwa hiyo tunakwenda sawa na Katiba yetu." Majina matatu...
18 Reactions
52 Replies
2K Views
Kuna moment kwenye maisha unatakiwa kuelewa Uchawa na Kusifu sio ASILI ya Binaadam. Huku majuu palijengwa na watu wenye uwezo wa KUHOJI na KUWAJIBIKA. Kiongozi ame breach katiba ya CCM ili...
38 Reactions
85 Replies
4K Views
Niko hapa kujifunza Ahsanteni sana 🙏🇹🇿
0 Reactions
8 Replies
314 Views
Robert Mugabe alilazimishwa kujiuzulu dakika za jioniii na chama kikashika hatamu nchi ikapata Rais mwingine. Hoja ilikuwa kuvunja katiba ya nchi na ZANU-PF, mila na desturi za makomredi. CCM...
3 Reactions
11 Replies
687 Views
Huu ndio ukweli kuwa Lissu ameikomaza CHADEMA Kila kona wanapigiwa chapuo kuwa sasa wapo kwa maslahi ya mtanganyika Wanaumgwa mkono tena kwa kila msimamo wao. Kumbe wapo sahihi hata kususia uchaguzi
5 Reactions
18 Replies
709 Views
Huo ndio msimamo mpya , baada ya yote yaliyopita na kutokuwepo jf kwa zaidi ya mwaka nimeona niweke wazi msimamo watu tunaoamini katika falsafa za hayati Magufuli ni kwamba tutamsupport TL popote...
29 Reactions
97 Replies
5K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika ninamshukuru Sana Mwenyezi Mungu kwa Kupata Bahati ya kipekee na adimu ya kuongozwa na Rais Samia Akiwa ni Rais Wa Nchi ,Kiongozi wa Serikali na Amiri Jeshi...
-2 Reactions
44 Replies
1K Views
Polepole anabaki kujaribu kumuiga Nyerere muonekano na sauti lakini ukweli ni kwamba hoja zake za utaratibu wa ndani ya chama hazina manufaa yeyote kwa taifa. Polepole haongelei katiba mpya...
0 Reactions
2 Replies
284 Views
Tulioshangaa 2020 CCM kuprint nakala moja ya Urais kwa Urais tumepigwa kitu kizito na Chama kutokutoa Fomu Hata Ile moja ya ngama. Kila mtu atachanganyikiwa wakati ukifika. Bado kuzima internet
0 Reactions
0 Replies
266 Views
Mwandishi wa Habari na Kada wa Chama cha Mapinduzi, Harubu Kabwe amesema; "Nitamlinda Rais wangu Samia Suluhu Hassan kwa gharama yoyote ile, Rais ni Lulu kwa Taifa letu la Tanzania"
0 Reactions
11 Replies
569 Views
Leo ikiwa ni miaka mitano tangu kufariki kwa Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, alisisitiza kuwa ni kosa kwa kiongozi kudharau mchango wa serikali iliyopita na kuwataka viongozi kuheshimu...
0 Reactions
4 Replies
481 Views
Tarehe 17 Februari 2021, mauti yalimkuta katibu mkuu kiongozi Mhandisi John Kijazi. Kijazi amekufa waziri wa fedha kipindi hicho, Dr Philip Mpango akiwa mahututi hospitali ya Benjamin Mkapa...
10 Reactions
51 Replies
3K Views
Mkiona sera za CCM zinadumu mjue viongozi wetu wanafanya kazi kubwa sana Kenya wanaiga sana lakini wanachemka Sasa wanaiga maghorofa ya Shujaa Magufuli ya pale Magomeni Ahsanteni sana 🙏
0 Reactions
0 Replies
149 Views
Mara 4R, Mara mardhiano....... haya yote ameshidwa na vigogo ndani ya CCM https://youtu.be/Ku52ZOjs0oQ?si=N3mmmLL4TrSqjbhQ
4 Reactions
13 Replies
821 Views
Kubali ukatae kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya CCM. Kuna kundi kubwa linalompinga Samia ndani ya CCM. Hakuna kitu kibaya kama kuwa na mpinzani wa ndani hii ni kitu mbaya sana. Mtu anae kujua vizuri...
7 Reactions
34 Replies
2K Views
Wakuu! Kwa mujibu wa kanuni za mchakato wa uchaguzi, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imepiga marufuku matumizi ya simu za mkononi na vifaa vingine vya mawasiliano ndani ya vituo vya kupigia kura...
0 Reactions
4 Replies
586 Views
Kanisa ni asasi ya kiraia inayohitaji ulinzi na huduma nyingine za kiraia kama polisi, maji, umeme, barabara, usajiri, misamaha ya Kodi, ardhi, nk. Waumini ni raia pia wanaishi kwenye jamii...
11 Reactions
219 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…