Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mfanyabiashara Maarufu Duniani na Mwenye connection zake nchi nzima. Ametoswa na Wajumbe kwa sasa anategemea huruma ya Kamati Kuu. Ikiwa watakumbuka mazuri aliyowatendea siku zilizopita.
1 Reactions
9 Replies
923 Views
Ndoto za waliokuwa wabunge wa viti maalum mkoa wa Arusha kurejea bungeni huenda zikakwama baada ya kushindwa kuwashawishi wajumbe wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Arusha...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Jamani ni muhimu tufahamu CV,ya huyu mpambanaji wa taifa letu pendwa. Maana amejilupwa sana. Alikosoma yeye na lisu ndo tuanze kupeleka wajukuu zetu huko. Elimu yake? Exposure yake? Kabila lake...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Wewe unaye tuzimia mitandao naona unavuka mipaka yako usijione wewe ndiyo bora kuliko watanzania nakuonya. Tusizime mitandao kama tunazima tochi, kuna watanzania wana biashara na familia...
6 Reactions
10 Replies
736 Views
Wakuu hii haijakaa sawa kabisa. Leo biashara zangu zimekwama kisa kuzima mtandao . We are not serious.
15 Reactions
52 Replies
2K Views
Lengo letu si kushabikia mambo ya ccm, maana hayatuhusu, lakini tunalazimika kuandika haya ili kuonyesha Ukuu wa Mungu.
11 Reactions
62 Replies
4K Views
Huu ndio uhalisia wa Polisi wa Tanzania? Wakivua Sare za Polisi ndio unaona sare yake halisi. Je, Sare ya jeshi la Polisi huwa inatumika kuhadaa Watanzania kwenye baadhi ya matukio? Hapa ni...
16 Reactions
54 Replies
3K Views
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na Mtia nia nafasi ya Ubunge Jimbo la Arusha Mji aliwahi kusema, "Kama Mungu aishivyo, mimi ukiniweka kwenye Kaburi nitafufuka tu!"
0 Reactions
8 Replies
581 Views
Asante Wajumbe wa CCM wilaya ya Siha kwa kumpeleka LIKIZO Dr wetu wa tiba asili
13 Reactions
34 Replies
3K Views
Salaam! Mapacha watatu,Vijana wababaifu waliotutambia Enzi zile kwamba hatuwawezi kwa lolote ni yule wa Mtama, Tanga na Singida. Sasa wajumbe wamekosea kumkata mmoja na kuwaacha wawili ndani...
2 Reactions
5 Replies
492 Views
Mjasiriamali na Msanii wa muziki nchini Zuwena Mohamed Yusuph maarufu Shilole akijinadi na kuomba kura mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu wa (UWT) mkoa wa Tabora wampitishe kugombea nafasi ya ubunge...
0 Reactions
17 Replies
959 Views
Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu , Rejea mada tajwa . Mh aliekua Mbunge wa bunge la JMT ,tulipenda sana tumia jina la mh Bwege, kuna kipindi ndani ya Bunge aliwambia wabunge wa ccm na serikali...
1 Reactions
3 Replies
425 Views
I have a dream kama alivyosemaga miaka hiyo Martin Luther King mpigania Haki za Watu Weusi nchini Marekani. Nami nina ndoto. Ipo siku na haipo mbali, nukuu hii itatumika kama alama ya ujasiri...
18 Reactions
26 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mitaani kunazidi kunoga ,mitaani kunaendelea kupambazuka,mitaani kunaendelea kuchangamka ,mitaani kunaendelea kuleta raha,mitaani kunaendelea kufurahisha ,mitaani...
0 Reactions
15 Replies
708 Views
Mwanaharakati huru, Cyprian Musiba, akizungumza kupitia Jambo TV amesema, "Ndani ya Chama Cha Mapinduzi lazima kuwe na Wanakosa, hamuwezi wote kuwa Chawa, sasa kitakuwa ni Chama hicho? Kwamba...
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Aliyekuwa Mbunge wa Bumbuli January Makamba amesema baada ya jina lake kutopitishwa na Kamati kuu ya CCM alikutana na changamoto kubwa mbili tu Mosi, kuwaelewesha WATOTO wake ambao ni Gen Z...
24 Reactions
170 Replies
10K Views
Polepole haijui CCM inavyoandaa viongozi yeye alikuwa layer namba saba kwenye uongozi wa nchi yeye na akina Makamba na Akina Mpina nk Layer ya kwanza ya Nyerere ya pili ya Mwinyi ya tatu ya Mkapa...
0 Reactions
19 Replies
940 Views
Wakati akiingia madarakani, Rais wa awamu ya 6 alitambulisha kauli mbiu yake kuwa kazi iendelee bila kusema ni kazi ipi hiyo, je ni ile iliyofanywa na awamu ya 4 na kuja kusitishwa na awamu ya 5...
7 Reactions
24 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…