Diwani aliyemaliza muda wake wa Mawenzi, Jimbo la Moshi Mjini, Apaikunda Naburi ameongoza kura za maoni katika kata hiyo kwa kupata kura 58 kati ya 94 zilizopigwa.
Akitangaza matokeo hayo...
Wakati wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata wakijiandaa kupiga kura kwa watiania wa ubunge na udiwani leo Jumatatu, Agosti 4, 2025, hali ni tofauti kwa Siza Mwita, mtiania wa udiwani wa...
Aliyekuwa Mbunge wa Moshi Vijijini Prof.Patrick Ndakidemi amewaambia wajumbe wa Moshi vijijini kuwa yeye ni Mbunge wa Vitendo na sio wa Maneno na hivyo kuomba Wajumbe wa CCM kumpa nafasi kwa mara...
Katika video inayosamba katika mitandao ya kijamii kuna vurugu ambazo zimetokea katika kivule wakati kura za maoni ndani CCM zikiendelea leo Agosti 4, 2025.
Wananchi wilayani Mbulu, mkoani Manyara, wamelalamikia hatua ya baadhi ya watia nia wa nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Mbulu vijijini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuenguliwa katika...
Wakuu
Makamu Mwenyekiti ACT-Wazalendo Bara, Mheshimiwa Isihaka Mchinjita, kupitia mahojiano na kipindi cha Supa Breakfast, amegusia uvumi unaosambaa mitandaoni kuhusu Mbunge wa zamani wa Kisesa...
Gari la mtia nia udiwani nafasi ya Udiwani Kata ya Igwachanya Wilaya ya Wanging'ombe Anthony Mawata - CCM imechomwa moto na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo.
Biteko, “Mimi sitaweka mawakala katika vituo vya kupigia kura kwa sababu sina mashaka na nyinyi watu wema wa Bukombe bali mawakala wangu mtakuwa ninyi wananchi wenyewe wa Bukombe”.
Doto Biteko...
Zikiwa zimebaki saa chache kabla ya wajumbe kufanya uchaguzi wa kupitisha jina moja la kuwania ubunge katika majimbo yote hapa nchini, katika jimbo la Siha mvutano umekua mkali baada ya mke wa...
Mgombea ubunge wa Jimbo la Same Magharibi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fatuma Kange, amewataka wananchi wa jimbo hilo kufanya mabadiliko ya kihistoria kwa kumchagua mwanamke mwenye maono...
Mtia nia wa Ubunge Jimbo la Moshi vijijini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Halmashauri anayemaliza Muda wake Morris Makoyi amejikuta akizomewa na wananchi wa Kata ya Mabogini katika zoezi la Kujinadi...
Mtia nia wa udiwani mkoani Mara, Bw.Siza Mwita Keheta kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Ganyange Wilaya ya Tarime mkoani Mara, pamoja na rafiki yake ambaye ni Mfanyabishara wa...
Msimamizi wa uchaguzi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro, Kheri Mkamba, leo ameongoza zoezi la kuanza kwa uchaguzi wa kura za maoni katika Kata ya Mjimpya...
Wanabodi,
Kutokana na hali ya kisiasa nchini kwetu, huo ndio ukweli. Ukubali au ukatae, wajumbe wakishapitisha majina, hayo majina kwa asilimia kama 98% au 99% ndio wawakilishi tutakaokuwa nao...
Mtia nia wa nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Ulanga Mkoa wa Morogoro Abdallah Kirungu kupitia Chama cha Mapinduzi amewataka Wananchi kutokubali kudanganyika kwa pesa za mtu bali wamchague Kiongozi...
Wakuu,
Naona wajumbe wameendelea kuwashika pabaya wanasiasa. Yaani swali dogo tu hivi kama amepanic hivi
Soma pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge katika Uchaguzi Mkuu 2025...
Wajumbe na mabalozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Njombe Mjini wakiwa tayari kwa ajili ya kupiga kura za maoni kuchagua diwani wa Kata ya Njombe Mjini na Mbunge wa Jimbo la Njombe Mjini...
Wagombea Ubunge na udiwani katika Jimbo la Segerea kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Agosti 2, 2025 walipoitwa mbele ya wajumbe Kata ya Kiwalani kwa ajili ya kutambulishwa kabla ya kuwaomba...