Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu hii video Nimeiona Instagram huko kwa kweli imenisikitisha sana, hivi kwanini watu wenye vyeo na mamlaka huwa wanageuka kuwa miungu watu? Nimepata mfadhaiko na kicheko cha uchungu kwa hii...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
TAARIFA KWA UMMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuujulisha umma kuwa kimepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa zinazodai kuwa Mhe. Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, kuna...
29 Reactions
267 Replies
13K Views
Ndani mtiti nje mtiti. Ndivyo tunavyoweza kusema, baada ya ukumbi wa Shabani Mloo wa Chama cha Wananchi (CUF), uliotakiwa kutumiwa na wajumbe wa Baraza Kuu la Uongozi wa chama hicho ili kupitisha...
9 Reactions
27 Replies
2K Views
Mtia nia ya Ubunge wa CCM Mwijaku amewataka Watanzania kuacha kushangilia kifo cha Spika mstaafu Ndugai Kwani hali hiyo inamzidishia uchungu binti mkubwa wa hayati Ndugai Kichwa cha Habari hii ni...
0 Reactions
0 Replies
177 Views
Spika Ndugai. Tunaokufahamu tunakulilia kwa WEMA WAKO. RIP. Familia. Poleni. Suala la Lissu kufukuzwa Bungeni liliniuma sana. Jioni nikamfuata Spika Ndugai nyumbani kwake Kisasa kumuuliza...
54 Reactions
291 Replies
17K Views
Mahakama Kuu ya Dodoma ilipofunguliwa kesi ya kikatiba na kada wa Chama cha Mapinduzi Mch. Dkt. Godfrey Malisa imesikiliza kwa mara ya kwanza kesi hiyo Agosti 5,2025. Akiongea na waandishi wa...
23 Reactions
72 Replies
7K Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Kenani Kihongosi amesisitiza umuhimu kila mwananchi ikiwemo Vijana wa Mkoa wa Arusha kulinda na kutunza amani na utulivu wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba Mwaka...
2 Reactions
79 Replies
3K Views
π‘΅π’‚π’‚π’π’…π’Šπ’Œπ’‚ 𝑹𝒂𝒔𝒉𝒅𝒂 Kesho, Rais Samia Suluhu Hassan atachukua fomu ya kugombea urais katika uchaguzi wa Oktoba mwaka huu β€” tukio muhimu linaloashiria mwendelezo wa uongozi wenye dira na matokeo. Kwa...
0 Reactions
7 Replies
404 Views
Hadi sasa Rais anaenda kuchukua form ya kugombea u-Rais akiwa bado Rais, amiri jeshi mkuu, mkuu wa vyombo vyote vya usalama na mwajiri Mkuu wa wasimamizi wa uchaguzi ikiwemo tume ya uchaguzi...
0 Reactions
0 Replies
141 Views
Ndugu Yericko wewe ni mwanasiasa makini ila kwa sasa hauko sawa. Kwanini unapambana na wenzako ndani ya chama badala ya kuhama kama kina Mrema? Huu unafiki ulio nao ni wa hali ya juu mno. Posts...
11 Reactions
28 Replies
1K Views
Ikiwa wanao wagombea na Tume kwann wanahangaika kufanya tena kampeni?
22 Reactions
66 Replies
2K Views
Rais Samia wewe ni mshirika dhaifu kwenye huu ushirika, kaa pembeni(nawa mikono) kabla hawajaanza kukulazimisha kufanya mambo yao kwa gharama ya maisha na uhai wa watu wako uwapendao, watoto wako...
17 Reactions
34 Replies
3K Views
Pole pole episode ya NNE Itawafanya kamati kuu kutizamana Je mwajua itazungumzia Nini?. Kikubwa ni chanzo Cha kifo Cha Hayati Magufuli na watatajwa wote walio usika na ushahidi wake All the...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), imewataka wadau wa uchaguzi wakiwemo viongozi wa dini na vyama vya siasa kujiepusha na lugha za matusi, kejeli, ubaguzi na uchochezi, hasa wakati...
1 Reactions
6 Replies
742 Views
Lembrus Mchome, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Mwanga, ametambulishwa kama Mwakilishi wa CHADEMA, kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro linawashikilia watu kadhaa kwa tuhuma za kujihusisha na jaribio la kufanya uhalifu wakati wa zoezi la uchaguzi wa kura za maoni ndani ya Chama Cha Mpinduzi (CCM)...
0 Reactions
1 Replies
462 Views
Waziri wa Kili Hussein Bashe, awashukia Wagombea wa CCM waliopondea Sera za Serikali kwenye Kura za Maoni, asema ni hatari sana!
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Chama cha Mapinduzi CCM wilayani Handeni mkoani Tanga kimelaani kauli zinazotolewa na baadhi ya watu wanaotumika kuwasema vibaya viongozi wa chama hicho pamoja na wagombea walioongoza kwenye...
0 Reactions
1 Replies
272 Views
Hivi Kuna Rais amewahi fanya makubwa na kuleta mafanikio kwenye sekta ya Michezo,sana n burudani kumshinda Samia katika historia ya πŸ‡ΉπŸ‡Ώ? Huwezi Kuta SSH akijigamba ila matokeo kwake ni makubwa...
4 Reactions
97 Replies
6K Views
Huu msemo Power is taken and not given watu wengi sana wanaufungamanisha na kutumia vurugu kama njia ya kuchukua mamlaka-ukisema Power is taken wanahisi labda unataka kupindua nchi au kuleta...
10 Reactions
17 Replies
861 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…