Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hadi sasa kwa vigezo vyenye uhalisia Upinzani hauna nguvu, uwezo wala dalili za kuishinda CCM kwenye sanduku la kura labda wakubali kwa dhamira ya dhati kufanya mageuzi makubwa ndani ya vyama...
0 Reactions
0 Replies
169 Views
Unajua kuwa kauli yako ni sawa na kuitisha Serikali iliyopo madarakani na yaweza hesabiwa kuwa ni Uhaini? Ukweli Nchi yetu imejaaliwa viongozi wenye hekima na huruma hilo ndilo jambo la...
7 Reactions
56 Replies
3K Views
Mimi naamini kuwa Tundu Lissu amebeba mikoba ya ukombozi kamili wa Nchi hii. Kutokana na imani hiyo, naamini pia kwamba ikiwa tutamwacha Tundu Lissu aendelee kupambana yeye mwenyewe kana kwamba...
2 Reactions
4 Replies
354 Views
Ndugu Jaji mkuu: Nakusalimu Hivi karibuni kumezunguka mtindo wa kuibuliwa kwa kesi nzitonzito ambazo zinaonekana dhahiri ni za kisiasa. Tumeshuhudiwa Ndugu Mwabukusi, Dr Slaa na Mdude Nyagali...
3 Reactions
5 Replies
649 Views
Samia anapendwa mno na makundi yote na polepole aliyemdanganya kuonge yale atakuwa anacheka namna ambavyo kamuingiza kingi. Jamani shule muhimu sana laiti polepole angesoma seminari angekuwa mtu...
3 Reactions
13 Replies
761 Views
Kutoshiriki kabisa uchaguzi wa mwaka huu kutakuwa ni hasara kubwa sana kwa Chadema na kwa mustakabali wa demokrasia nchini. Mawazo yangu yanaweza kuonekana hayana uzito wowote, lakini kuiacha CCM...
5 Reactions
101 Replies
3K Views
Endeleani kukamata mwizi kimya kimya. Ila fanyieni kazi mambo yafuatayo mambo: 1. Mambo ya public speaking. Mpina watu wameshakuweke wewe kama ndio mpinzani. Sasa basi, kwa siku hizi chache...
3 Reactions
45 Replies
2K Views
Lissu achana na kuwapambania Wabantu waswahili . Hawa watu watakuchosha bure waache wawndelelee kunyonywa na waendelee kutumikia Simba na Yanga na kuibua misemo ya kijinga Kama Sasamba .
14 Reactions
48 Replies
2K Views
TUSIPOTOSHE UMMA RAIS MAGUFULI YUPO TAYARI KWA MDAHALO, SI VINGINEVYO. Wasalaam wana JF. Natumia fursa hii kutoa ufafanuzi na maelezo yanayojitosheleza dhidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
TAARIFA / MREJESHO KILICHOTOKEA MBELE YA JOPO LA MAJAJI 3 KESI YA DHARURA YA KIKATIBA CCM KUVUNJA KATIBA Mch. Dkt. Godfrey Malisa atoa mrejesho wa kilichotokea leo tarehe 5 August 2025...
18 Reactions
53 Replies
4K Views
Huyu bwana mdogo Kawaida simfahamu kabisa ila kauli yake ya kuitaka CC ya CCM kuteua Wagombea wanaokubalika kwa Wananchi naiunga mkono Fedha siyo kila kitu kwenye Uchaguzi Huru na wa Haki...
8 Reactions
21 Replies
1K Views
Askofu Mkuu sahau kuteuliwa na Chama kugombea KAWE. Umeuponza
7 Reactions
70 Replies
4K Views
Maneno ya Gwajima leo! ⏬ ======= "Nasema Press nitakayoita ya pili kama Ukiendelea kunichokoa Chokoa Nitasema Vitu Utatoka Moshi huwezi kufungua macho" Askofu Josephat Gwajima "Lakini Sasa Mimi...
5 Reactions
136 Replies
6K Views
Mpina apewe urais. Hii ndio kauli ya kila mtanzania mpinga dhuluma. Mpina ni kama hayati Magufuli. Anapigania haki za wanyonge. Akipewa nchi wahuni wa CCM watadhibitiwa na kunyooshwa. Angalia...
2 Reactions
21 Replies
906 Views
Habari za muda huu. Niende kwenye mada Moja kwa moja. Chama Cha Mapinduzi hakijakosa hela kiasi cha kuandaa harambee ya watu kukichangia pesa za kuendesha shughuli za uchaguzi. Miaka yote chama...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Ewe mgombea Ubunge wa Chama cha Mapinduzi(CCM) kabla ya kumwaga pesa nyingi kwenye kampeni,kabla ya kujitosa na kutumia nguvu nyingi kusaka kura hakikisha yafuatayo: 1. Jimbo lako siyo miongoni...
3 Reactions
9 Replies
903 Views
Yawezekana Bangi ina faida kwa baadhi ya watu, lakini kimazoea ya heshima ya jamii ya ki-tanzania, kila mvuta bangi hapewi heshima kiasi kikubwa. Hata kama anafanya mambo ya maana kila wakati...
18 Reactions
127 Replies
6K Views
Hili neno ni neno gumu sana, baya kwa watawala na zuri kwa wananchi wanyonge. Ndio msingi mama wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na almost katiba zote duniani. Neno hili pacha wake...
0 Reactions
1 Replies
380 Views
Hili kanisa linalotajwa kama kanisa katoliki takatifu la mitume linahitaji reforms ili kwenda sawa na amri ya upendo iliyoamriwa na Yesu Kristo. Viongozi wa kanisa wapunguze chuki dhidi ya...
10 Reactions
134 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…