Nauliza tu maana Shujaa Magufuli alisema Yeye hajawahi kusaini hati yoyote ya kunyonga Mtu kwa sababu Uhai huletwa na kutwaliwa na Mungu wa mbinguni mwenyewe
Na hata huko duniani nchi nyingi...
Ukiona raisi anasifuwa na kutangazwa kila kona ya nchi na machawa , wafanyabiashara ku print nguo zake na kupa zawadi mbalimbali za upngozi bora ujue nchi hiyo inaelekea kuangamia
Wote mnaona...
Wakuu, Hii harambee ya Chama tawala imejaa genge Fulani la watu wachafu tu na hawana interest na taifa letu,
Urais ni cheo cha juu kabisa na nadhani ni vyema kika serve interest ya umma kuliko...
Niwe mkweli, public reception ya Mpina haijawa kubwa kivile kama ilivyotegemewa. Hii ni tofauti na public reception waliyopata Maalim Seif alipoanzisha KAMAHURU na baadaye CUF, Mrema kuhamia NCCR...
NDUNA ALIYETIKISA HIMAYA YA WANGONI SONGEA
Katika historia ya Songea mkoani Ruvuma kuna nyota moja iliyong’aa kupita zote Nduna Songea Luwafu Mbano aliyeuawa kikatili na wajerumani mwaka 1906...
Kwenye kura za maoni asilimia kubwa RUSHWA ilitumika sana na hii haina mjadala kila mtu aliona. Wengi waliopita waliwanunua wapiga kura na kuwaacha wale walio na uwezo kwa kukosa fedha za...
UKARABATI WA MV. MAGOGONI KUKAMILIKA DISEMBA 2024
Ukarabati wa Kivuko cha Mv. Magogoni unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa Mwezi Desemba, 2024 na kurejeshwa Nchini ili kuanza kutoa huduma kwa...
===
Najua Dkt Bashiru Ally Kakurwa na kaka yangu Humphrey Polepole wanajua na Mungu anajua aliyewaondoa kwenye nafasi zao ndani ya Chama cha Mapinduzi za Ukatibu Mkuu wa Chama na...
Leo hii mimi au wewe tukaamua kumtukana Rais aliyeko madarakani, Mzee kikwete, na viongozi wengine ndani ya mda mfupi sana kila mtu atanijua au atakujua sababu ndo mambo baadhi ya watu wanapenda...
Wataje hapa na uwape maua yao tuwaombee kizazi chao Mungu akikumbuke daima.
Tuwaombee wale wote wenye nafasi za juu za kuweza kula rushwa na kumudu maisha yao kirahisi wajali na wapate hofu ya...
My Take
Mafanikio yanazidi kumfuata Rais Samia.
Dunia inatambua mchango wake kwenye sekta mbalimbali.
Haya Chadomo na Haters wengine njooni kutoa povu ...
https://m.youtube.com/watch?v=7WEBFMk8eE0
Ujenzi wa Mradi wa Bwawa la kufua umeme kwa maji kupitia mto Malagarasi (MW49)
umefikia hatua muhimu, kwa kuweza kuchepusha maji ya kwenye mto...
Hii ni kauli ya Paul Makonda akizungumzia wafanyabiashara ambao wamekuwa wakilazimika kukichangia Chama cha Mapinduzi ili kuepukana na shari ambazo wanaweza kupata ikiwa watakataa...
Huo ndo ukweli, mwaka huu tuna mgombea kutoka kabila kubwa na namba moja tanzania na lenye idadi kubwa ya watu, na tunavojua wasukuma wanapendana na wanaaminiana, ila najua suala la kumchagua mtu...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imepokea barua kutoka katika vyama vya siasa 14 vikieleza tarehe na muda ambao wanachama wao waliopendekezwa kugombea nafasi ya Urais na Umakamu wa Rais...
Aliyekuwa kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye ni mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupiti tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina ameeleza sababu zilizomfanya...