Julai nne baadhi ya wajumbe wa kamati ya Utendaji, Jumuiya ya Umoja wa wanawake wilaya ya Rufiji(UWT),walikamatwa na kuhojiwa na Taasisi ya kupambana na kuzuia Rushwa wilaya ya Rufiji.
Sababu ya...
CCM huwa hawajachelewi kuwafutia wanachama, wanaokosoa msimamo na viongozi wa chama, mfano mzuri ni yule Godfrey alimpinga hadharani mamuzi ya mkutano mkuu huyu ya kumpitisha Samia, badae...
Huu uchaguzi wa mwaka huu unaendelea kutuonesha jambo la msingi sana la kuwa mamlaka yote hutanguliwa na watu.
Mwaka huu tumetangaziwa kutakuwa na zoezi la uchaguzi mkuu lakini cha kushangaza kila...
Akizungumza katika mapokezi ya Wagombea wa nafasi ya urais Pemba leo Agosti 10, 2025 Kiongozi wa zamani wa ACT Wazalendo Zitto Zuberi Kabwe amesema kuwa Mgombea wa nafasi ya urais ambaye ni Luhaga...
Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Kibakwe mkoani Dodoma, George Simbachawene, amesema kuwa Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Job Ndugai, atakumbukwa kwa mchango wake...
Rais Donald Trump wa Marekani amesema yeye na Putin wamekuwa na mkutano wenye tija na kwamba wamepiga "hatua kubwa".
Trump na Putin walizungumza kwa pamoja jukwaani kwa takriban dakika 10. Wote...
Napata mashaka sana juu ya hii movie ,kwa muonekano na muda alioshikiliwa Lissu afya yake haisadifu mazingira anayosema yupo kwa wakati huu.
Nikirudi nyuma maneno yaliyopelekea kukamatwa ni wazi...
Nilipopata tetesi hizi za Rais wa Yanga kuwa mwaka 2025 atakwenda kugombea ubunge Jimbo la Kongwa nilibisha na sababu iliyonifanya nibishe ni sijawai kumuona Enjinia Hersi Said akijiusisha na...
Waumini wa Kanisa la Ufufuo na uzima wamefanya jitihada mbalimbali za kutafuta majengo na mabanda mbadala ili waweze kuendelea kuabudu, lkn kote huko wamefurushwa. Wamefurushwa ktk maeneo 7...
Kila baada ya miaka 5 Katiba ya JMT inaeleza kufanyika kwa uchaguzi mkuu hapa nchini ambapo wananchi huchagua Rais, wabunge na Madiwani. Katiba hiyohiyo pia imeelekeza uchaguzi mdogo kufanyika...
Wazungu wanamsemo wao unasema " Scratch my back I Scratch yours " hii kwa kiswahili inaitwa nipe nikupe.
Hicho ndo maCCM wanafanya dhidi ya matajiri. Je watakuja kulipa nini. Wakikwepa kodi or...
Askofu Gwajima amesema; Mwenyekiti wa CHADEMA, Lissu - aliyepigwa risasi 16 na akapona; yupo gerezani. Kuna ambao hata si watu wa CHADEMA, lakini wanamuonea huruma Lissu; je, hawa watapiga kura?
Mkutano mkuu wa ccm unaendelea mjini Dodoma yaliko makao makuu ya Taifa la Tanganyika
Ni mkutano wenye agenda nyingi.. Nyingine ni tete na pengine zinaweza kuzimwa ama kujadiliwa kwa tahadhari...
Binafsi Mimi Leo nimetoa angalizo kuwa TAL wamuachie bila mashariti yoyote , akaungane na familia yake haraka.
Mimi nafikiri kwa nilivyobarikiwa sifikirii Kama mtakubali nikasirike.
Mimi Kama...
Huwezi Kuongoza Nchi Iliyogawanyika Kwa Makundi, Kuongoza Nchi Ambayo Wananchi Wake Wana Maumivu Moyoni Ni Ngumu Sana Kuwaletea Maendeleo.
Tuponye Nchi Kwanza Tuiunganishe Nchi Kwanza...
Je kuna haja ya kufanya haya maigizo ya kijinga namna hii? Upotevu na ufujaji wa pesa na muda ?
Kwa uchaguzi upi lakini? Huu wa kiini macho uliokwisha malizika kwa kura za wizi?
Mabilioni...
Salaam!
Nimesikia speech ya Leo ya Askofu Gwajima, nimeona
1. Uongozi,
2. Maono.
3. UWEZO WA kuunganisha makundi yote na uongozi thabiti.
4.Weledi wa Hali ya juu.
5. Uthubutu.
6. Uzalendo...
Tangu baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 kupita, harakati za kuisambaratisha CHADEMA zimekuwa nyingi.
Ingawa sasa harakati hizo zimechukua mkondo mwingine na kuwa za kiwango cha juu, lakini ni jambo...
Taifa liwe na dira ya miaka 50+ ijayo.
Ifundishwe KWA Lugha rahisi kuanzia chekechea Hadi kwenye vijiwe vya kahawa mitaani.
Kila Chama kilazimishwe kisheria kuandaa Ilani na malengo yake...
Hakika wapiga filimbi na mapambio waliokuwa WANASEMA nani awezaye kufanya vita na kumshinda??,hawataamini siku hiyo mwanaume dhaifu mpole na asiye na jina miongoni atakayeibuka Kama upepo wa...