Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kiukweli baada ya operesheni 255 , Matumaini ya Watanzania wengi yameongezeka mno! Cha kufurahisha ni kwamba Hata wenzetu wana Usalama nao wameanza Kutabasamu. Ama kwa hakika Tanzania mpya...
41 Reactions
111 Replies
10K Views
Sasa hivi tumeona wimbi la wachimbaji wadogo na wa kati kutoka Zanzibar, siyo wachimbaji tu, hata polisi waliopo sasa hivi hapo Mererani ni wazanzibari, Samia na familia yake wanahusika kwa kiasi...
6 Reactions
23 Replies
1K Views
Chadema itakuwa wapinzani wa Kweli pale Tundu Lisu atakapokuwa huru na kufurusha mapandikizi yote akina Wenje nk kisha kuijenga Chadema Mpya kama shujaa alibyoijenga CCM Enzi zake Kama Tundu...
0 Reactions
0 Replies
165 Views
"Chama chetu kimetekwa, lakini bado tunaendelea kuwatia moyo hasahasa mwenyekiti wetu afanye mageuzi makubwa ya Chama cha Mapinduzi, atuondolee kundi la wanamtandao kisha atuwekee mchakato mpya...
1 Reactions
6 Replies
529 Views
Salaam! Je, ni sawa kupanga kujenga mnara pasipo kukaa chini na kupiga hesabu juu ya gharama zake? Siasa ni sayansi, je ni sawa chama Cha siasa kumpitisha mgombea asiyekubalika ,asiyekidhi...
2 Reactions
10 Replies
515 Views
Nyinyi tuunganisheni Nguvu wote na Kanisa, Tuwafurumushe Hawa wahuni Fikiria wewe ni mwanaCCM, umepiga kura, Mgombea wako kashinda Kwa Kura nyingi Alafu Wanamtandao kutoka Halmashauri Kuu...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Rais Dkt. Samia anaamini kuwa dini zinaweza kuwa suluhisho la migogoro. Tuunge mkono juhudi zake za kuhamasisha viongozi wa dini kuhubiri amani na upendo#Tunamjua
-2 Reactions
15 Replies
593 Views
Wakuu, Naona Padre anagussa mule mule " Uovu upo duniani si kwasababu waovu wanatenda maovu ila kwasababu kuna watu wema walio kaa kimya, kuna watu wema waliotulia tu, wanajihisi na kujidhani...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
Kumpitisha mshindi wa tatu kwenye primaries na kumwacha mshidni wa kwanza linaweza kuwa ni siyo tu kutokuheshimu demokrasia na maoni ya wananchi bali pia ni dalili ya udikiteta. Kuna majimbo ambao...
0 Reactions
15 Replies
680 Views
“Niwaombe viongozi wote wa dini hapa nchini kuendelea kuhubiri Amani, Utulivu na Upendo kwa waumini wenu na kuwa kiunganishi ili jamii iweze kuondokana na migogoro isiyokuwa na tija. ” Rais Dkt...
0 Reactions
0 Replies
179 Views
https://www.youtube.com/watch?v=MCNhPjrsMLA&t=87s
0 Reactions
0 Replies
341 Views
Makamu wa Rais Dkt Philip Mpango akisimika mche wa mzabibu kama ishara ya Kuwepo kwa Kiwanda Kipya cha kusindika zabibu Mkoani Dodoma. Cghini ya Rais Samia, Kiwanda cha kusindika zabibu...
3 Reactions
31 Replies
1K Views
=== Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akiwa katika mahojiano na kituo cha runinga cha ITV kwenye kipindi maarufu zaidi cha DK 45 kinachoongwa na...
12 Reactions
178 Replies
6K Views
== Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila amewataka Watanzania waache kutishwa na watu wanaosema kupanda au kushuka Kwa shilling ya Tanzania kunaashiria...
32 Reactions
207 Replies
9K Views
https://www.youtube.com/live/sypEPTFaiCI?si=GsKjBWqJIDu50RpP Uboreshaji wa Miundombinu ya Barabara Mkoa wa Kagera Katika Kipindi cha Rais Samia Katika hotuba yake kwa wanahabari, Mkuu wa Mkoa wa...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
== Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe Mboni Mhita akiongea mbele ya waandishi wa habari alisema , Rais Samia anatekeleza Miradi mbalimbali ya kimkakati inayojumuisha, Ujenzi wa Mradi wa Umeme Jua...
6 Reactions
20 Replies
917 Views
https://youtu.be/lSwXl5hBJ7o?si=vbfT9DfFtaDA19Jj Kupitia Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Mkoa wa Shinyanga umepokea TZS bilioni 155.24 kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya elimu na...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Rais Samia amejenga vyuo vya VETA 94 na amekarabati vyuo 29 Wanafunzi 440,000 wanaendelea na masomo kama msingi wa Dira2050. Serikali ya Rais Samia imekamilisha ujenzi wa vyuo 29 vya mafunzo ya...
7 Reactions
60 Replies
2K Views
Kuelekea Dira2050 jumla ya vijiji 12,201 kati ya vijiji vyote vya nchi hii 12,318 vyapewa hati miliki. Katika kutekeleza mwelekeo wa DIRA2050 ya Maendeleo ya Taifa 2050 wa kujenga miji jumuishi...
3 Reactions
23 Replies
717 Views
== Chini ya Rais Samia, Serikali ya Awamu ya Sita imetoa mkopo wa shilingi bilioni 2.8 kwa Halmashauri mbalimbali kwa ajili ya kupanga, kupima na kumilikisha ardhi, hatua iliyosaidia kupunguza...
1 Reactions
4 Replies
305 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…