Wana Jf,,
Ni dhahiri kuwa chama cha mapinduzi kipo kwenye hatua za mwisho za kuanguka, dalili zipo wazi kabisa.Migogoro na makundi ndani ya chama, kushindwa kutekeleza ahadi zao kwa wananchi...
Rais mstaafu, Ali Hassan Mwinyi
Rais mstaafu, Ali Hassan Mwinyi, (pichani) amewataka Watanzaniana watu wenye mapenzi mema kuendelea kuwasaidia watu wasio na uwezo na wenye mahitaji ili...
Mchungaji Simboni, aliyekuwa Meneja wa Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai, Mh. Mbowe na Katibu wa Chadema Wilaya ya Hai akirudisha kadi yake ya Chadema jana kwa Mwenyekiti wa Wazazi/CCM Taifa...
Rais Jakaya Kikwete, mkewe Mama Salma, wakitoa heshima za mwisho mbele ya majeneza yenye miili ya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliopoteza maisha Jimboni Darfur nchini...
Hii ni mifano ya heshima ambazo viongozi wetu wanazo na zaidi. Kuwa mbunifu, mpe kiongozi wa serikali yako heshima anayostahili.
Dr. J. K (Dha)
Mh. Waziri mkuu (Mpu)
Mh. Waziri wa Mambo...
Wakuu hivi ni nani?
Ni nani tukimchagua kuwa kiongozi anaweza kuupunguza mshahara wake mwenyewe na kuagiza mshahara wa viongozi wenzake wanaochukua mshahara mkubwa mno upunguzwe ili waongezewe...
Kila mtu atajibu kwa mungu jinsi alivyotumia raslimali za nchi yake hasa pale ambapo mungu alimwambia aishi na kuzaliwa. Na hii ndo dhambi isiyo sameheka .hasira ya mungu haitakuwa kwa serikali...
Naibu katibu mkuu wa CCM bara Mwigulu Nchemba,ameipongeza Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kufuatia ushindi wake wa Kishindo ktk uchaguzi wa kata 4 jijini Arusha.
Pamoja na pongezi...
Wadau hii picha baada ya kuiona sijaielewa; kama kuna mtu anaielewa ningeshukuru kujuzwa. Hapa ni mafunzo ya ukakamavu kule kwenye mafunzo ya ulinzi wa CCM Green Guard? au kunani hasa hapa...
Nimekuwa nikifuatilia vipindi mbalimbali vya mijadara kwenye radio na kwenye Tvs, kitu nilichokiona na jinsi CCM na washirika wake wanavyoweza kutumia jukwaa hilo kueneza propaganda kwamba kuna...
CHAMA cha watoa huduma za mitandao (intaneti) Tanzania (TISPA) kimeilalamikia sheria mpya ya kodi na ushuru wa bidhaa hiyo iliyotangazwa hivi karibuni na serikali kwa kusema itachangia ongezeko...
UTANGULIZI
1.1 Mnamo tarehe 03/06/2013 Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilitangaza rasimu ya kwanza ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
1.2 Rasimu hii ya Katiba itajadiliwa katika mfumo wa...
Monday, July 22, 2013
HUKU Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikiwa kimeweka bayana kwamba hakiungi mkono Serikali tatu kama Rasimu ya Katiba inavyoonyesha, Waziri wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe...
Mkutano unaendelea muda huu ubungo maeneo ya Yenu bar. Leo katika hali iliyokua ya si kawaida polisi walifyatua bomu wakati Mnyika akiongea na mkubwa wao kwa mbele, nyuma ya defender kulikua na...
Hallow wana JF,
Mbunge wa Singida mashariki mh. Tundu Lissu ni mgeni mualikwa ndani ya kipindi cha medani za kisiasa akijaribu kudadafua mwelekeo wa Upinzani na siasa za chama tawala.
Pia...
Nilishangaa sana niliposikia Nd. January Makamba alipokuwa akimlaumu Nd. Mnyika kwa kutoa namba yake hadharani wakati yeye nimtumishi wa umma. Wananchi ndio waajiri wako na ndio wanaolipia simu...
Leo kuna mkutano wa hadhara wa CHADEMA mkoa wa Shinyanga katika viwanja vya mahakama nguzo 8 Majengo. Mgeni rasmi ni mwenyekiti wa CHADEMA Taifa mh. Freeman Mbowe.
Sasa tunasubiri mkutano uanze...