- Toka siku ya kwanza Kamati hii ilipotoa Rasimu ya kwanza ya Katiba Mpya nilishauri Rais wa Jamhuri kuifutulia mbali hii kamati kwa sababu, imeanza pole pole ku-behave kama Institution badala ya...
Kwa mtazamo wangu, ningetegemea makamanda wa CHADEMA, wangekuwa watetezi wa mitazamo, maono na sere za CHADEMA, na ndivyo walivyo!
Na vivyohivyo makada wa CCM, nao wangekuwa watetezi wa maono...
Lazima tumutambue mchawi wetu wa kasi ya maendeleo yenye sera nzuri za ujama na kujitegemea, ulipunguzwa kasi na viongozi wachache wenye nia mbaya na maisha watanzania. Leo hii wanadai mwalimu...
Najaribu sana kutafakari muendelezo wa hili sakata la Mauaji ya Bomu yalitotokea kwenye kampen za uchaguz Arusha hivi karibuni,
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu Freeman Mbowe upo...
Mheshimiwa Peter Msigwa yupo live kwenye kipindi cha Makutano na Fina Mango, msikilize kupitia link hiyo hapo chini
http://ustream.tv/channel/makutanoshow
UPDATE:
Video za wakati akiohojiwa...
Mh.mwigulu Lameck nchemba yupo jimboni kwake kikaz zaidi. Ametua jimboni humo kuhamasisha michezo,kukagua miradi ya maendeleo na kuzungukia uhai wa chama chake CCM.
Hapa ameanza na michezo,yee...
By The Citizen Reporter
Posted Saturday, July 27 2013 at 11:31
Dar es Salaam.
A lapse in preparing leaders has created a leadership vacuum which threatens national development plans...
Nimewaona hawa makada wakiwaelekeza kiujanjaujanja Vijana wa ccm wa mkoa wa DSM kuhusu maoni ya Rasimu ya Katiba .
Tusipoangalia hii Katiba itakuwa ni Katiba ya ccm badala ya Kuwa Katiba ya...
Mh. Sugu atakua na mkutano utakao fanyika kwenye kata ya Igawilo ktk jimbo la Mbeya mjini, mkutano huo utakua ni pamoja na kusikiliza kelo mbalimbali za wananchi. Chanzo cha habari ni gari la...
Katika kipindi cha Dakika 45 jioni hii Ndg J Ndugai kwa kweli amenikosha sana.
Amesema yale ambayo wana CCM wengi wanaogopa kusema hadharani, Na amelisema suala la serikali tatu ndani ya muungano...
Wana jf kwa waraka mpya wa mishahara ulivyo ambao unaonyesha nyongeza ya kiduchu(tsh.60,000) huku ugumu wa maisha ukiongeza ni dhahiri kuwa serikali hii kiziwi haijali walimu kwa hiyo walimu...
Mwenyekiti msaafu Wilaya ya Tabora wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ajinyonga Chumbani kwake huko Tabora. Mzee Jafary Ally mmoja wa wanzilishi wa TANU na mwenyekiti mstaafu wa CCM mkoa wa Tabora...
Nakubaliana na muundo wa muungano wa serikali tatu,kama ilivyo ainishwa kwenye rasimu ya katiba mpya lakini naomba jina la serikali ya Tanganyika na siyo serikali ya Tanzania bara na jina la...
Wana JF
Roho inauma na mawzo kichwa tele, kuna mawingu ya giza na kujawa na magharibi ya moyo, ni hunzuni na masikitisho makubwa kuona binadamu anadhalilishwa kisaikolojia ndani ya nchi yake...
Dar es Salaam. Kuna kila dalili kwamba Serikali inajipanga kufuta kodi ya Sh1,000 kila mwezi kwa wamiliki wa laini za simu baada ya kuwapo kwa malalamiko kutoka kwa wananchi, taasisi na baadhi ya...
Rais tumtakae 2015 ni lazima:Awe mzalendo kwa vitendo;
Awe na uchungu na Rasilimali zetu;Achukie ufisadi na rushwa na lazima atuonyeshe kuwa anakerwa na mambo kwa dhati;Aheshimu Demokrasia;Asiwe...
By KEN OPALA
Posted Friday, July 26 2013 at 21:26
Substandard or suspicious mixtures of maize flour, sugar, tea, alcohol, juices, and cigarettes have hit the market, packaged in images...
Huwa najiona kama nabii niliposti uzi huu kabla Rwakatare hajakamatwa na Mabomu hayajarushwa Arusha na Kesi za ugaidi za akina kileo ila bado nikapuuzwa
Kesho ni Tarehe ya siku aliyouawa...
Tetesi zimesikika kuwa, mkuu anakula malalio yetu..
Tetesi zinasema mkuu kajimilisha ardhi kubwa usawa wa viwanja 10 vya mpila wa miguu huko Kagera wilaya ya Ngara, katika eneo linaloitwa...