Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, ni rais wa Awamu ya Nne.
Ni Rais aliyediriki kutikisa ngome ya utawala akiwa kijana hata wakati wa Mwalimu.
Hatujasahau ngoma zake za Boyz II Men akiwa na kundi...
Hoja yangu nimeileta kwa Wema tu, hasa nikikumbuka ya 2019, 2024 na nikurudishe pia 2020 ambapo uligombea lakini Aliyetangazwa kushinda Ubunge wa Kigoma Mjini ni Kirumbe Ng'enda wa CCM kwa matokeo...
Nimekubali chawa n kazi kama kazi zingine
Usiunderestimate machawa kabisaa
Mda si mrefu soon tutaonaaa
Waliokuwa machawa kwa mda mrefuu nao wanakuwa na machawa
Aisee maisha punguza kesii...
Je Mahakama inaweza kutoa uamuzi kama ule ilioutoa dhidi ya Chadema wa kuzuia matumizi ya mali za chama?
Je Msajili nae anaweza kumuengua Mgombea wa CCM kujibu barua ya pingamizi iliyoandikwa na...
Watu mnaowalaumu Chauma , Act n.k
Hamuelewi maana ya Mwanasiasa , ukiwa mwanasiasa lengo ni kupata madaraka na Cheo na sio vinginevyo.
Maswala ya sukari I me panda au sabuni ni ziada.
Ndo maana...
Leo hii tunaona wote, wale wanaoamini katika Magufuli wamewekwa benchi.
Lakini aliyetuaminisha Ridhiwani anauza madawa ya kulevya anachanja mbuga tu.
So ilikuwa mipango ili aaminike na Magufuli...
Ni hapa hapa unganeni na Chadema kudai Reforms.
Mnakumbuka kada mmoja wa CCM aliandika barua ya kulalamika kwamba Samia Hana sifa ya kugombea akapuuzwa na msajili Hadi akafungua kesi mahakamani...
Political legitimacy is the belief by a population that a government or political institution has the right to rule and that its authority is rightful and justified, not just based on force...
Kama unabisha Fanya Utafiti kidogo Kibaki, Uhuru na sasa Ruto walikuwa chama gani
Raila Odinga je?
Kwahiyo ni kawaida sana hata CCM ikiwa na Project zake kisiasa kwani Siasa ni Sayansi
Mlale...
Kama LISSU angeamua kua kama Mbowe akakiingiza Chama kwenye huu upuuzi wao ambao hautafanyika bila Reforms, hizi siku za Kurejesha Fomu ingekua ni vita, Wagombea Upinzani wangefanyiwa hila za...
ANGALIZO: Kura hizi ni Huru na hazihusishi Mchakato wa Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 nchini Tanzania.
Hivyo Wagombea wanaowekwa hapa wengine hawajatangaza nia wazi kuwa watashiriki...
Nimemsikia mwanasiasa mmoja wa mbogamboga analeta blablaa za kuifanqnishq Tanzania na Congo sjui Malawi na wapi sjui .... yani nasema hivi Tanzania inapaswa kuwa vile #Tanzania ilipaswa kuwa vile...
Kiongozi huyu , VAR, ya vyama vya kisiasa ya mnasa mgombea urais chama cha ICT , kanda wachama hicho ikiandiii imekosa vigezo vya kuwa mgombea urais wa chama hicho kama katiba yao ya chama...
Mwenezi ACT alitoa vifungu vinavyoonesha kuwa hana vigezo vya kugombe urahisi. Katika katiba ya ACT vifungu vifuatavyo vinamuengua
16(4)(I) Awe mwanachama wa ACT kwa muda usiopungua mwezi mmoja...
Kukatwa kwa Luhaga Mpina ni kuionyesha dunia kwamba ACT si projekti ya CCM. Na pia kuonyesha kwamba POLEPOLE anaongea uongo.
KWA WENYE UFAHAMU IKO HIVI KWA KIFUPI KABISA.
Mpina aliandaliwa na...
Kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 34(1) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 20(1) ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na...