Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mgombea Urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan, akizungumza katika kampeni za Uchaguzi Mkuu katika eneo la Dakawa, Mvomelo, Mkoa wa Morogoro leo, tarehe 30 Agosti 2025, amesema lengo la Serikali ni...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Chama cha mapinduzi CCM kinatarajia kutangaza wagombea ubunge wake waliopitishwa na kuidhinishwa na kamati kuu ya ccm taifa na hatimae kuthibitishwa na halimashauri kuu ya ccm taifa kugombea...
5 Reactions
199 Replies
27K Views
Rais Samia: Tutapiga marufuku hospitali yoyote kuzuia miili ya marehemu kuchukuliwa na ndugu zao hata kama gharama za matibabu aliyopatiwa marehemu azijalipwa. Tutakuja na mfumo wa kuhakikisha...
6 Reactions
58 Replies
3K Views
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema mpumbavu sio tusi hivyo uzi huu sio matusi bali ni ukweli ulio halisi Baada ya kusikiliza press ya Polepole alivyosema kuhusu mfumo wetu wa utambuzi wa uraia...
29 Reactions
70 Replies
3K Views
Upotoshaji wa aina ya Polepole unatakiwa ujibiwe ndani ya masaa 48. Stay tuned as I take him for a task.
8 Reactions
85 Replies
6K Views
Salaam! Tulipata msiba wa kufiwa na baba yetu, kiongozi wa shamba letu, Hata hatujapoa, akaibuka kibopa,tajiri mmoja mkarimu sana mwenye tabasamu la Mamba Rost Tamu,akaipenda familia yetu...
10 Reactions
24 Replies
1K Views
Kuna kila dalili kama sio kesho basi Jumatatu Gwajima atakuwa hewani tena! Alishatoa onyo na ultimatum ya siku kumi kwamba makanisa yake yasipofunguliwa ataongea mambo ya "kushangaza sana"...
23 Reactions
60 Replies
3K Views
Kuna mambo yanaendelea nyuma ya pazio la uongozi wa Tanzania yanatisha sana! Kuna vurugu kubwa sana na mikakati ya kila aina. Wengi wamesikia juu ya Wanamtandao, na ni wachache sana wanajua nguvu...
10 Reactions
56 Replies
2K Views
Kufuatia Askofu Dr Josephat Gwajima kutoa ultimatum ya siku 10 kwa kanisa lake kufunguliwa, taarifa za chinichini zinasema kwamba serikali, kupitia msajili wa vyama vya kijamii, iko mbioni kuandaa...
19 Reactions
142 Replies
8K Views
JF Polepole anasema, Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20/= unauzwa 2000/= TZS. Tanzania tunauziwa 55,000/= TZS. Aisee hii nchi kwishne..
18 Reactions
107 Replies
8K Views
Ni huzuni sana, kwamba muungwana hatawahi tena kupata utulivu na amani moyoni mwake. Fikra za yuko wanted zitakua zikimjia mara kwa mara, ili hali hakuna mwenye haja nae. Ni wazi atakua akihisi...
4 Reactions
113 Replies
4K Views
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Tarehe 31/08/2025 Kinatarajia Kuzindua Kampeni za Mgombea Urais Kupitia CHAUMMA Katika Viwanja Vya Kinondoni Biafra Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Habari...
4 Reactions
17 Replies
963 Views
Kwa Mara ya kwanza tangu siasa za mitandaoni zianze, Kitengo cha Propaganda Cha CCM kinaogopa kuleta habari za Mgombea Urais Samia Suluhu Hassan Mitandaoni Taarifa fupi ya timu yetu ya...
28 Reactions
64 Replies
4K Views
Ccm ni kama yule malaika mkuu aitwae Lucifer Ambae alilewa sifa akatamani kuwa mungu !! Akatupwa na Sasa tunae mpaka ndani ya nyumba takatifu za ibada !! Ccm ni wakongwe wa hizi mambo ndani ya...
1 Reactions
8 Replies
806 Views
Kwa wenye kumbukumbu mtakumbuka.
1 Reactions
14 Replies
634 Views
Polepole anapotosha sana, JPM wakati akiwa cha to, tayari alikuwa mgonjwa, na alijichimbia chato kwa kipindi kirefu mpaka ikazua minongono. Akaona isiwe tabu, akaanza ziara Mkoa wa Kagera, katika...
14 Reactions
224 Replies
12K Views
Amani iwe nanyi Wanabodi. Baada ya kulielezea kundi la Wanamtandao napenda tena kuwaletea Uchambuzi mdogo kuhusu kundi kinzani la Wajamaa ndani ya Chama cha Mapinduzi. Hawa wanajulikana kama...
27 Reactions
60 Replies
4K Views
Polepole NI Noma. Anatema mawe hadi aibu. Project ya ACT imeanza siku nyingi
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika usishindane na aliyebarikiwa na Mungu. Usishindane na aliyepewa kibali na Mungu. Usishindane na aliyeinuliwa na Mungu. Rais Samia ni Mbarikiwa . Rais wetu...
8 Reactions
100 Replies
4K Views
Sote ni mashuhuda kwamba, hivi sasa muungwana anaonekana dhahiri ana tapatapa maneno ya mkosaji mithili ya mtu alieachwa kwenye mahusiano, hana contents kabsaa. Hata waliokua wakimfuatilia na...
3 Reactions
99 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…