Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mange amefichua ufisadi mkubwa unaofanywa na familia za viongozi wa juu, wakitapanya mabilioni kupitia “deals.” Swali linalojitokeza ni: hivi kweli familia hizi hazina hata chembe ya busara ya...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Gharama za Land rover festival Arusha zinatoka kwenye fungu gani kwenye bajeti? Media, kwenye speeches hiyo festival inatajwa kama vile ni jambo la kipaumbele zaidi kuliko Afya, Elimu, barabara na...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Tangazo hilo kabambe linaongeza siku za Mashujaa za Tanzania kutoka Moja na Kuwa Mbili limetolewa na Wananchi Wote wa Tanzania kupitia kwa Msemaji wao John Heche, Ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti...
21 Reactions
70 Replies
3K Views
Kwa kuanzia Mh Polepole amehoji, Ilikuaje Wassira akajinasibu mbele ya Vyombo vya habari kua Alikua yeye ndio atakua Makamo Mwenyekiti??. Sasa mnaweza kuunganisha Doti Doti !!!.
1 Reactions
2 Replies
738 Views
Nawaza tu kwa sauti Ofisi za Jf zimevamiwa je lengo lao ni nini? Na je wataishia apo au wataendelea Mfano ukatokea msako maofisini au kwenye kambi n.k zinakusanywa simu zote gafla bila kutarajia...
3 Reactions
8 Replies
619 Views
Hii ndo Tarifa yake "Gerson Msigwa " usiku huu. Hakuna uvamizi uliofanyika katika ofisi za Jamii Forums. Kilichotokea ni utaratibu wa kawaida wa mawasiliano kati ya Mamlaka za Serikali na wadau...
11 Reactions
156 Replies
10K Views
Moja kwa moja. Mimi ni muumini wa ushahidi, habari zozote bila ushahidi wa uhakika na wa kuamika huwa nazikataa moja kwa Moja au naiweka katika kundi la tetesi na kuzifanyia uchunguzi ili kujua...
12 Reactions
41 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Sisi watanzania ni watu wa ajabu sana ,ni watu wa kushangaza sana ,ni watu ambao tupo tofauti sana na watu wengine. Watanzania ni watu ambao ukiwapa uhuru wa jambo fulani...
6 Reactions
73 Replies
3K Views
Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Basilla Mwanukuzi na Miss Tanzania wa Mwaka 1998 amezungumzia mambo kadhaa kuhusu kauli za WanaCCM wenzake, msome hapa… Mheshimiwa Rais Samia Suluhu...
45 Reactions
108 Replies
10K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kiukweli Rais Samia anakubalika na kupendwa sana kuwahi kutokea katika historia ya Taifa letu na wagombea wote wa Urais kuwahi kupeperusha Bendera za vyama vyao. Ni...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Mimi nashangaa na kujiuliza sana. Hizi lawama zote anazopewa mtaafu Jakaya huwa hazipati? Wasaidizi wake huwa hawamuambii? Kila kona sasa hivi utasikia maeneo. Hii nchi inakwenda vibaya sababu...
8 Reactions
57 Replies
3K Views
Wapendwa Great Thinkers. Nchi yetu inapitia kipindi kigumu sana. Nimewawekea taarifa ya video hapa ili mpate taarifa kamili. =================== Anaandika Baba Askofu Rev. Dr. Benson Bagonza...
5 Reactions
3 Replies
887 Views
Serikali yoyote halali na yenye kujiamini, haiwezi kupoteza muda na heshima yake kuvamia ofisi ya mitandao kama ilivyotokea kwa ofisi za JF. Kwanza, nalaani kitendo hiki cha kichovu na kizwazwa...
7 Reactions
4 Replies
463 Views
Hamjambo! Ujumbe huu ufikiriwe na hatua stahiki zichukuliwe. Ujumbe huu uwafikie Wakuu, Rais, Vyombo vya Dola na Usalama. Mimi sio mfuasi wa chama chochote. Pili, Sina maslahi na mtu yeyote...
35 Reactions
132 Replies
6K Views
Ndugu zangu Watanzania, Watanzania hawaeleweki wanataka nini siku zote, Watanzania hawaelewi wanahitaji nini Maishani Mwao. watanzania hawana shukurani wala kuridhika wala kutosheka wala kusema...
4 Reactions
93 Replies
3K Views
Katika Hali ya kushangaza Mke wa Mgombea Udiwani kwa tiketi ya CHAUMA katika kata ya Songambele aliposimamishwa kumuombea Kura mumewe badala ya kusema CHAUMA OYE badala yake akasema CCM OYEEEE...
9 Reactions
25 Replies
1K Views
Miongoni mwa kauli tata za aliyekuwa Rais wa Jmahuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete ni pamoja na hii ''Uliwe kwanza ndipo ule, usipokubali kuliwa hautakula. Akimalizia kwa kusema sina...
1 Reactions
11 Replies
911 Views
DKT. SAMIA KUJENGA VITUO 50 VYA KUHIFADHI PARACHICHI Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewahakikishia wananchi wa Mkoa...
1 Reactions
3 Replies
387 Views
Baada ya jitihada za CCM Taifa kumbembeleza Ndugu Jackson Kangoye ajitoe kugombea Ubunge Tarime ili kumrahisishia Esther Matiko kushindikana, Tume ya Uchaguzi isiyo huru imeamua kumeungua mgombea...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Mgombea wa urais kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Gombo Samandito Gombo, ameahidi kuwa endapo atashinda Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29 mwaka huu, serikali yake itahakikisha elimu inatolewa...
1 Reactions
2 Replies
271 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…