Sina mia mbaya na wagombea ila Nina waswas yakuwa Wagombea wa VITI vya uraisi nchini Tanzania ni Masster na Mapdri walio zaa nje ya ndoa.
Nataka niwakukumbushe nyie vijana wa 2000 Kuna mtu...
https://www.youtube.com/live/QhmqcI-asWc?si=VAYw0M7vJFDx-3-A
Polepole : Viongozi wanakwenda kwenye uchaguzi sababu wanauhakika kushinda uchaguzi sababu kuna mifumo inawabeba
Mfumo unaotumika...
HUU HAPA UTAMBULISHO WA ALEX DENIS MUGANYIZI
Mgombea Ubunge – Bukoba Mjini (CCM) Aliyeshika nafasi ya pili.
Alex Denis Muganyizi ni mfano wa kiongozi wa kisasa anayechanganya kwa ustadi taaluma...
TOP ya Maraisi kulingana na uwezo wao:
1. Nyerere
Alitumia akili nyingi kutupatia uhuru bila kumwaga damu, aliongea vitu vingi ambavyo vingine vinatokea sasa, uzalendo usiokuwa na mashaka, nchi...
Profesa Kabudi anasiika kwa kusifia marais. Alianza na Magufuli. Alipokufa amehamia kwa Samia. Ajabu Samia hamsifii kama alivyowahi kufanya Magufuli. Je kati ya wawili nani msomibkuliko mwenzake?
Leseni 41 za utafiti wa madini zimetolewa
Leseni 548 za wachimbaji zimetolewa
Leseni 147 za maeneo tengefu
Vituo vya afya vimeongezeka mara mbili zaidi kutoka 14 wakati anaingia madarakani na...
TAARIFA KWA UMMMA
"Tunaitaka Jeshi la Polisi liache kutumika kisiasa"
Tumepokea taarifa, ya kukamatwa usiku mkubwa kwa Katibu wetu wa Jimbo la Kiwani Ndugu. Saleh Ali Masoud na Jeshi la Polisi...
Akizungumza leo Septemba 5, 2025 mgombea urais kupitia CCM Samia Suluhu Hassan akiwa, Tukuyu (Rungwe) mkoani mbeya katika mwendelezo wa kampeni za chama hicho amesema ''Ni hakika lakini hatutoi...
Wadau, ushahidi huu wa picha unaonyesha kuwa plate number SSH 25 30 ni nyingi sana, na inaweza kuwa hatari kama si rasmi. Kama hawajakamatwa, wacha drama na tuendelee na maisha – lakini mamlaka...
My Take
Kwa miezi 3 mfululizo Shilingi ya Tanzania imeimarika na kufanya vizuri dhidi ya Dola ya Marekani kutoka Exchange ya 2700/Dola Hadi 2400/Dola na kupelekea hata mafuta kushuka Kwa miezi 3...
Moja ya mambo ambayo binafsi siyapendi ni hali za watanzania zinavyotisha kimwonekano
Mfano sahivi kampeni zinaendelea za vyama mbalimbali ila ukiangalia wanaosikiliza kampeni hali zao zinatisha...
Mgombea Urais kupitia Chama cha National League For Democracy (NLD) Mhe. Doyo Hassan Doyo amesema akifanikiwa kupata ridhaa ya Watanzania na kuwa Rais wa Nchi atahakikisha anashusha Maslahi ya...
Shauri lililofunguliwa Invisible court liko hatua za Mwisho.
Court hio imemkuta na hatia mtuhumiwa
Sasa upande wa utetezi wanaomba shauri hilo liondolewe, Lakini imekuwa ngumu kwa kuwa Sababu...
MAPOKEZI YA MGOMBEA MWENZA MBOGWE
Mgombea Mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Balozi. Dkt. Emmanuel Nchimbi akiteta jambo na Naibu Waziri...
Salaam!
Kuitaka Nafasi yoyote kisiasa ni sawa tu na Askari anapokwenda vitani maana unaenda kuhatarisha uhai wako kulinda nchi, ukishinda nchi imeshinda, ukishindwa, jirani yako ,adui yako...
Chanzo cha Wakenya kuvuka mpaka kuja Tanzania kusaka Vibarua ni baada ya nchi yao kuelemewa na Deni la Taifa
Hii imejulikana baada ya Waziri wao wa Fedha Mh Mbadi kuliambia Bunge la nchi hiyo...