Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, amesema kwa ukanda wa mikoa ya Kusini, yeye anabakia kuwa 'Simba'. Nape ameyasema hayo leo, Aprili 13, 2025, wakati Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi na Mafunzo wa...
1 Reactions
6 Replies
791 Views
Baadhi ya wananchi katika mtaa wa Muriet kata ya Skokoni one mkoani Arusha wametishia kususia kupiga kura huku wakimtuhumu diwani wa kata hiyo na Mbunge wa Arusha mjini kwa kushindwa kutekeleza...
0 Reactions
2 Replies
409 Views
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba, amesema kuwa vyama vya upinzani havina uwezo wa kushika dola kutokana na kutokuwa na misingi imara ya kiuchumi ya kuwahudumia wananchi...
0 Reactions
7 Replies
494 Views
Kati ya watu walioonekana kumwunga sana mkono Rais Samia mara baada ya yeye kutangaza 4R, walikuwa ni wanachama na wapenzi wa vyama vya siasa vya upinzani, na wapenda demokrasia wote wanaoipenda...
2 Reactions
7 Replies
479 Views
Wasomi wa vyuo vikuu na vyuo vya kati nchini wameeleza dhamira yao ya kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kwa ajili ya kuchagua Madiwani, Wabunge na Rais. Wamesisitiza kuwa...
1 Reactions
30 Replies
1K Views
Chama cha ACT Wazalendo kimetangaza kuwa kitafungua kesi mahakamani kupinga baadhi ya kanuni za maadili ya uchaguzi ambazo kinaamini zinakiuka Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kikisema...
0 Reactions
2 Replies
429 Views
Viongozi wa dini mbalimbali nchini wanatarajiwa kufanya Tamasha kubwa la Maombi ya kuombea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu. Akizungumza na vyombo vya habari Mkurugenzi...
0 Reactions
13 Replies
894 Views
Nashauri wakati Heche mikutano yake akielezea kwa nini CCM hawastahili kututawala tena na Lissu akielezea "No Reform, No Election", Lissu ajikite zaidi katika namna ya kuweka mikakati na jinsi...
19 Reactions
57 Replies
3K Views
Leo kwenye pitapita zangu Mtandao wa X nimekutana na post aliyotuma Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa Chadema Bi. Brenda Rupia Jonas yenye clip ya maneno yaliyowqhi kusemwa na Viongozi mbalimbali...
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Akizungumza katika uzinduzi wa kampeni ya msaada wa kisheria ya mama Samia, Waziri Ndumbaro amewataa wananchi wamuombee Rais Samia apate ushindi wa kishindo 2025 na kwa waliopanga kweka mpira...
0 Reactions
5 Replies
505 Views
Akizungumza katika Uzinduzi wa msaada wa Kisheria wa mama Samia, waziri wa katiba na sheria Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza kuwa kampeni hiyo inaonekana ni bure na inatolewa bure kwa wananchi lakini...
0 Reactions
1 Replies
396 Views
Yaani, Katiba ya Tanzania itoe uhuru wa vyama vyote kushiriki uchaguzi, halafu miezi sita kabla ya uchaguzi tume ya uchaguzi ijifungie ndani na kuja na kanuni za kutakiwa kusainiwa kwanza na vyama...
0 Reactions
1 Replies
430 Views
Zaidi ya wanachama 50 wa Chama cha ACT Wazalendo wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi ( CCM), wakisema walichojifunza upinzani ni ukaidi na vurugu na sio kufanya mambo yenye manufaa kwa wananchi...
0 Reactions
0 Replies
326 Views
Wakuu Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hakina fursa wala...
1 Reactions
11 Replies
760 Views
KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla, amesema wamewakubalia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupumzika. Aliyasema hayo April 13 wakati akizungumza...
0 Reactions
9 Replies
536 Views
Tunaomba Nini? Si Miujiza – Ni Mambo ya Msingi: 1. Katiba Mpya – Ili tuwe na msingi wa haki kwa wote, si kwa wachache. 2. Tume Huru ya Uchaguzi – Ili kura iwe na maana, na si maigizo ya ushindi...
13 Reactions
14 Replies
641 Views
Katibu wa NEC anayeshughulikia Itikadi, Uenezi na Mafunzo ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla, ameielezea CHADEMA kuwa haina dira ya kisera inayoweza kuwasaidia wananchi, zaidi ya...
-2 Reactions
12 Replies
746 Views
"Katiba ndio imempa mamlaka hayo, Rais. Na nchi zote duniani Mkurugenzi wa uchaguzi, Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi lazima awe nominated na kuteuliwa na Rais" "Utaratibu huo ndio upo kwenye...
0 Reactions
11 Replies
643 Views
Wakuu, Aliyekuwa Mbunge wa Manyoni na Waziri wa ardhi wa zamani, John Chiligati amesema kuwa kwa sasa kuna tabia za rushwa zinaedelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi na kuongeza kuwa pamoja na Rais...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom