Wakati akiwa hai nilikuwa namuona John Pombe Magufuli pamoja na kutaka aonekane mzalendo, niliona kuwa ni mtu asiye na nia njema Kwa Taifa letu na mtaka sifa.
Lakini baada ya Polepole kuelezea...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi, Mwl. Mbelwa Petro ameteuliwa na Chama hicho kuongoza timu ya kampeni ya kusaka kura kwa wagombea wa CCM katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka...
Kuna watu wanatolea mfano wa kushindwa kwa sera za Mwalimu Nyerere kwa kuhusianisha na DUKA LA KAYA. Enzi hizo wengine tulikuwa tunakimbizana na magari ya "Ugawaji" kwenye kila duka wanalosimama...
Kesi ya kupinga kuenguliwa kwa mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu (2025), iliyofunguliwa na Bodi ya...
Mwanasiasa machachari na aliyewahi kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Cecilia Paresso, ambaye pia aliweka nia ya kuwania ubunge...
Wakuu,
Samia akiwa anazungumza leo, huko Songwe kasema akichaguliwa atahakikisha umeme utakuwa mwingi na wa uhakika kiasi kwamba kutakuwa na umeme mwingine ambao watauuza kwenda huko Zambia
Nimekuwa nikifuatilia taarifa kuhusu uchaguzi wa mwaka huu. Kwa kweli tusibeze uamuzi wa CHADEMA kususia uchaguzi kwani umewasaidia sana viongozi, wagombea na wanachama wao angalau kuwa na usalama...
Habari wakuu!
Tanzania inapita kipindi kigumu katika historia yake ya siasa za kiti cha urais. Niwaelezee wachache:
1. Nyerere
Huyu alipofariki mwaka 1999 nilishuhudia msiba wake. Kipindi hicho...
Mjumbe Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa, Rose Mayemba amemjibu Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu baada ya kusema kwenye...
Wenye akili tu. Nyie mnaona kipi Cha maana kwenye Ilani hii? Machawa na wanufaika wa mfumo wao kazi yao ni kuimba tu mitano tena. Lakini ni kipi Cha maana ambacho tunakwenda ku present katika...
Mimi ni mdau wa jamii forum ,kero yangu baadhi ya wanasiasa waache vitendo vya kuwachukua wanafunzi kwenye kampeni za uchaguzi serikali ikemee matendo hayo haijalishi chama gani kinafanya matendo...
Niaje waungwana
Baada ya uchaguzi mkuu kuisha, na serikali mpya kuingia madarakani, namuona mwanamke fulan ambae kiumri sio mkubwa sana akiteuliwa kuwa waziri mkuu wa Tanzania.
Uteuzi huo...
Jeshi la polisi mkoani Pwani limetoa mafunzo kwa waandishi wa habari mkoani humo yaliyolenga kuwaongezea ujuzi wa masuala mbalimbali ikiwemo maadili.
Mafunzo hayo yaliyoongozwa na Kamanda wa...
Jeshi la polisi mkoa wa Mwanza limewataka askari wa jeshi la akiba (Mgambo) kuhakikisha wanafanya kazi kwa kufuata sheria na taratibu za nchi hasa katika kipindi hiki cha mikutano ya kampeni na...
Polepole amendelea kutufumbua macho.
Kumbe hata mamvi ilikuwa ni plan B ya watu wale wale!
Kwamba Polepole kanusurika kutekwa akiwa chini ya uangalizi wa Jiwe?
"Wanasomeka Polepole na Gwajima...
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya, imetupilia mbali shauri lililofunguliwa na Sije Mbughi, mke wa Mpaluka Nyagali maarufu kwa jina la Mdude, ambaye hajulikani alipo tangu Mei 2, 2025...
“Nikiingia ikulu mtu wa kwanza kumpa ajira ni Mama Samia na nimeshaishawishi Baraza langu kwamba nikishinda Urais Mama Samia atabaki ikulu” Coaster Jimmy Kibonde, Mgombea Urais Chama Makini.