Wakili Peter Madeleka amesema "No Reforms, No Election" haiwezi Kufanywa Uhaini, akisisitiza kuwa madai ya mabadiliko ya kisiasa na kikatiba ni haki ya msingi ya kidemokrasia na sio uchochezi au...
Mbunge Ado Shaibu amesema akichangia Bungeni leo, Mei 19, 2026 amesema kuwa kati ya vitu ambavyo Jeshi linapaswa kuvilinda sana ni kutojihusidha na Siasa.
Hayo ameyasema akiwa Bungeni wakati...
Sheikh Ponda Issa Ponda akizungumza katika kipindi cha Kasri cha Crown FM amesema Tume ya Jaji Chande ilipaswa kuweka wazi iwapo mauaji yaliyotokea Oktoba 29 yalikuwa halali au ya jinai, pamoja na...
Wakili Peter Madeleka amesema amesema "Taifa limekwama kabisa katika namna ambayo haijawahi kutokea tangu tupate uhuru. Mkwamo ni kwamba... mkwamo unasababishwa na uongozi mbovu.
Kwa sababu ili...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi Mei 19, 2026 imemuachilia huru kwa kumfutia KESI ya UHAINI Mchungaji Godfrey Malisa, kwa masharti kwamba asifanye kosa ndani ya Miezi 12.
Picha hii imeboreshwa na...
Akizungumza katika mahojiano ya kipindi cha Dakika 45 cha ITV, Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amesema anaikubali Ripoti ya Tume ya Jaji Chande kwa jinsi...
Rais. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wananchi wa Mkoa wa Dodoma, tarehe 08 Mei, 2026 amesema matukio yaliyotokea nyuma hayakuwa na manufaa kwa mtu yeyote na yalisababisha vijana wengi kuingia...
Makamu wa Kwanza wa Rais mstaafu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, ametoa kauli kali kuhusu mfumo wa utawala na mgawanyo wa madaraka, akisema kuna hatari ya mamlaka muhimu za dola kujikita...
Wakili wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), William Maduhu akihojiwa na Wasafi FM leo Mei 20, 2026, amezungumzia mamlaka ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu utoaji wa faini kwa vyama...
Siku mbili baada ya Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) Taifa, Mary Chatanda kusema akipewa dakika moja awe Rais atawafuta wapinzani, Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imekiandikia...
Wakili Peter Madeleka amesema anaona kuwa nchi inakopa kupita kiasi chini ya uongozi uliopo, huku akidai kuwa deni la taifa limefikia takribani trilioni 100 lakini hakuna ulinganifu wa miradi ya...
Wakili wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), William Maduhu, amesema anategemea kuona Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ikiandikia barua Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kuionya au...
Kazi ya kuanza kuwasafirisha Askari wa Tanzania nje ya nchi itaanza siku si nyingi.
Wataenda kusema kila kitu kilichotokea October 29, wapi Watu walifukiwa na vitisho vyote walivyopewa.
Mwandishi wa Habari Mkongwe, Salim Ahmed Salim amesema "Hivi sasa tukubali au tusikubali, tunapelekwa kuwa 'a not talking nation', nchi ya watu mabubu."
"Naweza kusema, tena I'm proud kusema...
Huu hapa chini ndio ujumbe alioutoa Hilder Newton kupitia Mtandao wa X:
Muda huu Jeshi la Polisi limezingira ofisi ya Makao Makuu ya CHADEMA Mikocheni, watu hawaruhusiwi kuingia wala kutoka...
Baada ya Chadema kusimamia msimamo wake kuhusu maridhiano, CCM imekuja na project mpya.
Wameamua kuitumia ACT kwa vile imekuwa ikitumika kuisafisha CCM kwa muda mrefu.
Ili Zitto na chama...
Anaandika Fortunatus Buyobe kwenye Mtandao wa X
====
Juzi niliripoti tukio la jaribio la watu kuniteka.
Watu wale wakitumia gari tatu aina ya Land Cruiser na Subaru Forester nyeusi walitaka...
Wakili wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), William Maduhu akihojiwa na Wasafi FM leo Mei 20, 2026, amesema hoja za kisiasa zijibiwe kisiasa na sio mwanasiasa atishiwe na kujibiwa na...
Mbali na Al Jazeera kupigwa pini kwenye visimbuzi Tanzania, jamaa wameona haitoshi wakaenda block na website yao! Sasa hivi tovuti hiyo haipatikani Tanzania mpaka utumie VPN.
Jinsi inavyokuwa...
Habari za Sabato!
1. Ndugu Watanzania nichukue nafasi hii Kwa sehemu yangu kama raia wa Nchi hii kama mlivyo nyie. Kuzungumza machache kama sehemu ya maoni na mchango wangu.
2. Binafsi nipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.