Nimesema hivyo kwa sababu, CHADEMA pamoja na wanachama wao, hawaamini, hawakubali na wala hawaridhiki mtu mwingine kuwa na mawazo na maamuzi tofauti na wao.
Wanalazimisha yule watakayemfanya...
2017
Hayati JPM anaunda timu kuhakiki mali za Chama cha mapinduzi chini ya Bashiru Ally
Kakurwa.
Kunagundulika matatizo katika hisa za CCM na Rostam ndani ya African Media Group.
Wamiliki wa...
Napata ukakasi na kasi ya utoaji misaada ya huyu TAJIRI, MFANYA BIASHARA NA MWANASIASA ROSTAM AZIZ
Anamwaga pesa mno. Na tunajua wazi MFANYABIASHARA huwa hapotezi pesa kizembe bila kutarajia...
Rais Samia amefungua kongamanano la wafanyabiashara nchini Kenya ambalo limehusisha pia wafanyabiashara kutoka Tanzania.
Rostam Aziz ametaka uwepo wa uwiano mzuri wa kibiashara kati ya Kenya na...
Mtume Mwamposa atakuwa nchini Kenya kwa mkutano mkubwa wa kuwafungua kutoka kwenye vifungo vya shetani
Mkutano ni wa Siku 4 na utaanza tarehe 4 September
Ahsanteni sana
Mlale unono 😄🙏
Bwana Rostam Azizi aliyekuwa Mbunge wa Igunga na mwanaCCM kindakindaki alitangaza kuachana na siasa alizoita za maji taka!
Hata hivyo juzi alionekana akiwa na Lowasa wakiwa kama wao ndio...
Baada ya kutazama video nzima ya Polepole ya dakika 59 nimeona niandike huu uzi ili kuweka mambo sawa kwa facts tupu. Huu uzi ndo utakuwa msimamo wa JF nzima dhidi ya vioja vya Polepole...
Kaimu Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, amesema kuwa madai ya kuunganisha mfumo wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi...
Nashauri wahusika waache kunajisi Ofisi za Umma. Matumizi mabaya ya madaraka. Yaani kichaa kapewa rungu..
Ofisi za Umma waosimamia Tehama hawana hekima wala utu.
Mnakata internet ili wananchi...
Wakuu
Nimekuwa nikifatilia mikutano ya kampeni ya CCM kwa ukaribu na most of the time wale wahudhuriaji wanakuwa ni wanawake.
Ukiangalia live zao Youtube wanaoonekana kuhudhuria kwenye mikutno...
Huyu mtu tayari kachoka wakati ndio kwanza kaanza Kampeni, sifahamu huko mbele itakuwaje.
Nimemsikia anasema wao wanamimina mamilioni kwa ajili ya miradi ya Maendeleo na kwamba wao hawategemei...
Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ADA-TADEA, Juma Ali Khatib, amesema chama chake hakina dhamira ya kumpinga Rais wa sasa, Dk. Hussein Ali Mwinyi, bali kinalenga kupata nafasi ya Makamu...
Pole pole anadai membe alipatikana na tuhuma hizo nzito, tena dhidi ya JPM ambaye alikuwa hafikiri mara mbili. Eti kwamba alipanga kumuua, imagine upange kumuua JPM, ajue halafu akufukuze tu CCM...
Moja kati ya falsafa kwenye medani za vita ni kukimbia ukiona unaelekea kushindwa kuliko kuendelea na kuishia kusambaratishwa.
If you run away, you have lost the battle, not the war. Kwa sababu...
Habari wanajamvi.
Nimeona nilete habari ya Mhudumu huyu wa kanisa katoliki ambaye kwangu mimi namuona akiuishi ukatoliki wa kweli na mwenye kuendelea kutukumbusha maana halisi ya wito. Japo media...
CCM imemteua Dk Asha Rose- Migiro, kuwa Katibu Mkuu wake kuchukua nafasi ya Dk. Emanuel Nchimbi, Mgombea Mwenza wa Mama Samia.
Aidha Chama hicho kimemteua Kenani Kihongosi, Mkuu wa Mkoa wa Arusha...
“Siasa siyo nguvu ya misuli, bali ni busara ya akili. Haitaki mkurupuko, bali inahitaji utulivu na subira. Haitaki ufuate upepo au uongozwe kiholela, bali inataka uzingatie miongozo na kanuni...
Mgombea Urais kwa tiketi ya CUF Gombo Samandito Gombo anasema wananchi hawapaswi kukata tamaa na wanapaswa kwenda kupiga kura na kuchagua serikali itakayo rekebisha matatizo yanayowakabili.