LeoKweli said:
Rostam Aziz ni mnyamwezi,
Shangazi responded:
Acha upumbavu! ni mnywamwezi kakwambia nani. Yeye ki ukweli ni raia wa Iran na Canada. Fuatilia mjomba.
Rostam Vs Mengi...
Tycoon Rostam Azizi, just two weeks after trending on social media after becoming the new owner of Tigo and Zantel, has again surfaced across social media after being spotted in President Samia’s...
Wakuu,
Wenye data za uhakika kuhusu uhusiano wa hao jamaa wamwage hapa.
Kuna tetesi kwamba rostam ndiye aliyebeba fungu la kampeni za kumweka madarakani jk na ndiyo maana alipewa cheo cha...
Mfanyabiashara huyo maarufu amempongeza Rais Magufuli na kusema hivi sasa anafanya jambo la kutengeneza misingi ya uchumi utakaokua kwa uhakika zaidi na kutengeneza mazingira sawa ya biashara...
Sasa Taifa gesi wanakwenda kuwa provider wa energy kwa kila mtanzania masikini na Tajiri. Ila tuwe positive jamani Rostam ni mwamba yeye anafit kwa kila Rais.
Sasa wizara nzima ya Nishati ni...
Moja ya sababu kubwa iliyomfanya Magufuli asikae Magogoni ilikuwa ni nguvu za giza ambazo ziliachwa mle.
Polepole amesema hawa jamaa wanakushambulia kwa mbinu zote ikiwemo hizo za giza. Na...
Kesi Yangu ya Uhalifu wa Uhaini ni Hukumu ya Kifo kwa Demokrasia ya Tanzania
Na Tundu Lissu
28 Agosti 2025
Uhaini unastahili adhabu ya kifo. Serikali inalenga sio tu kumuua mtu, bali pia kuua...
Ukongwe wa CCM umetokana na kukosoana vikali lakini kupitia taratibu za ndani ya chama za kukosoana.
Ukimuona anayetoka nje kuikosoa CCM huyo ni msaliti kwa chama na muhaini kwa Mama Tanzania...
Lakini Sisi wakristo TUNAMWAMINI Mungu wa mbinguni, amesema mwalimu Mwakasege
Mfuatilie sasa kupitia Upendo tv yuko mubashara mjini Tabora
Ahsanteni sana 🙏
Huu ni uchunguzi wangu huru Kwa sasa Kwa kuangalia Ratio kati ya Idadi ya watu kwenye nchi dhidi ya chama Cha siasa kinachoongozwa kwa kupendwa.
Sasa na wewe uko huru kufanya utafiti wako ila...
Wengi wanadhani kwamba Lissu ndo mkombozi wao kisiasa huku “no reform no election” ikionekana kama ndo mapinduzi rasmi katika uchaguzi na kupelekea mapinduzi makubwa ya uraisi endapo movement...
Kwa mfano Mtu anaamua kuwadanganya Chadema ni sawa anajidanganya yeye mwenyewe kwa sababu imeandikwa shetani ni baba wa Uwongo
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu wa mbinguni 🙏
Mlale unono 😄✔️
Mbali na mishahara minono (paid in major strong currencies USD, GBP, CAD),
1. Kulipiwa nyumba, sehemu za hadhi ya juu
2. Ada za watoto kwenye shule za kimataifa
3. Tiketi za ndege daraja la...
Chadema na Haters wengine wa SSH mpo? Mnazisoma namba lakini? Nawakumbusha tuu Rais Samia alitenga zaidi ya Shilingi Bilioni 300 kuifikisha mawasiliano Vijijini Kwa kujenga minara 758 na ku...
Nimesema hivyo kwa sababu, CHADEMA pamoja na wanachama wao, hawaamini, hawakubali na wala hawaridhiki mtu mwingine kuwa na mawazo na maamuzi tofauti na wao.
Wanalazimisha yule watakayemfanya...
2017
Hayati JPM anaunda timu kuhakiki mali za Chama cha mapinduzi chini ya Bashiru Ally
Kakurwa.
Kunagundulika matatizo katika hisa za CCM na Rostam ndani ya African Media Group.
Wamiliki wa...