NDUGU POLEPOLE NA UZALENDO MPYA! ANA UCHUNGU NA KATIBA YA CCM KULIKO YA NCHI.
Sote tunajua Uzalendo maana yake ni mapenzi ya mtu kwa nchi yake.
Lakini Balozi Polepole amekuja na tafsiri...
Inashangaza sana. Hii inaitwa hasira za mkizi.
Wapambe wote wa Kalemani wamehamia kumuunga mkono Lutandula wa Chato kusini
Wamemtenga kabisa Cornel Magembe
CCM chato watu wanachuki sana.
Nipo...
Hii ni kanuni ya kidunia na kama unabisha Fanya Utafiti mdogo tu
Utakumbuka JK alisema‘Serikali yangu haina mbia’
Shujaa naye akatamba ‘ hii ni Serikali ya Magufuli’
Ruto amesema ‘ Mimi ndio...
Katika historia ya kisiasa ya Tanzania, mjadala kuhusu urithi wa utawala wa awamu ya tano chini ya Hayati John Pombe Magufuli umekuwa mkali na wenye mitazamo kinzani. Wapo wanaoona kipindi hicho...
Haya mabo si vibaya kuyaelewa kidogo:
C&P from Google
EPC+F, or Engineering, Procurement, Construction, and Finance, is a project contracting arrangement where the contractor is responsible for...
Ndugu narejea tena naombeni nafasi ya kufanya internship au volunteer niweze kupata ujuzi zaidi mimi ni graduate nina masters of science in computer science umri miaka 28 ninauhitaji wa kufanya...
Yanayoendelea Tanzania ni aibu kubwa mno. Watu hawana aibu.
Ukiangalia nchi jirani unaona kwenye chaguzi zao chama tawala kinachuana na strong opposition leader.
Kwa Tanzania Hali ni tofauti...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema kila anayeusoma Mkataba wa TPA na DP World anatuona Watanzania milioni 61 hatuna akili
Tundu Lisu amesema ubaguzi ni Ule wa kutoiweka...
Japo wengi hawaoni lolote jipya kwenya madai ya Humphrey Polepole, mie naona yapo mengi. Give the dirty his due. Polepole, ajue asijue, akusudie asikusudie, akiri asikiri, ana mapya mengi anayo...
Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) na Katibu Mkuu wa chama hicho, Salum Mwalimu, amesema hatashiriki katika malumbano na watu wanaomkosoa au kumbeza kuhusu uamuzi wake...
Serikali imeanzisha utaratibu wa kodi ili kugharamia maswala ya bima ya afya kwa wote.
Kwanini mgombea urais wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi ameahidi kuruhusu wanaofariki na kushindwa...
My Take
Mambo ya kusema eti VP hawagi Rais yatakomeshwa 2030 anapotoka SSH.
Pia soma Tetesi: - Ni vita ya kumzuia Nchimbi kuwa rais 2030, Samia sio tatizo | JamiiForums Tetesi: - Ni vita ya...
TANZANIA kuna rasilimali kubwa ya makaa ya mawe ambayo mpaka sasa inafikia tani trilioni 1.5. Makaa hayo yapo ukanda wa Kusini mwa Tanzania ambayo ni Mbeya-Kiwira na Ruvuma katika ukanda wa Mto...
Ni jambo la kushangaza hawa FFF kila siku wanadeal na wanachadema wakati wenzao wanapiga madeal ya vifaa na tender za angel kizigha.
Ni aibuu see sisi wananchi kujua eti walinzi wa raia na mali...
Ama kweli hamkani si shwari kwa Chama Cha Majizi.Wenye kujitambua hawana muda wa kusogea kwenye 'maonyesho' yao.
Zoa zoa na kusanya kusanya kwengineko kujaza mikutano sasa inakwenda mbali...
Vijana Kama Mdude , ni vijana waliopotezwa bila huruma
Hao Chadema ambao unawapambania , ukifa wanakuwa hawana habari na wewe wala familia yako.
MTU kama Mdude , Soka n.k wametumika kwenye chama...
Wakuu nimekaa kimya ila naona too much, muacheni huyo kijana aishi maisha yake, kama wazazi wetu hawakujipanga kuandaa maisha Bora bahati ya mwenzio msiilalie mlango wazi.
Juzi kati akiwa...