Tundu Lisu: Kila anayeusoma Mkataba wa TPA na DP World huko Duniani anatuona Watanzania milioni 61 hatuna akili!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,131
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema kila anayeusoma Mkataba wa TPA na DP World anatuona Watanzania milioni 61 hatuna akili

Tundu Lisu amesema ubaguzi ni Ule wa kutoiweka Zanzibar Kwenye Mkataba na si Vinginevyo

Nawatakia Sabato Njema!
 
Nawatakia Dominica Njema!
Mbarawa,Samia sijui wanawaza nini. huyu mama na shoga yake Tulia sijui wanawaza nini?
 
Kwa hali ya aibu kali iliyofikia nchini kwa sasa, ni vyema Saa100 akajiuzulu ili kulinda heshima na utu wake.

7804DAD6-C9D1-429E-9130-D55DAE47C7F0.jpeg
 
Tundu lisu njoo nyumbani tufanye maandamano ya kuukataa huu uhuni.watz tutakuunga mkono.haiwezekani bandari za Tanganyika tu ziuzwe lakini za zanzibar haziuzwi wakati bandari ni muungano.wazungu wanatucheka sana wakiona hiki kichekesho cha mkataba wa kihuni uliosainiwa na hawa wahuni
 
Aje nyumbani akitokea wapi?!!
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema kila anayeusoma Mkataba wa TPA na DP World anatuona Watanzania milioni 61 hatuna akili

Tundu Lisu amesema ubaguzi ni Ule wa kutoiweka Zanzibar Kwenye Mkataba na si Vinginevyo

Nawatakia Sabato Njema!
WanaCHADEMA tulimchukia hayati JPM bila sababu za msingi, sasa tumetambua kuwa alikuwa sahihi. Yanayofanyika sasa ni aibu
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema kila anayeusoma Mkataba wa TPA na DP World anatuona Watanzania milioni 61 hatuna akili

Tundu Lisu amesema ubaguzi ni Ule wa kutoiweka Zanzibar Kwenye Mkataba na si Vinginevyo

Nawatakia Sabato Njema!
Watu hawana uchungu na nchi yao ama mimi nko wrong!?
 
Back
Top Bottom