Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mgombea urais kupitia Chama cha MAKINI, Ndg. Coaster Kibonde, amesema endapo atapata ridhaa ya kuongoza nchi serikali itaanzisha na kutoa ajia mpya zaidi ya milioni moja kwa vijana wa Kitanzania...
0 Reactions
0 Replies
216 Views
Mgombea urais kupitia Chama cha MAKINI, Ndg. Coaster Kibonde, amesema endapo atapata ridhaa ya kuongoza nchi yeye na serikali yake watatoa elimu bure kwa watoto wa kitanzania kuanzia elimu ya...
0 Reactions
1 Replies
220 Views
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Salum Mwalimu amesema kuwa endapo atapata ridhaa ya kuongoza nchi, Serikali yake itabeba gharama zote...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Mwanasiasa mkongwe wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mwanadiplomasia, Dkt. Wilbrod Peter Slaa amesema kuwa chadema haipo kwenye uchaguzi wa mwaka huu siyo kwa ajali kwa sababu...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Akizungumza leo kwenye kipindi cha Clouds 360 cha Clouds TV Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo Gerson Msigwa alisema: "Nataka niseme kwamba serikali...
6 Reactions
43 Replies
2K Views
Mgombea urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA), Salum Mwalimu, ameanza ziara yake mkoani Tanga kwa ajili ya kuomba ridhaa ya wananchi kumpa...
0 Reactions
13 Replies
914 Views
Miaka Minne Ya Mama Nyumba 159 za walimu wa shule za msingi zimejengwa katika Mkoa wa Songwe. Ujenzi wa nyumba hizo umewezesha walimu kukaa karibu na shuleni hivyo kutumia muda mwingi kufundisha...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mgombea urais kupitia Chama cha MAKINI, Ndg. Coaster Kibonde, amesema endapo atapata ridhaa ya kuongoza nchi hatopunguza matumizi ya Serikali wala mishahara na posho za watumishi wa umma. Alisema...
0 Reactions
1 Replies
339 Views
Wakuu, Mwanasiasa mkongwe, kada na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Wilbrod Slaa, amekosoa kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) akisema hazijikiti kwenye...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh Kassim Majaliwa Majaliwa amewapelekea salamu mahususi kutoka kwa Mh Rais,Mama Samia Suluhu Hassan,MADEREVA wote wa Serikali Nchini kwa KAZI nzuri...
1 Reactions
4 Replies
471 Views
Maabara za kisasa ambazo zinatumika katika Shule ya Sekondari ya Philipo Mulugo iliyojengwa kupitia mradi wa SEQUIP katika Kata ya Udinde Halmashauri ya Wilaya ya Songwe. #KurayakwanzakwaSamia...
1 Reactions
3 Replies
383 Views
Kwa ile ban ya kutoingia US ni wazi sasa Mheshimiwa Mbunge na Waziri (Mtarajiwa) analazimika kuishia Zanzibar na Juba kutekeleza majukumu yake ya WIZARA YA MAMBO YA NJE.
6 Reactions
43 Replies
2K Views
Mzee Hashim Rungwe hana kabaa au kifua kama sifa za wanaume. Ameweka wazi kuwasema wote wanawapa nguvu kwenye harakati zao za siasa ========== Mzee Hashim Rungwe anasema hivi karibuni atasema...
24 Reactions
70 Replies
4K Views
Kumbukizi ya picha.. Reflection ya wakati tulionao.. Tafakuri ya yanayotokea Tanganyika.. Simanzi ya yajayo🤔🥺
2 Reactions
8 Replies
449 Views
Siku zote raia ndio hufanya maamuzi ya mwisho, hata mitandaoni ukosoaji uwe mkubwa kiasi gani, kama raia hawataingia kwa ground huwa hakuna kinachotokea. Siwezi kumlaumuMbowe kulamba asali...
0 Reactions
8 Replies
634 Views
Mgombea Urais UDP: Tumejipanga kutoa bima ya afya kwa wanachi bila mashariti yoyote tunamini katika nguvu kazi ya taifa ni wananchi kuwa na afya njema.
2 Reactions
6 Replies
295 Views
Jibu hoja kwa hoja. Hii ndio kanuni ya kulumbana dunia nzima. Mfano Polepole ameeleza kinagaubaga. Angela Kiziga alifanya ufisadi wa bil 40. WanaCCM wajibu kama hakuna ufisadi huo. Na kwa nini...
14 Reactions
54 Replies
2K Views
Amejiandalia wapinzani wake, ambao ni vibaraka wake. Amewapa ufadhili mpaka na magari ya kuzunguka. Amewapa na script nini cha kusema kuhusu yeye na serikali yake!!! What a shame kwenye uongozi...
10 Reactions
25 Replies
2K Views
Kumekuwa na matangazo mbalimbali yanayohusiana na mikopo kwa wafanyakazi nadhani ni Tanzania Nzima. Mfano kwa wilaya ya Uyui kuna 400, Tabora manispaaa kuna bilion 3, kwanza tunashikuru viongozi...
7 Reactions
73 Replies
13K Views
Pia soma; Diamond: TRA wananifanya kama mkimbizi
27 Reactions
253 Replies
22K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…