Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetoa orodha ya majina ya wabunge wanawake wa viti maalum 115 kati ya 116, huku ikibakiza nafasi moja ambayo jina litatangazwa baada ya kufanyika uchaguzi jimbo la...
1 Reactions
51 Replies
3K Views
Mfanyabiashara maarufu Jenifer Bilikwiza Jovin, anayejulikana zaidi kwa jina la Niffer, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, akikabiliwa na mashitaka ya...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema wapo watu ambao wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa uchunguzi kutokana na vurugu zilizotokea siku ya uchaguzi na kueleza kama kuna mtu...
1 Reactions
34 Replies
1K Views
Wananchi wa Mkoa wa Dar Es salaam wameeleza kuwa mfumuko wa bei kwa bidhaa mbalimbali nchini pamoja na ukosefu wa huduma na bidhaa muhimu kulikotokana na ghasia na vurugu za Oktoba 29, 2025...
2 Reactions
26 Replies
691 Views
Haiwezi kuwa kwa bahati mbaya wala kwa uzembe bali limefanywa kwa makusudi na watu wanaojua wanachokifanya Hutuba ya Rais inaandaliwa, kisha inafanyiwa uchambuzi wa neno kwa neno na kila neno...
4 Reactions
11 Replies
446 Views
KAULI YA ACT WAZALENDO KUFUATIA MAUAJI YA TAREHE 29/10/2025 NA SIKU ZILIZOFUATA BAADA YA UCHAGUZI Chama cha ACT Wazalendo, kupitia kikao cha Kamati ya Uongozi Taifa, kilanaani vikali ukiukwaji...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Pope Leo alitoa wito ulimwenguni kwa watu wote kuiombea Tanzania kwa mauaji yaliyofanywa na Rais Samia kwa watanzania Inadaiwa jeshi kutoka...
16 Reactions
64 Replies
2K Views
Ni dhahiri wananchi wameukataa uchaguzi feki, wengi hawakujitokeza kwenda kupiga kura na maelfu waliingia barabarani kuandamana kupinga uchaguzi huo na kudai haki. Kilichofanyika ni kumtangaza...
3 Reactions
8 Replies
467 Views
Wakuu, Hiki ndio kinachoendelea mtaani kipindi hiki! Wakati wa maandamano wananchi walishuhudia wapendwa wao wakipigwa risasi na polisi na kuona miili ikizagaa mtaani wengine mpaka siku tatu...
2 Reactions
2 Replies
331 Views
Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania, Padri Chesco Msaga, ameongoza ibada maalum ya kuwaombea wote waliopoteza maisha katika ghasia zilizotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025...
3 Reactions
0 Replies
232 Views
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amewataka wananchi wa Mkoa wa Njombe kuendelea na shughuli zao bila hofu yoyote Ameyasema hayo Novemba 6,2025 wakati akizungumza na Wafanyabiashara wa...
0 Reactions
1 Replies
246 Views
“Vituo vingi vya Mwendokasi vimeharibiwa na kwa mantiki hiyo tunaendelea kuusitisha usafiri huu kwa njia ya morogoro road na tunaendelea kuusitisha usafiri huu kwa njia ya Mbagala yaani BRT 2...
2 Reactions
64 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda ametangaza rasmi kuondoa zuio la wananchi kuendelea na shughuli zao baada ya saa kumi na mbili jioni, akibainisha kuwa sasa ni ruksa kwa wananchi kutembea...
1 Reactions
3 Replies
204 Views
Hapa chini ni muhtasari wa taarifa ya awali (final) ya waangalizi wa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 kutoka SADC (SEOM), uliowasilishwa na Richard Msowoya, Spika wa zamani wa Bunge la Malawi na...
3 Reactions
7 Replies
481 Views
Naomba Watanzania wenzangu, tufanye jambo muhimu. Viongozi wa CCM na wale wote wanaodhihaki vifo vya wenzetu hawapaswi kuendelea kuwa sehemu ya jamii yetu kwa namna ya kawaida. Tuwatengue kwa...
2 Reactions
4 Replies
276 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limeeleza kuwa liliwashikilia vijana 300 kutoka maeneo mbalimbali mkoani humo kutokana na kudaiwa kushiriki vurugu zlizotokea siku ya uchaguzi mkuu Oktoba...
2 Reactions
9 Replies
621 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, ameshangazwa na ushindi wa asilimia 97 aliopatikana na mgombea wa urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassan, katika uchaguzi mkuu...
0 Reactions
3 Replies
319 Views
Ujumbe uliosomwa nje ya mahakama ya ICC asubuhi ya leo juu ya kile kinachoendelea Tanzania, waandamanaji wanaitaka mahakama ya ICC kuchukuwa hatua kali juu ya Mauaji ya Tanzania.
2 Reactions
6 Replies
418 Views
Baada ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kufungua rasmi mchakato wa kuchukua fomu za kuwania nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, vigogo sita wa chama hicho wamejitokeza leo...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo Jijini Dar Es Salaam wameeleza athari kubwa za kiuchumi na Kijamii zilizotokana na ghasia na vurugu katika uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Oktoba 29, 2025...
0 Reactions
1 Replies
195 Views
Back
Top Bottom