Huu uchawa asee yajayo yanafurahisha na kusikitisha kwa wakati mmoja.
====
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida Mhe. Nusrat Hanje ameandaa Maombi na Dua Maalum ya Viongozi wa Dini na Wazee...
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Dorothy Semu leo tarehe 22 Aprili, 2015 amefika Makao Makuu ya Chama hicho Jijini Dar es Salaam kuchukua fomu ya kuomba kuwania nafasi ya Rais wa Jamhuri ya...
Huu ni unafiki mwingine wa wanasiasa, kwamba katika mambo mengi sana ya shughuli za kiserikali na kisiasa nchini, mnawaalika viongozi wa dini na kutaka wawabariki katika mamlaka yenu nk. Kila...
Wakuu,
Kupitia ukurasa wake wa X, kada wa CHADEMA, Hilda Newton amesema kuwa Jeshi La Polisi wamezuia mkutano wa CHADEMA uliopangwa kufanyika kwenye soko la Kariakoo.
Kwa mujibu wa Hilda, sababu...
Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Doroth Semu ameeleza kuwa hatamani kufanya kazi sehemu nyingine tofauti na kukitumikia chama chake Cha ACT Wazalendo
Na kwamba hata akipewa kazi...
Kwa kuwa lengo la G55 ni kushiriki uchaguzi tu katika hali yoyote ile na mazingira yoyote kama ilivyo ACT, je muda unaruhusu wao kuanzisha chama kipya, kupata usajili na kuweza kusimamisha...
John Mrema, kwenye conference yake ya leo na wanahabari, kwa mtu ambaye hamjui, angedhani ni msemaji wa Tume ya ucjaguzi.
Wale waliokuwa na mashaka na G55 unayoongozwa na John Mrema, leo wamepata...
Baadhi ya Wadau wanachukulia kitendo cha Kampeni hii kabambe kupenya hadi Katikati ya Jiji la Dar es Salaam kama Ushindi dhidi ya Dhuluma za uchaguzi.
Kwa Mujibu wa Ramani ya Ubongo wa kila...
Wakuu,
Akiwa anazungumza leo kwenye mkutano wake na waandishi wa habari John Mrema alisema kuwa makada waliosaini waraka wa G55 wanatishiwa na maelekezo yameshafika hadi matawini kuwa wafukuzwe...
Wakuu!
Huyu ni Kondesta Sichwale, Mbuge wa Jimbo la Momba mkoa wa Songwe. Inasemekana baada ya Vijana maarufu Greengard kudai posho zao, madai yao yamepelekea Kondesta kuchukizwa na kumchapa...
Tuishi humo!
Rais wa Chama cha Mawakili wa Serikali, Amedeus Shayo amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea kuwa kielelezo kizuri cha haki nchini kutokana na juhudi kubwa anazozifanya ili...
Wakati Chama chama ACT Wazalendo kikiwa kimesaini kanuni za maadili ziliztolewa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), sasa kimetangaza kampeni ya kuzipinga mahakamani kwa madai kuwa zina...
Mbunge wa Jimbo la Mbogwe, Nicodemus Maganga, amesema yuko tayari kuwa "chawa kwa Rais" ili kuhakikisha wananchi wake wanapata huduma muhimu za afya, elimu, maji na barabara.
Kauli hiyo ameitoa...
Wakuu,
Siku ya leo, kada maarufu wa CHADEMA John Mrema ambaye siku chache nyuma alitoa msimamo wa kupinga msimamo wa CHADEMA wa No Reforms No Elections kupitia kikundi cha G55, anatarajiwa...
Wakuu!
Ibada ya Ijumaa Kuu Kitaifa imefanyika katika Kanisa la KKKT Ushirika wa Ifakara Mjini, Dayosisi ya Ulanga Kilombero, ambapo imetumia nafasi hiyo kueleza kuhusu hali ya kisiasa na kijamii...
Mbunge wa Viti Maalumu Chadema na ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Annatropia Theonest ahoji watu kuhitaji 'Reforms' ni kosa baada ya Mwenyekiti wa Chama...
Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema pamoja na kusaini kanuni za maadili ya Uchaguzi Mkuu kwa mujibu wa sharia zilizopo tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi, hata hivyo...
Wakuu,
Kuna watu wameenda kuitisha press kupinga ile kauli ya Heche kwamba watu waende mahakamani kushuhudia ksi ya Lissu Tarehe 24.
Hii nchi inahitaji ukombozi mkubwa sana wa kifikra. A total...
Kuna wakati lazima viongozi wetu wawe na uwezo wa kuona mbali kwamba wanapaswa kutokweka misimamo ambayo athari zake zitakuwa mbaya huko mbeleni.
In fact, kuwa na msimamo tofauti na matakwa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.